Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Huna hoja hapa kujadeal ka kitu ka previous post ni wastage of time
Ulitoa maana nzuri kiasi ya kufikiri nje ya box,lakini nikakupa mfano uonyeshe namna ya kufikiri nje ya box,ukashindwa nikahitimisha ya kuwa unafahamu maana tu ila uhalisia hauko nao.

Huwa tunasema hivi "Ukitaka kuruka hakikisha umeagana na nyonga" na husemwa hivi "Tengeneza kiti chako kwanza kisha ndio ukipambe"


Nipo .....
 
Unaweza kutumia ya logic kukosoa haya niliyo yaandika ? Jibu huwezi sababu hujui hata mipaka ya logic,inaonekana unapenda sana kusikia maneno bila kuyaelewa maneno hayo.

Nakuonyesha ya kuwa kila unalo andika unatakiwa ulijue na hii ndio maana halisi ya mijadala,sasa unajadili jambo mwisho wa siku hata kulitetea na kulijengea hoja huwezi,haya ni matumizi mabaya ya akili.

Usiposoma wewe watasoma mfano wako na wasio kuwa nyinyi. Kuna muda tuna yaandika haya ili wengine waone ujinga ulipo.

Hii ni kwako wewe khasa na kwa wengine kwa ujumla.
I konw each and everything Im writing sasa wewe una pick ka neno kamoja Mara ukweli sijui nje ya box heeeh huo ujinga sasa
 
Hiyo unajua wewe bwana.
Mimi najua usiku wa manane
Ndio maana mnakuwa wajinga na kuonekana vituko,unaambiwa ukweli unaukataa kwa ujinga wako na kujitutumua,na hivi ndivyo mlivyo kwa kila jambo,yaani hamjui jambo na mnakosea mnaambiwa ukweli mnakataa.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hahahahha!! Chiliax girl, why all of these faux pas and gaffes?

Has my unflappant statement sent you out of your composure?

Let me demystify whatever seems to perplex your damn mind.

When i said half-man half-woman i literally meant the kind of man whose manhood is already gigantically engulfed by waves of feminism and he has no genuine masculinity anymore.

A man who is ready to comply with whatever conditions his woman gives him.

I know most of men dating feminists falling in those aforementioned characters.

I didn't mean to offend you as you perceived it.
Umenichekesha sana na vingereza uchwara na hayo maneno acha utoto huo sijahangaika kusoma yote hahaaa hyo yote kukwepa tu hoja.
 
Yani since I started arguing with you sijaona jipya unapick minor words, ambayo haina mashiko kabisa
Niliyo yaandika huyakuti katika kipimo chenu cha IQ,najua nimekuandikia jambo jipya.

Siku ukiwa na hoja na ukishajua maana ya maneno unayo jiegemeza kwayi,nitustue,tuendelee hapa tulipoishia.

Huwa tunazungumza kanuni,hatulalami sisi.
 
Ile sisi iliisha kuanzia katika matumizi ya lugha mpaka kwenye ku "reconcile" maandiko yanakupa jibu moja la kuwa pale kujitukuza kwa Mola na kuonyesha hadhi yake na mwanadamu akawa ameumbwa katika umbile bora la kwake mwenyewe kwa dhati yake.
Unaamini katika utatu mtakatifu?
Kwenye biblia huo ndio uliotumika kila penye wingi wa Mungu.
Hebu nipe notes za kiarabu nisome hapo "sisi" inapomaaanisha ni umoja.
 
Nasomaga mada hadi za mwaka 2010 humu enzi hizo JF ina wanaume wanaojielewa mwanaume akichangia unasema yes huyu kweli mwanaume kachangia siyo michango ya siku hizi mtu anachangia hadi unabaki unajiuliza hivi huyu naye kweli anasimama mbele za watu na yeye anajiita mwanaume??
Basi huwa hupitii mada za zamani zamani.
 
Tofauti Yao hawa.
Lizarazu huwa anabisha kwa facts...ila yule jamaa aisee...sometimes anabisha tu kwa kulazimishia mambo[emoji23][emoji23][emoji23].
Mnafiia mwisho Mara anarudi katikati Mara anaenda mwanzo mnaanza upya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani huyo mtoe kabisa kwenye list hajui kutetea hoja zake na wala hata hizo zenyewe tu hana kwanza
 
Ohoo..kumbe hata yeye amekosea[emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hebu mchukue Kaka yako huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo amekosea yeye aliyenikosoa,nimeshamrekebisha tayari.

