Sasa wewe Mwanamke utatetea nini wakati hii dunia uliletwa kwa dharura.
Wanawake hamna haki ya kuongea lolote kwenye huu ulimwengu. Labda mtake kupoteza muda wenu tuu.
Mnachoweza kufanya ni kuharibu wala sio kujenga.
Unachoongea kina usahihi lakini kimesemwa na mtu asiyesahihi.
Kawaambie Wanawake wenzako huko au.watoto ndio watakuelewa. Tena hata wanawake wenzako watakudharau kwa kuwa wewe ni mwanamke mwenzao. Huna utakalo waambia. Nyie wote ni watumwa wa mwanaume.
Bado hujui ni kwa sababu gani hata nyie wanawake wenyewe kwa wenyewe mnadharauliana.