Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
-
- #1,161
Msitake kulazimisha binadamu tufanane na wanyama maana naona wanaume mmekazania sana kutolea mifano ya wanyama utadhani tuliambiwa tuige maisha yaoUlitaka tutoe reference mwilini mwako? Ok, fine. Kwa asili ya maumbile yetu, DUME moja kwa MAJIKE kadhaa ni sawa na ndio maana mnajitoa fahamu baadhi ya sehemu lkn when it comes to serious issues mnatumia akili vyema.
Nitafutie mwanamke mjasiriamali ambaye ana ubongo mfupia kiasi umpe mtaji wa kufuga mbuzi halafu aende kununua MAJIKE SITA na MABEBERU SITA eti kwa kuwa anapenda usawa....mfyuuuu zenu!
Kuna tofauti kuwa sana kati ya binadamu na wanyama sisi tuna maisha mengine baada ya kifo wao hawana sisi tumewekewa sheria za kufuata wao hawajawekewa sisi tumekatazwa uzinzi na uasherati ila wao hawajakatazwa sasa endeleeni na huo ujinga