Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
- Thread starter
- #1,321
Kila jinsia ibadilike kwa nafasi yake!!
We mwanamke mbishi dyuuuuuuh!!!!!!!!!
Yan sijui wapi unashindwa kunimanya!!??
Sijakataa km wote tunastahili kuyaepuka kwa namna zetu tofauti tofauti.
Na Sijakataa km wote tutaadhibiwa kwa hayo makosa.
Ila km utakua muislam Muhammad alivyoenda israa alikuta wanawake wengi wanateketea motoni.
Aliuliza na akajibiwa na malaika kuwa "hawa ndiyo wale wakaaji uchi sana na wapambizi wa zinaa".
Hvyo ndio ujue kwamba wanawake mnachangia kwa kiasi kikubwa ulioyataja ww yan ninyi ni km marafiki wa shetani aisee.
Mkibadilika jamii itasalimika kiujumla japokua nasi tunatakiwa tubadilike lakn kila jinsia icheze nafasi yake.
Jiheshimuni nasi tutajichunga na kujiheshimu kwenu kutaleta motisha ya sisi pia kuacha tunayowafanyia huku tukiwakandamiza pia.
Sijui umenielewa hapo dada angu??