Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Kila jinsia ibadilike kwa nafasi yake!!
 
Tatizo lako wewe hauwezi kuwasilisha hoja zako bila kumkashifu mtu au kuhusisha anayoandika na maisha yake halisi halafu unavyoongea utafikiri labda huyo mtu unamjua hata uso wake tu achilia mbali tabia yake

Sasa hapo haunijui unaongea hayo je ningekuruhusu unijue ingekuwaje?? Watu kama ninyi ndiyo mnanifanya nizidi kuwa makini katika kujuana na watu wa JF na ninazidi kujifunza kila siku!!
Hata mimi sina muda wa kuhangaika na maovu ya wanawake zaidi ya humu mtandaoni.

Nilikuja PM nikakupa mawasiliano naona ukaja kunianika humu. Yote ya yote sikulaumu wala siingilii uhuru wako.
 
Haya
 
Yaani nimeishia hapo uliposema kwamba kumpata mwanamke bikira Asia ni rahisi maana nimeishiwa nguvu za kuendelea kusoma mkuu usilolijua ni sawa na usiku wa giza kuna msemo unasema "no research no right to speak" yaani katika mabara yote sikutegemea kama ungelitaja bara la Asia ambalo wanawake wanatunza bikira za mbele ila za nyuma zilishatolewa muda mrefu au hivyo ndivyo mnavyotaka?? Dunia hii hakuna watu wanafiki kama waarabu huku nje wanajulikana kama wana maadili lakini kule kwao wanaujua uchafu wanaofanya na hakuna watu wanaopenda nyuma kama waarabu

Ila kwa vile wao wanafanya chini chini watu wengi hawajui basi wanaonekana wana maadili halafu wazungu walioamua kujiweka wazi ndiyo wanaonekana wabaya na ndiyo maana hata kwenye ushoga mnawaponda sana wazungu lakini mnachoshindwa kujua ni kwamba hakuna nchi dunia hii haina mashoga ila tu wazungu wameamua kujiweka hadharani na wengine kama waarabu wameamua kujificha maana ukifuatilia historia ya ushoga haukuanzia europe bali ulianzia huko huko asia kwenye miji ya sodoma na gomora kwahiyo kumbe shida siyo kufanya maovu bali shida ni kuyafanya hadharani si ndiyo??
 
Ndiyo jinsia zote zinatenda dhambi na ndiyo tunarudi kwenye mada sasa kwamba kwanini wanaume mmeshupalia sana maovu ya wanawake utadhani ninyi hamyafanyi??
 
Unahama sana.
Asia wanakaa Waarabu peke yao???
Asia kuna arabs,indians,persians,chinese.
Karma ndugu yangu mbona unahama sana????
Kwahiyo ukisema Asia ni uarabuni tu???
Wapersi sio waasia??
Wachina sio waasia??
Wahindi sio waasia??

Halafu si kila mwarabu ana hiyo michezo laaah.
Kuna mataifa na mataifa.
WaOman ama watu wa U.A.E ndio wanapenda sana hii michezo.
Ila kuna wayemen,walebanon na wasyria wastaarabu kichizi huwenda haukukaa nao hawa waarabu wa mataifa haya.
Kosa kidogo mnachinjana na hawapendi ushenzi huo.
Ukienda suudia ukienda Iraq ukienda pakistan utapata vitu sealed KOTE KOTE.
Huwezi fananisha na Tz hatta kidogo.
Hata Egypt misri kuna vyombo maatata.
Kuna mdada mstaarabu sana aliniponyoka Allah amjaalie anaitwa Sally Fahmy.
Ni kitu bomba huwez fananisha civilization ya huyu dada na watz.
Yani kuna mabinti asia wengi tu utakutana nao hawamjui mwanaume.
Ila bondo daadeki mtoto 14 years keshaanza pigwa miti.
Yani kukaa kote umegusia Waarabu tu ilhali Asia ina asili kibao.
 
Haya
Halafu wanawake mna nature ya kutokukubali ukosevu wenu.
Kuhusu masuala ya 50/50 alianzisha CARIHA mara hii mnatutupia sisi hapa.
Ebu kasome posts za cariha utaona yeye ndiye aliyeanza kuipeleka mada nje nasi tukamchabanga huko huko.
 
Kila jinsia ibadilike kwa nafasi yake!!
Ndicho nachozungumzia.
Ndio maana nikasema sisi tutabadilika kivyetu lakin nanyi mnatakiwa mucheze nafasi yenu tena kwa ufanisi mkubwa.
Maana ninyi ni kichwa ktk hili sisi mikia.
 
Mi hata sio mbishi napenda kujibizana kwa hoja tatizo mmeingiza mambo ambayo hata hayapo kwenye mada, mihemko imezidi weledi wa kutoa hoja
Dada samahani.
Kubali ww mbishi.Tizama jamaa alichoelezea na ww ulivyojibu.
Huwezi fananisha political leadership ya Magufuli na masuala ya gender equality.
Jamaa kakupambanulia vzuri tu wala hajaleta uhemko.
Ni sawa ufananishe ukiukaji wa demokrasia na unyanyasaji wa kijinsia vinafanana???
Ebu jijibu mwenyewe.
 
