Hivi ni kwanini wanasayansi wengi walifuga nywele ndefu?

 
KUna rasta alitoa madini kwamba nywele ni kama antena za kupokea mawimbi ya hekima ya ulimwengu.

Inawezekana waliziacha ili kumaximize reception.

Lakini sababu ya msingi ni zamani fasheni ya kutokuwa na nywele ulaya ilikuwa haisapotiki sababu ya baridi sana. Ni afrika tu ndio walinyoa ili kupunguza joto (misri).
 
Tuna wavaa kobazi wanafuga madevu sio nywere ndio maana wanaongea sana kumbe akili zipo midomoni
 
Umeenda mbali hata wanafunzi wanao somea masomo ya science wanafuga nywele ndefu mpaka leo madokta wengi wapo rough ukiambiwa huyu ni daktari bingwa sometimes huwezi amini.
 

Nakazia hapa
 
Vipi na wanasayans wetu waliovumbua vyungu vya udongo na mizinga ya nyuki je walifuga nywele ndefu na ndevu?
 
Ilikuwa ni fashion nyakati hizo na malegend had their own things that defined their level and class.
 
Ilikuwa ni fashion nyakati hizo na malegend had their own things that defined their level and class.
Miaka ya tisini kurudi nyuma tu hapo haikua rahisi kunyoa,watz wengi walikua na nywele nyingi,machanu,Vitana vilikua vitu muhimu
 
Sasa sijui wanafuga hizo za kichwani tu au na zile za maeneo mengine ya mwili?

Maana mmnh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…