Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Ulitaka tutoe reference mwilini mwako? Ok, fine. Kwa asili ya maumbile yetu, DUME moja kwa MAJIKE kadhaa ni sawa na ndio maana mnajitoa fahamu baadhi ya sehemu lkn when it comes to serious issues mnatumia akili vyema.

Nitafutie mwanamke mjasiriamali ambaye ana ubongo mfupia kiasi umpe mtaji wa kufuga mbuzi halafu aende kununua MAJIKE SITA na MABEBERU SITA eti kwa kuwa anapenda usawa....mfyuuuu zenu!
Msitake kulazimisha binadamu tufanane na wanyama maana naona wanaume mmekazania sana kutolea mifano ya wanyama utadhani tuliambiwa tuige maisha yao

Kuna tofauti kuwa sana kati ya binadamu na wanyama sisi tuna maisha mengine baada ya kifo wao hawana sisi tumewekewa sheria za kufuata wao hawajawekewa sisi tumekatazwa uzinzi na uasherati ila wao hawajakatazwa sasa endeleeni na huo ujinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa
Hahaha angepatikana hata nusu mfalme Suleiman humu mbona tungetafutana lakini hawa hata sehemu ya kivuli chake tu hawana

Ni sawa na mie nijitutumue kujifananisha na kina Cleopatra, maria, au Easter
 
Ndo nini kubadili jina hilo halafu jina kali hivyo, nimeumia kweli ujue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti umeumia jomoni mbona ni la kawaida tu
 
Hakuna anayetaka mbadilike Mkuu mbona huwaelewi wanaume.

Wanaume wanaposema Ninyi ni malaya na wajinga haimaanishi mbadilike kwani udhaifu wenu unatunufaisha wanaume.

Hivi ukimuona Mzungu akiokemea maovu ya Muafrika unadhani lengo lake ni kumkomboa na kumbadilisha muafrika?
Kama ndivyo unafikiri hivyo utakuwa umeumia Mkuu.

Wanawake ni watawaliwa. Sema bado hujajua ulimwengu huu ukoje.

Labda nikunusishe kidogo.

Ipo Hivi Hii dunia inaendeshwa na wanaume kibiashara. Inaendeshwa na Watawala.

Kitendo cha kuwatetea Wanawake kwa siku hizi kinamanufaa kuliko kuwakandamiza ndio maana Makampuni ya kigeni ya Watawala kutoka ughaibuni yanaipigana kufa kupona kuwapa Uhuru wenu.

Uhuru kwa mwanamke haupo kwa lengo la kumsaidia bali kumtumia. Sijui kama unalijua jambo hili.

Uhuru wa Mwanamke ni biashara kubwa hapa duniani. Huenda bado upo nyuma ya Dunia.

Bidhaa nyingi za watawala ili zitumike zinahitaji zaidi mwanamke awe huru ili ziende kwa urahisi.

Mfano. Biashara za vipodozi, Biashara za nguo hasa nguo za uchi, Biashara za Urembo, Biashara za Burudani kama Video queen, Ponography,

Biashara za Mawigi, Biashara za umalaya. Zote hizi zinategemea uhuru wa mwanamke. Unafikiri bila kuwapa uhuru mambo hayo yataenda.

Huenda hujui unalosimamia na hujafanya upembuzi.

Ukiona Mzungu anapigania uhuru wa Muafrika ujue ameshaona atanufaika zaidi kwenye uhuru wa muafrika kuliko akamnyima uhuru.

Hata hivyo Unapaswa kunishukuru kwa kukuvumilia kutokana na kuwa unaelimu ndogo sana na jinsi dunia inavyoendeshwa.
Kwanini useme kwamba wanaume wanatupa uhuru wanawake tufanye uovu ili watutumie hivi kwani uovu wa wanawake umeanza millenia hii?? Mbona hata enzi za biblia walikuwepo wanawake wengi tu makahaba (na hata wewe ulishawahi kulisema hili) pamoja na kwamba hakuna mwanaume aliyekuwa anajishughulisha kutetea wanawake enzi hizo zaidi ya kuwadhalilisha tu tena hadharani

Lakini maovu ya wanawake yalikuwepo sana tu wengine walikuwa wauaji wakubwa na zamani ilikuwa ikigundulika kuwa mwanaume kauliwa na mwanamke basi maiti yake haizikwi kama binadamu bali inatupwa kama mbwa kwa sababu mwanaume kuuliwa na mwanamke ilikuwa ni aibu kubwa sasa wewe leo hii unasemaje eti wanaume wanatupa uhuru ili tufanye maovu watutumie kana kwamba hayo maovu ya wanawake hayakuwahi kuwepo hata kabla ya huu 'uhuru' mnaodhani mnatupa sasa hivi??
 
