Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
- #981
Hata ninyi wanaume siyo jukumu lenu kushupalia maovu yetu wanawake na kama lingekuwa ni jukumu lenu basi mngeshafanikiwa halafu aliyekwambia mimi ni mtumwa kwa mume wangu ni nani??Majukumu ya mwanaume ni pamoja na kukutawala. Na wewe jukumu lako ni kutawaliwa.
Hayo ya mwanaume kufanya uovu sio wajibu wako wewe mtumwa kuuliza habari za Bwana wako.
Unadhani kila mwanaume hajielewi kama wewe labda kama mke wako ndiyo mtumwa kwako na ninampa pole sana maana kapata galasa haswa japo hapa utajifanya kusema eti anayafurahia hayo maisha lakini wapi!!