Wanaume wa wapi? Si unajua wanaume wana brands?
Kuna kakundi kakubwa ka binadamu kutoka mikoa mbali mbali, wanatoka vijijini huko wanakuja mjini na kujisoftisha na makuku ya kisasa halafu wanajiita "wanaume wa Dar", hiyo kada ya hovyo sana.
Kwahiyo kuna mtu asipofanya mara tano kwa siku anaumwa au anakufa??
- Zile protein (nyeupe) zinazotengenezwa hazitakiwi kurundikana mwilini,kama kiwanda kinachozitengeneza hizo protein hakijaathiriwa.....uzalishaji wake unakuwa ni mkubwa sana na hulazimisha kutoka mwilini.Ndio maana me anashawishika kutafuta ke..hii ni kwa wale wenye afya njema 100%. Kuhusu muda,itategemea na afya ya muhusika.
- Kwa mwenye afya njema..huitaji tendo mara kwa mara,kwa hiyo inategemea kama huyo ke mmoja anauwezo wa kumpatia mara kwa mara mfano mara 5 kwa siku n.k ...kama ataweza itakuwa ngumu mtu kuchepuka.
Mkuu bora hata huyo aliyeishia la saba mimi ndiyo kabisa hata shule sijaenda yaani hata kusoma na kuandika nilikuja kufundishwa na mume wangu kwenye ndoa na english course nilijifunza vizuri kwa ras simbaAh tunadanganyana humu ndan kwa Id fake kumbe wengi wasomi.TENA ESPECIALLY WEWE NA MARIANAH MNAONEKANA MMEMALIZA DEGREE ZOTE KABBISA MAANA MNA UELEWA MPK MNAKERA.
Baada ya yeye kuniita Zero IQ nami nikaamsha makengeru kumjibu yuko myopic.
Waambie hao sio sisi.Kuna uzi hukooo, wanaume wamesema wao ni Sawa na wa wanawake na wanataka usawa
ha ha ha ukiona unahitaji kitu halafu huwezi kukipata au unajizuia usipate ni mateso.Ni sawa na upate kiu ya kunywa maji halafu ujizuie.....nadhani umenisoma mkuu.Kwahiyo kuna mtu asipofanya mara tano kwa siku anaumwa au anakufa??
Hamna anayelazimisha, ni suala la itifaki ya kimaumbile ndio maana mwanaume mmoja ana uwezo wa kugawa mimba 22 na zaidi ndani ya mwezi, lkn huwezi kubeba mimba za wanaume wawili kwa wakati mmoja. Sihalalishi mtu mmoja kuwa na wake kumi lakini nataka nikuondolee hii nadharia ya ulinganifu maana inakinzana na hata maagizo ya Mungu juu ya wanadamu.
Kwahiyo hiyo ndiyo sababu ya ninyi kutenda maovu mnavyojisikia na kujihalalishia kabisa??kama ujumbe unawafkia waache wamiishupalie
asili yetu ubabe hatupend kushindwa mijadala Kama hii haiwez isha hamuwez kuwa sawa na sisi acheni ligi nyie viumbe mmeumbwa dhaifu kwetu nyie mmeumbwa na mbavu yetu moja
Hujamuelewa jamaa vema dada.
Amesema sisi tunayasema maovu yenu sana ili kutengeneza inferior mindset kwenu na mbaki chini yetu .
Hiko ndicho tunachokifanya sisi.
Vitu mvifanyavyo nyie vinaonesha inferiority kabbisa hususan ktk mtazamo wa kifikra mwishowe tunaendelea kuwaeka chini kinadharia na kivitendo pia.
Dada unasoma pasi na kuelewa nini kimezungumzwa ama kukusudiwa.
Hapo mim nawabeza wale wanaosema kuwa nyie jinsia ke na sisi jinsia me tuko 50/50 kwasababu siku hizi mmejipigania uhuru.
Kwa point yangu mm nilimaanisha bora tu mngebaki kukaa km babu zetu walivyoendesha maisha yao na bibi zetu huko nyuma kuliko kujifanya mnataka usawa ktk dunia ya sasa ya utandawazi ilhali usawa ama uhuru mnaoupigania hamuufaham mwishowe unawagharimu hususan heshima yenu.
Mathalan ktk kufanya kazi mwanaume alishafikiria kuwa kuna changamoto zitakupata ww mwanamke uking'ang'ania kutafuta hela zako mwenyewe mwishowe utaja kuwa mtumwa bila hata kutaka huko utaftapo pesa.Na dunia ya sasa wanawake wenyewe mnashikilia kutafuta pesa mwishowe mnatumika vibaya kutangaza nguo za nusu uchi,kutumika ktk video queen yan mtu unavaa chupi na sidiria ktk nyimbo ya diamond ilhali yeye kavaa suti eti unasema unatafta hela una uhuru wako na uheshimiwe.
Nani ataekuheshimu kwa kukatika ktk video za muziki ukiwa na chupi na sidiria???
Je hata mwanao anaja ona ulichofanya atafurahia????
Uhuru mnaoupigania eti nanyi mnataka mtafute kama sis na mshike pesa km sisi unawafanya muwe watumwa kwa namna nyingine ambayo mmeshindwa kuing'amua na hamkuitarajia.
Sijui utakua umenielewa dada angu??!!!!!
Ulishawahi kujiangalia kwenye kioo harafu kioo kijione chenyewe na kijikosoe
Yaaani badala yakuja na nyapu kututunuku unatuletea balaa
Sisi tutawasema no huruma mpaka mjirekebishe na nyie tusemeni tu mpaka tuyaache msiyoyapenda kwetu
Siku nyingine usiache kuja kututunuku kakojoleo mama
Kwamba hauyajui??
Dada labda km ww ukiwa mkristo lakn km muislam Mungu alitaka kumuumba mtawala wa dunia ndio maana akaanza kumuumba Adam wakiume kesha Eve.
Kuhusu suala la kula tunda hayo ni masuala ya ushawishi haihusiani na uongozi.
Wanayo makosa lakini hayo makosa yamechagizwa na nyie.Nimekuelewa sana mkuu lakini naomba nikuulize swali je hao wanaume wanaofanya wanawake waishi hivyo hawana makosa??
Nimesoma thread vizuri km itakikanavyo.Kwani vitu wanavyovifanya wanawake vina utofauti gani na vitu wanavyovifanya wanaume?? Haujasoma uzi vizuri??
Noop haitupi sisi sifa hiyo bali katika maovu ulotaja mengi kama sio asilimia mia yanachagizwa nanyi wanawake.Kwahiyo ninyi kuwa watawala ndiyo kunawapa hati miliki ya kutenda maovu mnavyojisikia??
Hata kama ndiyo ningekuwa nimefikia hatua hiyo ya kupiga tu soga na wanajukwaa basi nisingepiga hilo soga na watu kama wewe yani I also wish I had that much time to waste like you but I don't have it
Aliumbwa baada ya mwanaume na kutokana na mwanaume lakini hakujua kuhusu hayo maswala ya utawala na yote yaliyomo ndani yake na Shetani ndiye aliyemshawishi Evah na kisha Evah kumshawishi Adam
Na ndipo Mungu alipoamua kuweka wazi kuwa mwanaume ndiyo atakuwa mtawala kwa mwanamke ila kabla ya hapo hakusema lolote ulitegemea wangejuaje?? Vitu vingine vinahitaji kutumia common sense tu!!