Nimeshakuambia kuhusu mambo ya Biblia achana nayo maana huna ujualo.

Labda nikupe mwanga kuhusu Kisa cha huyo umuitaye Suleiman ambaye bila shaka humjui.

Suleiman ambaye Mama yake ni Bathi Sheba aliingia utawalani tofauti na matarajio ya wengi. Hii ni kutokana na uwepo wa Kaka yake aitwaye Adonia.

Moja ya Majukumu aliyopewa Suleiman na Baba yake Mfalme Daudi siku alipomuachia ufalme na kumpa Wosia. Ni kumuua Yoabu mwana wa Seruya. Daudi alimuagiza Mwanaye Suleiman kuwa ahakikishe kuwa Yoabu Mwana wa Seruya asiingie kaburini kwa amani. Suleiman alimuua Yoabu.

Pengine hujui habari pia za Adonia.

Ukija kuongea humu uombe kufunzwa sio kujifanya Mwalimu kwa mambo usiyoyajua.

Ndio maana nikakuambia hakuna Mfalme asiyeua.

Suleiman ameua mara kadhaa tuu alivyoingia utawalani.

Kama hujui Biblia sema ufunzwe
Sasa kwani nani kasema kwamba wafalme hawakuua au nani kasema kwamba historia ya Suleiman siijui?? Hivi hauwezi kutoa hoja zako bila kujiona unajua sana na kulazimisha kuwa wengine hawajui??

Maana unayoyaandika yote yako wazi halafu nakushangaa ulivyo mjinga unadhani eti siyajui kwa sababu tu sijayaongea haya umesimulia yote hayo lakini umerudi pale pale kwenye swali langu la awali kwamba kwahiyo je kuua siyo dhambi tena kwa sababu hao wafalme waliua?? Jibu swali!!
 
Kwa akili yako Mume wako atakuambia wewe ni Mtumwa si ndio?

Hata Mke wangu siwezi mwambia hivyo ingawaje ndio uhalisia. Ni ili asijisikie vibaya ila uhalisia upo hivyo.

Unaonekana hujui Masuala ya utawala ndio maana unaongea. Hata hivyo wewe ni mwanamke huwezijua mambo ya utawala.

Hivi kwa akili yako Bila nyie kufanya uovu unadhani mtatawaliwajwe?

Sisi tunawasema ninyi ni waovu sio ili mbadilike bali ili mzidi kujiona ninyi ni dhaifu na Mnastahili kutawaliwa.

Hata Mungu sio kama anashindwa kuondoa maovu ya wanadamu ambao ni watawaliwa. Bali ni ili mwanadamu azidi kuwa chini ya himaya yake.

Ili wanadamu wajiona ni wadhaifu. Kama Mungu angekuwa anania ya kuondoa dhambi angeiondoa muda mrefu lakini kanuni za utawala hazipo hivyo.

hapo juu nimekupa mfano wa Wazungu na Waafrika. Kuwa mzungu kutuponda na anavyotupa misaada sio kwa lengo la kutusaidia tubadilike ili tuwe watu bora. Lakini udhaifu wetu unawanufaisha.

Bado sana Marianah. Unahaja ya kujifunza.

Nami nipo hapa kukupa hinti ndogo ndogo.
Aise mimi huwa sifuati mitazamo bali nafuata maandiko naona sasa na mimi nianze kuwa kama Zurri kila kitu nidai ushahidi wa maandiko maana naona siku hizi kila mtu anajiropokea tu anachokiamini yeye na kulazimisha kiwe uhalisia haya niletee andiko linalosema kuwa mwanamke ni mtumwa kwa mwanaume sihitaji porojo wewe lete andiko tu tofauti na hapo hii ni mihemko kama mihemko mingine tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwani nani kasema kwamba wafalme hawakuua au nani kasema kwamba historia ya Suleiman siijui?? Hivi hauwezi kutoa hoja zako bila kujiona unajua sana na kulazimisha kuwa wengine hawajui??

