Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
-
- #801
Na ninyi wanaume ndiyo mnaosema kwamba wanawake we have nothing to show?? Ninyi mashoga na wakataa watoto??
Yaani we unachojua na kudhani material possessions will change uanamke wenu? Hahaha! No way.
Kwa idadi wanawake ni wengi kuliko wanaume. Huko makazini idadi ya wanaume outdo idadi ya wanawake. Hata mashuleni wanaohitimu wanaume ni wengi kuliko wanawake. Bungeni mpaka mpate viti maalum. Makazini manesi wengi ni KE na madoctor wengi ME, na wanaume wameanza kuvamia fani ya nursing pia. Migodini kuna wanaume wengi kuliko wanawake. Ni wapi?
Tukisikiliza report za kutoka Kisutu wanasheria kila siku majina ya ME yamedominate. Nyie mko wapi? Kwenye vicoba labda. Haya niambie ni wapi mwanaume kapitwa? Wapi?
Hivi leo wanawake na wanaume who have nothing to show?
Labda huko nchi za mbele sio hapa Tz. You women have nothing to show. Nyie mabaamedi? Wauza chiu? Ndo mseme we have nothing to show? Asalalee