Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Ndo uone kuwa plan ya wanaume kukandamiza wanawake tangu mwanzo. Umteketeze kahaba kwa Moto kwani huo ukahaba kafanya na nani Kama sio mwanaume?nimesema vitabu vya Mungu vimemfeva sana mwanaume kuliko mwanamke na hata tukitenda dhambi tunahisi tunastahili kuwa tolerated, sijasema tumeruhusiwa kutenda dhambi.
kwa mfano kama huu mstari wa biblia huoni unamkandamiza mwanamke na si mwanaume? mtoto wa kiume hajaonekana kama anaweza akamtia unajisi babaake kwa kulala na wanawake wengi..
ndo mana nakwambia tumekua programmed na maandiko tangu utotoni kuwaona wanawake kama watu wa chini.View attachment 1208083