Maana unayoyaandika yote yako wazi halafu nakushangaa ulivyo mjinga unadhani eti siyajui kwa sababu tu sijayaongea haya umesimulia yote hayo lakini umerudi pale pale kwenye swali langu la awali kwamba kwahiyo je kuua siyo dhambi tena kwa sababu hao wafalme waliua?? Jibu swali!!
 
Kuna uzi hukooo, wanaume wamesema wao ni Sawa na wa wanawake na wanataka usawa

aisee haiwezekan hao sio wanaume tunatakaje usawa wakati sisi ni matawala na tuna enjoy kuwatawala

naomba unitag nikashuhudie hao michicha mwiba
 
DAAAAAAH MKUUUUUUU NIMEACHA SUPU INAPOA KISA HIII POINT YAKO AISEE.
KONGOLE SANA KAKA.
WASIPOELEWA HAPA BASI TENA TUNAWE MIKONO.HAWAJUI KAMA WANANG'ATWA NA KUPULIZA.
WE KILA MWANAMKE AKIWA MFUNGIWA NDAN NAN ATAFANYA MATANGAZO YA VIPODOZI???
KILA MWANAMKE AKIWA HOUSE MOTHER NANI ATAECHEZA PORN VIDEOS????
KILA MWANAMKE AKICHUNGWA KM WALIVYOKUA WANAFANYA MABABU ZETU HAKUNA KUFANYA KAZ HVYO HUNA SABABU YA KUTOKA NJE NAN ATAESHIRIKI MASHINDANO YA UKAAJI NUSU UCHI YA UMISS NA UTANGAZAJI FASHION?????
ILA KUTOKANA NA KUWA NI WANAWAKE HAWAPENDAGI KUKUBALI UHALISIA BADO WATAPINGA.
CARIHAAAAAAAAA UKUJE HUKU HARAKA SANA UISOME HII UKUJE!!!!!!!
DADA SAINT ANNE NISAIDIE KUMUITA KIDOSHO AITWAYE CARIHA IKUJE HAPA.
Mtazunguka kote ila mtarudi pale pale kuwa hakuna jinsia inayoruhusiwa kutenda maovu ninyi semeni habari za vipodozi sijui pornvideos kwa lengo la kuwatumia wanawake utadhani ninyi mnavyowatumia hao wanawake ndiyo mko sahihi yaani mnasahau kwamba ninyi mnaowapa huo mnaouita uhuru wanawake ili muwatumie pamoja na hao wanawake wanaokubali kutumiwa wote ni malaya tu na wote hukumu inawahusu sasa mnavyotetea hivyo sijui mnadhani kwamba ninyi hamtahukumiwa bali hao wanawake ndiyo watahukumiwa?? Kama hamjaipata point yangu na hapa basi itoshe tu kusema kwamba wanaume mna kiburi cha asili kinawachowafanya mgome kuukubali hata ukweli ulio wazi
 
Msitake kulazimisha binadamu tufanane na wanyama maana naona wanaume mmekazania sana kutolea mifano ya wanyama utadhani tuliambiwa tuige maisha yao

Kuna tofauti kuwa sana kati ya binadamu na wanyama sisi tuna maisha mengine baada ya kifo wao hawana sisi tumewekewa sheria za kufuata wao hawajawekewa sisi tumekatazwa uzinzi na uasherati ila wao hawajakatazwa sasa endeleeni na huo ujinga
Hamna anayelazimisha, ni suala la itifaki ya kimaumbile ndio maana mwanaume mmoja ana uwezo wa kugawa mimba 22 na zaidi ndani ya mwezi, lkn huwezi kubeba mimba za wanaume wawili kwa wakati mmoja. Sihalalishi mtu mmoja kuwa na wake kumi lakini nataka nikuondolee hii nadharia ya ulinganifu maana inakinzana na hata maagizo ya Mungu juu ya wanadamu.
 