Kwahiyo wewe shida yako ni bikira ya mbele tu ila nyuma hakuna shida siyo?? Hata Saudi Arabia na Yemen haya mambo yapo sana halafu niliposema waarabu sikumaanisha waarabu wote uwe unaelewa matumizi ya lugha na wewe hivi tunaposema wachaga ni wabahili huwa tunamaanisha wote?? Kwamba hakuna hata mmoja ambaye siyo mbahili?? Hapana wapo ila wachache na tunaposema hivyo tunawaongelea wale wengi ambao wanakuwa wamewafunika hao wachache

Kumbuka "in every general rule there is always an exception" na kuhusu nchi kama Persia au Jordan hapa sitaki kuelezea sana ila naomba katafute movie ya kipersia inaitwa "The Stoning of Soraya M" kama haujaiangalia ila kama umeiangalia unaweza kuniambia ulielewa nini kwenye ile movie maana ni true story na mwisho kabisa naomba nikuulize hili swali kwamba kwahiyo hizo nchi zinazochinjana hadi zinauana ndiyo ziko sahihi??
 
Lakini ulimsoma yule niliyemjibu alisemaje?
 
Hii mada huoni haizungumzii gender equality? We nae mbishi yaani, hebu rudia upya kuisoma
 
Sasa mbona mwanzo ulisema wanawake ndiyo tuanze kubadilika wakati mimi tangu mwanzo nilikuwa nasema kuwa kila jinsia ibadilike kwa nafasi yake hii ya kutegemeana itakuwa ngumu kwa sababu kila jinsia ina vishawishi vyake

Mwanamke anaweza akajitunza ila kutokana na ugumu wa maisha alionao akija mwanaume mwenye pesa zake akimtongoza na kumwambia atamsaidia unadhani atakataa?? Na hii tabia ya wanawake wakisema hawafanyi ngono hadi waolewe wanaume mnagoma mnasema eti hamuwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndiyo inawaponza na ndipo uzinzi unapoanzia hapo!!
Ndicho nachozungumzia.
Ndio maana nikasema sisi tutabadilika kivyetu lakin nanyi mnatakiwa mucheze nafasi yenu tena kwa ufanisi mkubwa.
Maana ninyi ni kichwa ktk hili sisi mikia.
 
Labda kama huyo mwanaume anayenyanyua hiyo engine akitoka kwenye mihangaiko yake akirudi nyumbani anajipikia mwenyewe anajifulia mwenyewe anaosha vyombo anafanya usafi na mengine yote mwenyewe halafu pia kumbuka siyo kila mwanaume ni mwanaume kuna wengine ni wanaume jinsia na majina tu
Hapo hakuna mchango wa mwanamke bana..
 
Ndiyo jinsia zote zinatenda dhambi na ndiyo tunarudi kwenye mada sasa kwamba kwanini wanaume mmeshupalia sana maovu ya wanawake utadhani ninyi hamyafanyi??
kwaio ulikua unatakaje?
 
Hii mada huoni haizungumzii gender equality? We nae mbishi yaani, hebu rudia upya kuisoma
Unaona unavyokua mbishi??
Kwani hapa Karma si ameelezea kuwa jinsia zote zinatenda dhambi hvyo zina makosa kiusawa na zitaadhibiwa kiusawa??
Ina tofauti gan na gender equality ??
Au hufaham maana ya gender equality mkuu??%
 
Reactions: Cyb
Duh aisee unatoka nje ya mada na hukuelewa nn nazungumzia bado.
Hv unajua persian gulf inajumuisha mataifa mangapi??
Hata Afghanistan,Pakistan na Turkmenistan ni wapersi.
Wewe unawazungumzia wapersi wa iran na iraq tu.
Hujaona wapersi wengine pia???
Halafu mm sijasema kuwa ya mbele muhimu ya nyuma shauri yake.
Hukunielewa.Nilichomaanisha mataifa ya asia wanawake wanatunzika yani unaweza muoa mwanamke hamjui mwanaume hatta kidogo aisee.Mimi nimeopoa jiko limekaa kufungiwa ndan tu yani nimefanyiwa kuwekewa picha nichague nayemtaka na hao hawamjui mwanaume wala nn.
Je utaweza kupata hao Bongo???
Kuhusu Saudia haukuizuru ile nchi fanya uende uone watu walivyo wakabi.
Hao wanaofanyiwa ulawiti wengi wao ni wale ambao wameolewa Halafu wame zao wakawataka huo ushenzi ama wengine ni wale kunguru wasiofugika ili kuziba ya mbele anatoa nyuma na vipimo vipo kugundua hiyo michezo kwahyo sikuuziwa mbuzi ktk gunia maana mm mwenyewe daktari.

Kuhusu suala la kuuana ama kuchinjana ktk hayo mataifa unahama mada kabbisa.Unaingia ktk geopolitical issues.
Maana hujui kwann wanachinjana wala hujui sababisho ni nini.
Na nikisema nizame huko nitatoka nje ya mada.
 
Kwani ninyi mkigoma kutoa mtaathirika nini???
Kwanini msiwe wanyimi kama wenzenu asians ??
Hao wanakufa na shida zao??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…