Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ya ajabu halafu imechage ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enhe niambie kwanini umesema username yangu imekushitua
Tatizo hamsomi Kiswahili japokuwa ni ligja yenu,unapokosolewa kubali kukosolewa msilete ubishi katika hakuna.We naye na kiarabu chako.
Basi Mimi nimezoea Hilo Hilo usiku ya manane...huo mwingine utakuwa wako bwana.
Oohh Okay
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawashangaa wanaojifanya wananijua kuliko ninavyojijua mwenyewe yaani mtu anachukulia serious hadi vitu kama hivi badala ya kustick kwenye mada haki kuna watu humu michango yangu inawachoma kama visu ndiyo maana wananitemea cheche hata kwa mambo yasiyo ya msingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya Nani akili zako unazijua mwenyewe.
Sasa Manga muache kututupia lawama.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ha ha haaaaNafurahi kwa majibu hayo ni wazi mnatupeleka motoni.
Mnatushawishi huku mkijua wazi tuna vichwa viwili tusameheni nyie ni ubavu wetu tunaachaje kuwasiliza
Kwani kasema tusikosolewe? Ila nyie mnataka 50/50 ambayo haipo.
50/50 tupeane huku kazini, kumiliki mali, et al sio huku mitaani tunakojenga familia. Huku hakuna 50/50 vote.
Si ndio hapo sasa namwambia adhibitishe "sisi " ni sawa na "Mimi" ameshindwa.Anazo ila hapa huwa anang'ang'ania kukoamaa na kiswahili tu.
Tena unaona kabisa analazimisha "sisi" iwe "Mimi"
ok chief tupo pamoja.Hapana hapa umekosea wewe sio "Manaani" sababu "Manaani" ni katika majina ya Mola wetu muumba.
Swadaktaa linatokana na tamko la Kiarabu la "المنان".
Kwahiyo hapo umekosea wewe,inabidi urekebishe.
Sisi huwa tuna angali hanzo kwanza ili kutibu tatizo hatuangalii matokeo.Huna hoja hapa kujadeal ka kitu ka previous post ni wastage of time
Sasa muuzaji na mnunuaji wote ni mala.ya.
Sasa kwanini mnakuwa mnasema vibaya wanaouza na wakati nyie ni loyal customers?
Ni sawa iwe muuza pombe ndio asemwe vibaya na wewe unaonunua pombe unalewa hadi unaanguka kwa mitaro uonekane mjanja.
Ohoo..kumbe hata yeye amekosea[emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hebu mchukue Kaka yako huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bibie nikuthibitishie mara ngapi ? Au labda niliyoyathibitisha yalikuzidi uwezo ukawa hujayaelewa ? Maana nilitoa mpaka mfano kwa lugha ya Kiswahili na nikapanisha maandiko nilapata jibu moja.Si ndio hapo sasa namwambia adhibitishe "sisi " ni sawa na "Mimi" ameshindwa.
Wakina nani hao Wananisikiliza kwa kila kitu ? Kama kweli mbona hamtaki niwe wake zangu namba 3 na 4 bado ziko wazi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu Zurri kashaona watu wanamsikiliza kwa kila kitu anaamua sasa aanze kuwa anawapiga nyundo!!
Sijkubishia Zurri.Tatizo hamsomi Kiswahili japokuwa ni ligja yenu,unapokosolewa kubali kukosolewa msilete ubishi katika hakuna.
Jf ilipitia utoto na ujinga mwingi wasio wavumilivu waliamua kuacha jf kwa muda usiojulikana.Huyu dada hata Mimi sijamuona muda mrefu.
Nimemmiss Sana..Kuna siku nimtag.
Nadhani atakuwa kwenye ile inshu aliyosema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi atusamehe tu kwa tutakavyomchukulia siyo mbaya mbona mimi humu kuna watu wananichukulia wanavyojua wao na siwakatazi kwani wakinichukulia hivyo ndiyo itabadilisha ukweli?? Nope never!!
Lazima turudi kwenye asili na marejeo bibie,na matatizo yenu yana asili na chanzo sasa wenye akili timamu tunaangalia huko mara nyingi wengi huwa wanapuuzia asiki.I konw each and everything Im writing sasa wewe una pick ka neno kamoja Mara ukweli sijui nje ya box heeeh huo ujinga sasa