Basi na ninyi endeleeni kushupalia maovu ya wanawake halafu mtatuambia mmefikia wapi!!
Basi na ninyi endeleeni kushupalia maovu ya wanawake halafu mtatuambia mmefikia wapi!!

kama ujumbe unawafkia waache wamiishupalie

asili yetu ubabe hatupend kushindwa mijadala Kama hii haiwez isha hamuwez kuwa sawa na sisi acheni ligi nyie viumbe mmeumbwa dhaifu kwetu nyie mmeumbwa na mbavu yetu moja
 
Kwanini useme kwamba wanaume wanatupa uhuru wanawake tufanye uovu ili watutumie hivi kwani uovu wa wanawake umeanza millenia hii?? Mbona hata enzi za biblia walikuwepo wanawake wengi tu makahaba (na hata wewe ulishawahi kulisema hili) pamoja na kwamba hakuna mwanaume aliyekuwa anajishughulisha kutetea wanawake enzi hizo zaidi ya kuwadhalilisha tu tena hadharani

Lakini maovu ya wanawake yalikuwepo sana tu wengine walikuwa wauaji wakubwa na zamani ilikuwa ikigundulika kuwa mwanaume kauliwa na mwanamke basi maiti yake haizikwi kama binadamu bali inatupwa kama mbwa kwa sababu mwanaume kuuliwa na mwanamke ilikuwa ni aibu kubwa sasa wewe leo hii unasemaje eti wanaume wanatupa uhuru ili tufanye maovu watutumie kana kwamba hayo maovu ya wanawake hayakuwahi kuwepo hata kabla ya huu 'uhuru' mnaodhani mnatupa sasa hivi??
Hujamuelewa jamaa vema dada.
Amesema sisi tunayasema maovu yenu sana ili kutengeneza inferior mindset kwenu na mbaki chini yetu .
Hiko ndicho tunachokifanya sisi.
Vitu mvifanyavyo nyie vinaonesha inferiority kabbisa hususan ktk mtazamo wa kifikra mwishowe tunaendelea kuwaeka chini kinadharia na kivitendo pia.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Aliumbwa baada ya mwanaume na kutokana na mwanaume lakini hakujua kuhusu hayo maswala ya utawala na yote yaliyomo ndani yake na Shetani ndiye aliyemshawishi Evah na kisha Evah kumshawishi Adam

Na ndipo Mungu alipoamua kuweka wazi kuwa mwanaume ndiyo atakuwa mtawala kwa mwanamke ila kabla ya hapo hakusema lolote ulitegemea wangejuaje?? Vitu vingine vinahitaji kutumia common sense tu!!
Ukweli upi huo ambao unasema ninaujua.

Kama ulikuwa hujui. Adamu aliumbwa peke yake. Akaagizwa atawale vyote vilivyomo. Hapo Eva hakujulikana hata yupo wapi.

Huyo Eva aliletwa baadaye kabisa na chakufurahisha ni kuwa ni matokeo ya Mwili wa Mwanaume ambaye ni Adamu.

Kwa akili yako unataka kusema Hawa na Adamu hawakuwa na Mtawala bali wote walikuwa watawala. Ni mpumbavu peke yake anaweza fikiri hivi
 
Anaelewa Sana sema ameamua kupiga Soga na Wanajukwaa
Hata kama ndiyo ningekuwa nimefikia hatua hiyo ya kupiga tu soga na wanajukwaa basi nisingepiga hilo soga na watu kama wewe yani I also wish I had that much time to waste like you but I don't have it
 
Mtazunguka kote ila mtarudi pale pale kuwa hakuna jinsia inayoruhusiwa kutenda maovu ninyi semeni habari za vipodozi sijui pornvideos kwa lengo la kuwatumia wanawake utadhani ninyi mnavyowatumia hao wanawake ndiyo mko sahihi yaani mnasahau kwamba ninyi mnaowapa huo mnaouita uhuru wanawake ili muwatumie pamoja na hao wanawake wanaokubali kutumiwa wote ni malaya tu na wote hukumu inawahusu sasa mnavyotetea hivyo sijui mnadhani kwamba ninyi hamtahukumiwa bali hao wanawake ndiyo watahukumiwa?? Kama hamjaipata point yangu na hapa basi itoshe tu kusema kwamba wanaume mna kiburi cha asili kinawachowafanya mgome kuukubali hata ukweli ulio wazi
Dada unasoma pasi na kuelewa nini kimezungumzwa ama kukusudiwa.
Hapo mim nawabeza wale wanaosema kuwa nyie jinsia ke na sisi jinsia me tuko 50/50 kwasababu siku hizi mmejipigania uhuru.
Kwa point yangu mm nilimaanisha bora tu mngebaki kukaa km babu zetu walivyoendesha maisha yao na bibi zetu huko nyuma kuliko kujifanya mnataka usawa ktk dunia ya sasa ya utandawazi ilhali usawa ama uhuru mnaoupigania hamuufaham mwishowe unawagharimu hususan heshima yenu.

