Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Ndo uone kuwa plan ya wanaume kukandamiza wanawake tangu mwanzo. Umteketeze kahaba kwa Moto kwani huo ukahaba kafanya na nani Kama sio mwanaume?
 
Na ni biblia gani hiyo iliyomruhusu mwanaume kufanya uzinzi na uasherati??

Watu wa JF ndiyo hawa hawa wa mitaani na haya mambo yanaongelewa hadi mitaani!!
Na Kama imeruhusu mwanaume kufanya uasherati iweje isiruhusu na mwanamke? Uzinzi wanafanya na hao hao wanawake ambao ndo wanasema hawaruhusiwi. Mi naona sasa wafanye uzinzi wao kwa wao wasishirikishe mwanamke itapendeza
 
Nani umeweza kumuongoza utakavyo ndugu? Hapo unaongozwa na uncle magu jinsi apendavyo huna tofauti na unaowazungumzia
 
Vijana watano na wanawake kumi wakipewa injini waipandishe vijana ndo watafanikiwa hilo unalinganishaje?
Hapo ukipewa kitunguu ukatekate utatumia wiki nzima. Kimaumbile tunatofautiana sidhani kama mada inazungumzia kupimana nguvu za mwili. Kuna aina ya vijana wa kiume hata wakiwa kumi hawabebi hiyo engine unayoizungumzia
 
Uzi bora kabisa! Wanaume wanakuwa insecure Sana,wanaume wanaojiamini wanapungua kwa kasi,
Kazi kutoa excuse tuu, ooh wanawake wakorofi, visingizio kibao kumbe uoga wao,
Wanaume mnahisi nafasi yenu inapungua katika Jamii.
Asante mleta uzi
 
Kimatendo tuko nyuma, how? Ungetoa hata mfano ulio hai
Bado asilimia kubwa ya wanawake bado wapo nyuma katika nyanja nyingi ukilinganisha na wanaume. Mfano angalia hata bunge la Tanzania linaundwa na wanaume wengi kuliko wanawake. Lakini wamekuwa wakijinasibu kuwa chochote anachokifanya mwanaume wao wanaweza kufanya kwa ubora zaidi...
 
Bunge tu? Idadi sio muhimu sana lakini si wapo? Na wapo ambao wanafanya vizuri kwenye majimbo yao kuliko wanaume wengi. Waendesha malori wapo yaani kila sekta huwezi kosa mwanamke, na pia wapo wachache kutokana na huo mfumo dume tunaouzungumzia so idadi itaongezeka kadri miaka inavyoenda.
Hii mada inazungumzia zaidi tabia..jinsi mnavyojipa haki kwenye tabia mbaya halafu kwa mwanamke ni kosa la jinai.
 
Usha leta vifo apa so tuna mfu na mtu hai sawa na...Ivi kwan wanawake (Mke) hawafi?....kama akifa mwanaume nae inakuaje? hujanijibu swali langu la baba halali
Khaa hivi umelielewa swali langu kweli?? Mbona kama unajifanya umejifyatua akili?? Kuhusu swali lako niseme tu wanaume wengi ni wapumbavu hivi kwani DNA hamna??

Yaani ujue ndiyo nimeamini kwamba wanaume wengi mnapenda kulalamikia tu kila kitu sasa kwanini watoto wenu wanapozaliwa msiende kupima nao DNA kimya kimya mkajua kama hao watoto ni wenu au si wenu??
 
Sasa kati ya mimi na wewe ni nani anayetakiwa kwenda kusoma maandiko??

Hebu wewe unayeyajua maandiko niletee andiko lililoruhusu wanaume kutenda dhambi!!
Nenda kwa maandiko yote kuanzia Holy Scriptures na vingine vya kawaida ukasome kwanza ndio uje....rather u better shun ur mouth kuliko kubishana na vitu ulivyo vikuta na utaviacha wenzio walivikuta na wakaviacha wewe ni nani ata??
 
Hebu sasa acha kuzunguka twende direct maana naona unazuga nijibu hili swali kwahiyo wewe unasema Evah alipoumbwa tu kabla hajala tunda aliambiwa kwamba Adam ndiyo atamtawala si ndiyo??
 
Barikiwa Mkuu
Uzi bora kabisa! Wanaume wanakuwa insecure Sana,wanaume wanaojiamini wanapungua kwa kasi,
Kazi kutoa excuse tuu, ooh wanawake wakorofi, visingizio kibao kumbe uoga wao,
Wanaume mnahisi nafasi yenu inapungua katika Jamii.
Asante mleta uzi
 
wanawake mnakosea mnapotaka kujiweka level moja na mwanaume. Kama mwenyezi mungu aliweka tofauti hiyo wewe ni nani wa kushindana na ukweli huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…