Samahani kaka
Mshana Jr Kuna swali linalohusiana na maswala ya nguvu za rohoni hapa.
Hivi uchawi kuiroga nafsi ya mtu upo??,yaani unakuwa unakosa ile nguvu ya ndani ya kimaaumuzi?? Kama ulivyokuwa zamani,
je inaweza kumfanya mtu akose dira au muongozo nafsini mwake??, Yaani yeye yupo yupo tu, japo Kuna mwanga wa kiukozi anauona
Hili Jambo lilinitokea nilipoenda kutembea a sehemu fulani, najiona tofauti Sana, hata kusoma kwangu,kufikiri kwangu, nuru yangu ya ndani inayonitaka kuwa mtu fulani imepotea kabisa??
Nawezaje kujitoa Kama nimefanikiwa kitu hiki au tiba napata wapi?? Nisaidie muongozo [emoji120][emoji120]
Mshana Jr