Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Si kweli kila mtu ni superior Kwa nafasi yake so kusema men ni superior unakosea hyo ni hasty generalization ya jambo, ni sawa na wewe mwanaume ni Ku judge kuhusu kubeba mimba nakuwa wrong, au kumhukumu samaki Kwa kushindwa kupanda mti itashangaza sana
Mkuu labda hukunielewa vizuri. Mimi binafsi siyo mfuasi wa hivyo vinavyoitwa vitabu vitakatifu. Kwa lugha nyingine nipo pamoja na suala la usawa wa kijinsia hususani katika mlengo wa utu . kitu nilichopingana na wewe ni katika suala la ufanisi katika mambo mbalimbali kati ya mwanaume na mwanamke. Ni dhahiri mwanaume ni bora kiufaninisi katika nyanja nyingi za maisha lakini hiyo haimpi haki kumnyanyasa mwanamke na hapo nakuwa nimeungana na wewe...
 
Hatukuwa wajinga
Kama hamkuwa wajinga sasa kwanini mlikubali kukandamizwa!? Je ni kwamba mlikuwa dhaifu sana mkashindwa ku resist ukandamizwaji mkaamua tu kuishi hivyo hivyo kinyonge ama
zama zimebadilika kila nyanja za maisha, ndo mana zamani watu walitembea Kwa miguu ila sikuhizi kuna magari, ndege, meli, and so on
Ina maana mlisubiri zama zibadilike ndio mtambue kuwa mko kwenye mfumo kandamizi au!? Na mwanamke ana mchango gani hasa kulinganisha na mwanaume katika kuzibadilisha zama hizo?
.. Hyo ya kuandikwa na mwanaume ni ilikuwa mifumo isiyo ruhusu hyo ndo mana wanawake hawakuhesabiwa ila sikuhizi wanahesabiwa na kupiga kura.
Kwanini wanawake wakubaliane na mfumo usiowaruhusu wao kushiriki mambo muhimu? Kwanini wakubali kutohesabiwa!? Kwanini wakubali kuishi kwa kunyanyapaliwa huku wakifahamu fika kabisa kuwa wananyanyapaliwa? Kwanini wsingeweka resistance kwa uonevu wowote waliokuwa wanafanyiwa!? Kwanini wanaume wao walikuwa wana nini mpaka kuwatawala wanawake kimabavu hivyo huku wanawake wakikosa cha kufanya?
Mimi namwamini Mungu creator of everything,vinavoonekana na visivoonekana yeye ni source of life,
vizuri sana kwa hapa tuko wote
ila hii Kwa perspective yenu ya uonevu na kutoelewa misingi ya imani ndo mnakimbilia huko kujifichia huko kichaka sijui cha dini and whatever forms of discrimination
Perspective ya uonevu wa kijinsia hiyo iko personal sana, kuna wanaume wanafuata hizi hizi imani ambazo wewe una dai ni kandamizi na wanawake zao wanaishi maisha ya furaha sana. Hivyo ni jinsi gani mtu anavyoichukulia na kui apply kwenye maisha halisi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnivumilie tu mkuu maana hata sisi wanawake tumechoshwa na jinsi mnavyotuandama ukigeuka huku wanawake ukirudi huku wanawake yaani kila siku wanawake this wanawake that sasa mara moja moja na sisi tukijibu mapigo siyo mbaya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Asante, ila sikupendi maana unatusema sana ukweli ambao hatutaki kuusikia.
 
Huu uongo ulio pitiliza sababu hata ushahidi uwezi kuutoa.

Pili,kwanini jambo la wachache unalijumuisha kwa wote ?

Kwako wewe heshima ni nini au kwa jinsi ulivyofundishwa heshima ni nini ?

Uhuru unao uzungumzia wewe ni uhuru gani na kwa mujibu wa nani ? Je kwa mujibu wa watetezi wa haki zenu au wanaharakati au kwa mujibi wa nani hasa ?

Uhuru wa mwanamke unategemea nini ?
Uhuru wa kufanya jambo bila kuwa disrtubed au kuwa discriminated based on ur sex, age, kuwa mama and so on.

Mimi heshima kwangu ni jambo la msingi mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, mzee, kijana mama n.k

Sio kila siku kuona wanawake ni wahanga wa wanaume wapuuzi waliojihalalishia uonevu in the name of mila, sijui Mimi kichwa cha Nyumba wakati hata mbuzi ana kichwa vile vile
 
You could have been a very good company to her.

Mtuvumilie tu, maisha yamebadilika katika kiasi ambacho hatukuwa tumejipanga nacho, we relaxed thinking kwamba we will always be on top.

Shule, utandawazi umeleta mabadiliko ambayo hatukuyategemea, so linapokuja swala la kukutana na wanawake ambao ni argumentative, cash self independent, brain na reasoning tunajikuta Thrones zinakuwa hatarini.

Kinachobaki kinafanyika, tunafanya personal attack, character assassination na abuses kuraise esteem yetu. Na hii ni kwa sababu tumeshindwa kupambana katika level hitajika.

Mtusamehe bure.
Utandawazi umekuja na faida zake na hasara zake ni kubwa kuliko faida zake,miongoni mwa hasara zake ni kuwafanya wanawake wawe kama bidhaa,hili hawalioni na wamefanywa wajinga na kufikiri kwa upande mmoja.

Hapa wakusamehe wewe na wa mfano wako.
 
Yaani hata mimi leo ndiyo nimejua kuwa wanaume wanayajua maandiko kuna mmoja kila nikibishana naye kwenye nyuzi huwa namwambia aniletee maandiko kuthibitisha anachosema anakataa ila leo kayateremsha vizuri yaani kwenye maswala ya utawala ndiyo wanayajua maandiko ila kwenye maswala ya umalaya wanajifanya ni wapagani
Sikujua kama wanaume wa jamiiforum(jf) wanaijua biblia namna hii aisee wote leo mnaijua dini na historia vilivyo, ajabu ni kwamba mnashindwa kuiishi historia mpaka tunajipambanisha na nyie
 
Hilo swala na haki sawa lazima ufikirie beyond sio huku wa Africa mnaamini kuonea mwanamke na kumfanyia uchafu ndo uanaume tu, na hamtaki kuheshimu wala kuwaruhusu wawe huru wakati ni binadamu. Mnabaki kukumbatia mambo ya kale ya zama za ujinga ka sikuhizi watu wanatumia magari instead of walking why still discriminating women's why?
Sasa hapo Mimi ndo naona watu hawafikirii nje ya box
mi najua comment za mtu hulingana na experience alizopitia. inaonekana wewe umefanyiwa uchafu mwingi sana na wanaume. unaongea kwa uchungu sana. pole
 
Uhuru wa kufanya jambo bila kuwa disrtubed au kuwa discriminated based on ur sex, age, kuwa mama and so on.
Toa mfano,acha uoga.

Pili,kuwa mama unabaguliwa vipi na unasumbuliwa vipi ? Hujui kama suala la wewe kuwa mama ni jambo ambalo liko nje ya uwezi wetu sisi binadamu ?
 
Back
Top Bottom