Japokuwa mimi ni mwanadamu na huwa nakosea,ila katika hili amekosea yeye,tamko hilo ni tamko la kiarabu linalosomeka "المنان" ,umeitwa usikuwa wa Manaani kwa sababu Maaani ni jina la Mola wetu muumba.
 
Nasomaga mada hadi za mwaka 2010 humu enzi hizo JF ina wanaume wanaojielewa mwanaume akichangia unasema yes huyu kweli mwanaume kachangia siyo michango ya siku hizi mtu anachangia hadi unabaki unajiuliza hivi huyu naye kweli anasimama mbele za watu na yeye anajiita mwanaume??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Basi hujawahi kumbahatisha..ana michango iliyosimama humu.
 
50/50 itafuteni tu wenyewe. Duniani si mnatuzidi namba. Endeleeni tu.
Ndiyo sasa ninyi kwani hata wanawake wakiandamana barabarani kutaka ndoa ninyi mnaumia?? Kama hamuumii si ndiyo mnyamaze sasa na hata wakidai ndoa si mjifanye kama hamuwaoni??
 
Hapo amekosea yeye aliyenikosoa,nimeshamrekebisha tayari.

Japokuwa mimi ni mwanadamu na huwa nakosea,ila katika hili amekosea yeye,tamko hilo ni tamko la kiarabu linalosomeka "المنان" ,umeitwa usikuwa wa Manaani kwa sababu Maaani ni jina la Mola wetu muumba.
We naye na kiarabu chako.
Basi Mimi nimezoea Hilo Hilo usiku ya manane...huo mwingine utakuwa wako bwana.
 
Yaani siku ile ilikuwa ajabu
Hahahaha..
Hawezi akakwambia...Maana huwa mpo kwenye mabishano siku zote.
Siku nzuri ya kukuambia haya ilikuwa siku ile tunapiga story na yule shimba ya buyenze..
Kwa Mara ya kwanza ukawa unapiga story na Lizarazu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Basi haukutakiwa kusema kwamba eti ninyi ndiyo mnatuwezesha hapo
Naona unazidi kukurupuka na kutokuwa nakino,nani amekwambia kwamba nimesema sisi ndio tunawawezesha ?

Suala la mimba kupata au kukosa liko nje ya mwanadamu yeyote,na muwezeshaji ni Mola muumba,binadamu huwa ni sababu tu,kwahiyo umekosea kunijibu kwa maana yako.
 
Unaamini katika utatu mtakatifu?
Kwenye biblia huo ndio uliotumika kila penye wingi wa Mungu.
Hebu nipe notes za kiarabu nisome hapo "sisi" inapomaaanisha ni umoja.
Anazo ila hapa huwa anang'ang'ania kukoamaa na kiswahili tu.
Tena unaona kabisa analazimisha "sisi" iwe "Mimi"
 
Sijui ana matatizo gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu naye unakuta anajitutumua kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji14]
Na asili zake za maneno...ameshikilia Hadi Basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enhe niambie kwanini umesema username yangu imekushitua
 
Ha ha haaaa
Kwa hiyo kama sisi tunawaletea na haiwafurahishi kwa nini mnanunua?
Wanaume hamjaacha tuu kujitetea kwa kumsingizia mwanamke.

Kule bustanini adamu kapewa tunda na akalila (alikuwa na uwezo wa kulikataa) alipoulizwa kwanini kala na wakati waliambiwa wasile, utetezi wake ulikuwa "ni huyu mwanamke kaniletea".
.
Ni sawa na utetezi wenu eti ni kwa sababu sisi tunawaletea na nyie mnaamua kununua.
Lakini jiulize kule bustani ya Eden Mungu alitoa adhabu kwa Eva tuu kwa sababu yeye ndio alipeleka tunda au alitoa adhabu kwa wrote? Hiyo inamaanisha mpelela tunda na mla tunda wote walitenda dhambi.
.
Sasa nyie nunueni wanaojiuza halafu uone hao ndio wana dhambi nyie hamna.
Nafurahi kwa majibu hayo ni wazi mnatupeleka motoni.
Mnatushawishi huku mkijua wazi tuna vichwa viwili tusameheni nyie ni ubavu wetu tunaachaje kuwasiliza
 
Back
Top Bottom