Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Na ninyi wanaume ndiyo mnaosema kwamba wanawake we have nothing to show?? Ninyi mashoga na wakataa watoto??
Yaani we unachojua na kudhani material possessions will change uanamke wenu? Hahaha! No way.

Kwa idadi wanawake ni wengi kuliko wanaume. Huko makazini idadi ya wanaume outdo idadi ya wanawake. Hata mashuleni wanaohitimu wanaume ni wengi kuliko wanawake. Bungeni mpaka mpate viti maalum. Makazini manesi wengi ni KE na madoctor wengi ME, na wanaume wameanza kuvamia fani ya nursing pia. Migodini kuna wanaume wengi kuliko wanawake. Ni wapi?
Tukisikiliza report za kutoka Kisutu wanasheria kila siku majina ya ME yamedominate. Nyie mko wapi? Kwenye vicoba labda. Haya niambie ni wapi mwanaume kapitwa? Wapi?
Hivi leo wanawake na wanaume who have nothing to show?

Labda huko nchi za mbele sio hapa Tz. You women have nothing to show. Nyie mabaamedi? Wauza chiu? Ndo mseme we have nothing to show? Asalalee
 
Utandawazi umewafanya kuwa wajinga sana hawa watoto wa kike,wanapambana na wasichokijua,acha waonekane vituko na watumiwe kama bidhaa.

Halafu huyo ndio awe kiongozi au mtetezi na kuaminiwa ? Hata maana ya maneno tu hajui.
Ustadh inabidi ukalale Sasa[emoji3526]
 
Na hapo kwenye maovu ndipo kiini cha mada kilipo huko kwingine sijui mmefikaje
Nionyeshe sehemu ambapo kuna "men empowerment" katika jamii yoyote, sehemu ambayo kuna "kama mwanamke anaweza, basi mwanaume anaweza pia", Innovations nyingi, go to moon and come back, ni akina Gagarin, Neil Armstrong na sio akina cariha, its just nature...you can do nothing to beat nature.

Kwenye maovu hapo no one is above the other, hakuna mwenye authority ya kutenda au kumtendea mwenzake uovu. But in terms of superiority, try another millennium, not this one!!!
 
Hawazidi billion 4?? Hebu lete hizo takwimu!!

Halafu kuwepo kwa hao wasioamini Mungu wala dini hakubadilishi ukweli kwamba Mungu yupo na dini zipo!! Hivyo uwepo wa hao watu mimi haunihusu halafu na wewe pia unatakiwa uchague moja unaamini au hauamini siyo unaongelea imani halafu tukienda kwenye imani unarudi kwingine!!
Hizo sheria zinatambulika kwa waislam na Wakristo ambao hawazidi bilion 4.

Waliobaki wote hawatambui hizo sheria na wanaongozwa na sheria za Wanaume zikiwepo hizo za Wakristo na Waislamu.
 
Ukimaliza kuuliza hayo maswali yote na wewe jiulize hili swali moja tu kwanini wanaume mnafanya yote hayo kwa ajili ya wanawake??
Wow!! Nimependa sana mitazamo yako mwanadada.

Eti ni kwanini hapa Afrika tuna mabilionea wa kiwango cha dunia wawili tu wa kike wakati wa kiume wako 34?

Pia ni kwanini asilimia 98% ya technological innovation hapa duniani imefanywa na wanaume na sio wanawake ?

Pia Kwanini hiyo sanitary pad uliyoivaa inayofonza damu huko chini mgunduzi wake ni mwanaume na sio mwanamke?

Pia kwanini vitu kama epidural na contraceptive pills ambazo ni kwa ajili ya faida ya mwanamke vimevumbuliwa na mwanaume wala sio mwanamke mwenzenu?

Pia Kwanini ukitaka kujenga nyumba akili yako inakutuma umtafute Hassan, John au Isaya ndio anyanyue tofali na wala sio Esther, Aisha au Mariamu?

Pia kwanini gari yako ikipata mzinga ukienda gereji kuinyoosha lazima uwakute akina Deo, Michael na wala sio akina Joyce au Merry ndio wakunyoshee?

Pia kwanini unapotaka kuajiri mlinzi wa nyumba yako unaenda kuajiri akina Vidume na wala sio wanawake wenzio?

Pia kwanini kwenye matangazo mengi ya kazi huwa tunaona sana hii statement "women are highly encouraged" na sio "men are highly encouraged" ikiwa kama wote tuko sawa?

Pia kwanini kwenye ajari yoyote ile rescue team huwa wana focus kwanza na wanawake na watoto kisha ndio wanakuja wanaume?

....nina maswali mengi sana kufuatia hii kauli yako ngoja nipumzike kwanza
 
Masterbation na abortion ni vitu viwili tofauti abortion tayari ni mtoto ametungwa, hicho ni kiumbe tayari, ni sawa na wewe tu, vile chenyewe bado KIPO tumboni lakini kina haki zote za kuishi. Masterbation ya kike na kiume havina tofauti wote mnatoa manii ambayo hayajatengeza kiumbe, katika mtungo mmoja wa mimba manii ya mbegu za viluwiluwi za kiume karibu million moja hupotea
Ni sawa Mkuu

Masterbation= Masturbation
 
Ni ukweli kabisa mkuu na hiyo ndiyo shida kubwa iliyopo
Umeongea kama vile the real Ariana Grande anavyotiaga huruma... 🙂 anyways Kuna mambo yanasikitisha sana...

