Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
- #1,181
Hivi sifa za wanaume wa kweli ni zipi??
Wanaume wa wapi? Si unajua wanaume wana brands?
Kuna kakundi kakubwa ka binadamu kutoka mikoa mbali mbali, wanatoka vijijini huko wanakuja mjini na kujisoftisha na makuku ya kisasa halafu wanajiita "wanaume wa Dar", hiyo kada ya hovyo sana.