Mathalan ktk kufanya kazi mwanaume alishafikiria kuwa kuna changamoto zitakupata ww mwanamke uking'ang'ania kutafuta hela zako mwenyewe mwishowe utaja kuwa mtumwa bila hata kutaka huko utaftapo pesa.Na dunia ya sasa wanawake wenyewe mnashikilia kutafuta pesa mwishowe mnatumika vibaya kutangaza nguo za nusu uchi,kutumika ktk video queen yan mtu unavaa chupi na sidiria ktk nyimbo ya diamond ilhali yeye kavaa suti eti unasema unatafta hela una uhuru wako na uheshimiwe.
Nani ataekuheshimu kwa kukatika ktk video za muziki ukiwa na chupi na sidiria???
Je hata mwanao anaja ona ulichofanya atafurahia????
Uhuru mnaoupigania eti nanyi mnataka mtafute kama sis na mshike pesa km sisi unawafanya muwe watumwa kwa namna nyingine ambayo mmeshindwa kuing'amua na hamkuitarajia.

Sijui utakua umenielewa dada angu??!!!!!
 
Ulishawahi kujiangalia kwenye kioo harafu kioo kijione chenyewe na kijikosoe

Yaaani badala yakuja na nyapu kututunuku unatuletea balaa

Sisi tutawasema no huruma mpaka mjirekebishe na nyie tusemeni tu mpaka tuyaache msiyoyapenda kwetu

Siku nyingine usiache kuja kututunuku kakojoleo mama
 
Aliumbwa baada ya mwanaume na kutokana na mwanaume lakini hakujua kuhusu hayo maswala ya utawala na yote yaliyomo ndani yake na Shetani ndiye aliyemshawishi Evah na kisha Evah kumshawishi Adam

Na ndipo Mungu alipoamua kuweka wazi kuwa mwanaume ndiyo atakuwa mtawala kwa mwanamke ila kabla ya hapo hakusema lolote ulitegemea wangejuaje?? Vitu vingine vinahitaji kutumia common sense tu!!
Dada labda km ww ukiwa mkristo lakn km muislam Mungu alitaka kumuumba mtawala wa dunia ndio maana akaanza kumuumba Adam wakiume kesha Eve.
Kuhusu suala la kula tunda hayo ni masuala ya ushawishi haihusiani na uongozi.
 
Kwahiyo ninyi kuwa watawala ndiyo kunawapa hati miliki ya kutenda maovu mnavyojisikia??
Hahaahahh tena ht ukija ktk Qur'an Mungu anasema.
"Nataka nijaalie ktk ardhi (dunian) kiongozi mtawala".
Cha ajabu akaja mwanaume Captain Commander Jevdeet Adam.Kwann hakuja Hawa ama Eve bali Eve alitokea baadae ubavuni mwa kushoto mwa Adam????!!!!!
Mkuu hawa ndugu zetu tukiwaambia kuwa utandawazi unawaharibu hawakai wakaelewa kabbisa.
Na ndio maana uhuru wanaopigania ni ule wa (be free from slavery for another slavery).
Kuwa huru ktk utumwa kwaajili ya utumwa mpya.
Wanaume tunawakataza wasifanye kazi watahudumiwa ipasavyo wanagoma oooh sikusoma nije nipike maharage.
At the end anaanza kazi ktk makampuni boss akimmendea na alivyo na akili fupi hasemi ili kulinda kazi yake atakua mtumwa wa kingono wa boss.
Yani anajikuta katoka ktk utumwa wa mfumo dume na kuwa mtumwa wa uhuru aloutaka wa kaz kwa boss.
 
Back
Top Bottom