Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila samahani hapa tunaelimishana tu lakini hata kama wanaume mna mchango utaweza kuulinganisha na wanayoyafanya wanawake yaani kweli kabisa ukafananishe kitendo cha kumwaga mbegu na shughuli ya kubeba mimba kuzaa na kunyonyesha??Hahaha!! Kujisifia mimba siyo kwasababu kuna mchango wa mwanaume hapo. Unatakiwa ujisifie kitu ambacho wewe mwanamke unakifanya bila mchango wa mwanaume. Samahani lakini mama kwa kukukosoa..
Tunapenda kuwa dominated ndiyo lakini si kwa kukandamizwa.
Barikiwa MkuuMwanamke anaweza kutoa mimba au kutupa mtoto ila ukumbuke na sisi wanaume tunachangia kwa 70% ya utoaji mimba. Ni sawa nakuchukua panga au kamba unampa mtu na unamwambia nyonga huyo mtu ukimuacha urafiki mimi na wewe unaisha. Unalala na mwanamke bila condom halafu anapata ujauzito unaukataa au unamwambia atoe huo ujauzito na kweli mwanamke anatoa. Ukimpa mwanamke mimba hata kama ni mtoaji mimba aliyekubuhu ukikomaa hatoi hiyo mimba.
WANAWAKE WANAMAKOSA NA SISI PIA TUNAMAKOSA. WANAWAKE WASINGEKUWA WANAJIUZA KAMA SISI WANAUME TUSINGEKUWA TUNANUNUA.
Yaani wewe unaulizwa hiki unajibu hiki halafu hata swali ambalo linahitaji jibu fupi tu wewe unazunguka kama tiara!!unasafari ndefu sana Mkuu kwenye hizi ishu.
Adamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu. Akatawale viumbe wote. Baadaye Mungu akaona hakuna wa kufanana na Adamu. Na ndipo wazo la kumuumba Hawa likazuka.
Hii ni kusema Hawa aliumbwa kwa mfano wa Adamu. Wakati huo Adamu alishapewa mamlaka ya kuitawala dunia. Hata jina la Mwanamke ambalo ni Hawa alilitoa Adamu.
Bado hujui unachokipigania ndio maana unapuyanga.
Fuatilia historia iwe ya dini ya dunia.
Nadhani nimejibu swali lako la kuwa mamlaka ya Adamu alipewa kabla au baada ya anguko.
Unadhani Mungu alipomuambia Adamu kuwa umeamua kuisikiliza sauti ya mkeo alimaanisha nini Mkuu.
Ni hivi Adamu kama Mume au mtawala hakupaswa kumsikiliza mke wake bali yeye ndiye alipaswa kusikilizwa.
Huwezi nielewa kwa akili ya kike hata siku moja
Mambo kandamizi Kama vipigo pasi na sababu ya msingi,,kutohusishwa katika maamuzi,kufokewa hovyo na kunyimwa Haki za msingi Kama elimu.sasa kuna mwenzako anapinga hadi hio dominance.
na hilo swala la kukandamizwa em lifafanue vizuri. em nipe mfano
mamaangu kwa huo ufeminist ulionao hata ukipita na bikini sishtuki.
Hahahaha hata hivyo huna la kufanana na huyu mfalme siwezi kujipitisha
Haki ya Nani nimecheka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji1373][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo atakuwa labda mfalme juha
Huyu nae hoja zake huwa anaziona kabisa nyepesi halafu anaziweka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Unafananisha kitendo cha kumwaga mbegu na shughuli ya kubeba mimba kuzaa na kunyonyesha??
Mambo kandamizi Kama vipigo pasi na sababu ya msingi,,kutohusishwa katika maamuzi,kufokewa hovyo na kunyimwa Haki za msingi Kama elimu.
Kuwa kiongozi haimaanishi uwe mnyanyasaji..bali inahitaji hekima na maarifa ya hali ya juu kuhakikisha una maintain status yako Kama baba pia unaipenda na kuithamini familia.
Shida Ni pale watu wanavyoutumia huu ukuu kinyume na maagizo ya Mungu.upo sawa kwenye upande wa unyanyasaji na si sawa mwanaume kufanya hivyo. ila tukirudi kwenye topic, naona unakubali ukuu wa baba katika familia na unakiri kuwa mwanaume anaetambua ukuu wake ana mvuto flani hata kimapenzi.
mimi nakutaki kila la kheri katika kupata mume bora. maana wewe ni mke bora.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo atakuwa labda mfalme juha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nice joke Karma.. ila ID ya Mariannah ilikua na mvuto zaidi. Hii imekaa kizombie and DP is not attractive.
Shida Ni pale watu wanavyoutumia huu ukuu kinyume na maagizo ya Mungu.
Sawa endelea kubishana Ndiyo tabia zenu huko tz
Nasikia mnakesha Sana kwenye mitandao ya kijamii kuliko kufanya Kazi
One day tutaheshimiana tuu
Na huu ukuu hutumiwa vibaya na wanaume karibia wote.hilo nalo ni tatizo.
Mzee wa Stockholm Denmark masikini usijali ipo siku ndoto zako za kwenda huko zitatimia tu usikate tamaa
Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha nacheka kistockholm mie halooo halo ya denmark
Ila acha kuzuga dogo umeumbuka we sema tu ukweli kuwa upo zako buza kanisani au gongo la mboto mwisho wa lami una maisha ya kubangaiza ila una ndoto za kukwea air mamtoni siku moja ufike huko unapopaota si dhambi mkuu
Na mwanaume anaye jitambua hawez ku date na mwanamke Kama ww
Ila Ucjal endeleza uhanarakati wako
Sisi tutaoa hao wanawake wema waliobaki
Mkuu marianah kuna jambo nilikuwa sijakuelewa vizuri??
Wewe unatetea maovu yanayofanywa na wanawake?? Na kama ni ndyo kwann utetee uovu unaotendwa na jinsia moja??? na si kukemea aina yoyote ya uovu unaotendendeka katika jamii zetu na watu wote kwa ujumla??