Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hahaha!! Kujisifia mimba siyo kwasababu kuna mchango wa mwanaume hapo. Unatakiwa ujisifie kitu ambacho wewe mwanamke unakifanya bila mchango wa mwanaume. Samahani lakini mama kwa kukukosoa..
Bila samahani hapa tunaelimishana tu lakini hata kama wanaume mna mchango utaweza kuulinganisha na wanayoyafanya wanawake yaani kweli kabisa ukafananishe kitendo cha kumwaga mbegu na shughuli ya kubeba mimba kuzaa na kunyonyesha??
 
Barikiwa Mkuu
 
Yaani wewe unaulizwa hiki unajibu hiki halafu hata swali ambalo linahitaji jibu fupi tu wewe unazunguka kama tiara!!

Nimekuuliza amri ya kwamba mwanaume atamtawala mwanamke ilitolewa na Mungu kabla au baada ya Adam na Evah kula tunda??
 
sasa kuna mwenzako anapinga hadi hio dominance.
na hilo swala la kukandamizwa em lifafanue vizuri. em nipe mfano
Mambo kandamizi Kama vipigo pasi na sababu ya msingi,,kutohusishwa katika maamuzi,kufokewa hovyo na kunyimwa Haki za msingi Kama elimu.

Kuwa kiongozi haimaanishi uwe mnyanyasaji..bali inahitaji hekima na maarifa ya hali ya juu kuhakikisha una maintain status yako Kama baba pia unaipenda na kuithamini familia.
 
mamaangu kwa huo ufeminist ulionao hata ukipita na bikini sishtuki.
Hahahaha hata hivyo huna la kufanana na huyu mfalme siwezi kujipitisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo atakuwa labda mfalme juha
Haki ya Nani nimecheka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
Jf haijawahi ziacha mbavu zangu salama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kapeace [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni wewe kweli,!????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unafananisha kitendo cha kumwaga mbegu na shughuli ya kubeba mimba kuzaa na kunyonyesha??
Huyu nae hoja zake huwa anaziona kabisa nyepesi halafu anaziweka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Halafu Hiyo username yako imenistua Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

upo sawa kwenye upande wa unyanyasaji na si sawa mwanaume kufanya hivyo. ila tukirudi kwenye topic, naona unakubali ukuu wa baba katika familia na unakiri kuwa mwanaume anaetambua ukuu wake ana mvuto flani hata kimapenzi.

mimi nakutakia kila la kheri katika kupata mume bora. maana wewe ni mke bora.
 
Shida Ni pale watu wanavyoutumia huu ukuu kinyume na maagizo ya Mungu.
 
Nice joke Karma.. ila ID ya Mariannah ilikua na mvuto zaidi. Hii imekaa kizombie and DP is not attractive.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha nacheka kistockholm mie halooo halo ya denmark

Ila acha kuzuga dogo umeumbuka we sema tu ukweli kuwa upo zako buza kanisani au gongo la mboto mwisho wa lami una maisha ya kubangaiza ila una ndoto za kukwea air mamtoni siku moja ufike huko unapopaota si dhambi mkuu
Sawa endelea kubishana Ndiyo tabia zenu huko tz

Nasikia mnakesha Sana kwenye mitandao ya kijamii kuliko kufanya Kazi

One day tutaheshimiana tuu
 
hilo nalo ni tatizo.
Na huu ukuu hutumiwa vibaya na wanaume karibia wote.
Wamebaki waking'ang'ania tu kuwa Ni vichwa lakini matendo yao hayasadifu wayasemayo...
Na imani bila matendo imekufa...kwa hiyo kuwa kichwa Cha familia bila vitendo nilivyotaja hapo juu Ni sawa na kazi bure.
 
Mzee wa Stockholm Denmark masikini usijali ipo siku ndoto zako za kwenda huko zitatimia tu usikate tamaa
Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha niolewe mara ngapi?? Pole mkuu siyo kila mwanaume yuko kama ninyi wavulana wengine waume zetu wanajielewa ndiyo maana tunawaheshimu siyo ninyi wavaa milegezo na midosho!!
Na mwanaume anaye jitambua hawez ku date na mwanamke Kama ww

Ila Ucjal endeleza uhanarakati wako

Sisi tutaoa hao wanawake wema waliobaki
 
Haujanielewa mimi sitetei uovu wa aina yoyote ile na mimi huwa nakemea maovu ya jinsia zote ila wanaume wengi ndiyo wanakemea maovu ya wanawake tu ya kwao hawayakemei rejea kichwa cha uzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…