Tatizo bindamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Kingine mpaka sisi wanaume tunaawangushia lawana nyingi wanawke sababu Eve kwenye bustani ya Eden tayari alisha mess up... kwa hivyo, hiyo mentally inaendelea vizazi kwa vizazi...



Cc: mahondaw
 
Utandawazi umewafanya kuwa wajinga sana hawa watoto wa kike,wanapambana na wasichokijua,acha waonekane vituko na watumiwe kama bidhaa.

Halafu huyo ndio awe kiongozi au mtetezi na kuaminiwa ? Hata maana ya maneno tu hajui.

Hakuna zama ambazo wanawake wanaishi maisha ya ovyoo ovyoo na ya kipuuzi kama zama hizi za utandawazi na haki sawa.

Wao wanajiona ndio wako katika njia sahihi ya kuishi kumbe ndio wameshajipoteza. Na kizazi kinachokuja mbeleni kuharibika kwake wao ndio sababu kuu.

Angalia sasa hivi tangu waupatd huo uhuru wao idadi ya mashoga na wasagaji imeongezeka, broken homes zimekuwa nyingi, kushamiri kwa vitendo vya kikahaba kuliko ilivyokuwa awali.

Watu kama Cariha ambaye hajui hata ni wapi ashike ni wapi aache ni sumu kwa kizazi kijacho
 
Aahh kabisa yaani leo natumia slogan ya Liverpool "You will never walk alone" na mimi nasema "I will never walk alone"
Thread inatembea hatari..
Leo majeshi yameongezeka ..hayupo Marianah pekeyake [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
 
Mimi nimeshaolewa na mume wangu siyo sex maniac na hata yeye huwa ananiambia kuwa asinidanganye mtu dunia hii hakuna mwanaume asiyeweza kujizuia kufanya ngono KILA MWANAUME ana uwezo wa kujizuia kufanya ngono ila tu wanaume wanatumia tamaa zao kujiendekeza halafu wanatumia kama visingizio na labda wewe unaweza kunijibu mwanaume akikaa muda mrefu bila kufanya ngono anapata madhara gani makubwa?? Yaani yale madhara kama kuumwa au kufa ambayo mtu anaweza kuyapata asipokosa vitu kama chakula huwa mnayapata??
Mahitaji makubwa ya mwanaume katika mahusiano ni se.x,na ni vigumu mwanamke mmoja kumtimizia mara zote pale mwanaume anapohitaji;ukiona watu wameishi kwenye uhusiano au ndoa miaka mingi na yenye utulivu jua ya kuwa mzee (me) kuna sehemu anapiga show kistaarabu.Kwa sasa hivi unaweza usiitambue ila ingia kwenye ndoa,na bahati mbaya ukutane na mtu ambaye nguvu zake bado kuchakachuliwa;utashangaa kila baada ya dakika 30 anataka,kwa hali hiyo kwako itakuwa ni mateso....kwa hiyo akichepuka nje inakuwa ni unafuu na utulivu ndani ya nyumba.
 
Aahh kabisa yaani leo natumia slogan ya Liverpool "You will never walk alone" na mimi nasema "I will never walk alone"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kweli you will never walk alone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajitutumua na slogan yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka Sana.
 
Mtoa uzi umeandika vizuri lakini kitu kama point ya 8 hvi kama sijakosea, mwanaume kutongoza sio kosa hata kidogo, so ukitongozwa ukakubali ukatiwa mimba ukaachwa jilaumu mwenyewe kwa sababu kila kitu kipo mikononi mwako japo umeeleza huko juu lakini umevutia sana upande wenu, naseme ujilaumu kwa sababu ukisema hapana sidhani kama yule mwanaume atakubaka au atakulazimisha kama akifanya hivyo hio ni case nyingine hapo una haki ya kumlaumu, kifupi ni sawa na Mungu amekupa akili ya kujua mema na mabaya hivyo shetani akikushawishi ukatenda dhambi hapo hutakiwi kumlaumu shetani sababu Mungu ameshakupa akili ya kung'amua mambo kitu ambacho ulitakiwa kufanya ni kuipekecha hio akili then ujiamulie mwenyewe.

Pili kwenye issue ya kuuza na kununua uchi why uwalaumu wanaume instead ya kuwalaumu wanaouza, kama wanawake wasingekua wanajiuza nina uhakika 100% wanaume wasingekua wana wanunua, na sababu ya kujiuza ni kwamba wanapenda short cut ya kupata pesa, sasa hapo ukimlaumu mwanaume huoni kua unamuonea bure, sitetei wala sisemi kua ni jambo nzurii hapana point yangu ni kwamba angalia source ya tatizo inatoka au inaanzia wapi
Ukisema tuangalie source ya tatizo basi unakuwa unabatilisha hayo yote uliyoyaongea kwenye aya ya kwanza maana point yangu namba 8 inaonesha kabisa chanzo ni mwanaume maana mwanaume ndiye anayeanza kutongoza halafu mwanamke ndiye anayefuata kutoa jibu la aidha kukubali au kukataa na ndiyo maana nikasema wanaume mnapotongoza huku mkijua kabisa hamna nia ya dhati nanyi pia mnakosea hivyo mnatakiwa mlaumiwe pia
 
Mmhh ujue mimi tu sijawahi kukuona umecomment sehemu ndiyo nakuona leo kwa mara ya kwanza kwenye huu uzi labda kama nimeshawahi kukuona umecomment mahali ila nimesahau sasa nashangaa watu wanavyotufananisha
Watu wananifananisha na wewe aisee, sema sikuhizi mvivu wa Ku comment humu
 
Back
Top Bottom