cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Si kweli kila mtu ni superior Kwa nafasi yake so kusema men ni superior unakosea hyo ni hasty generalization ya jambo, ni sawa na wewe mwanaume ni Ku judge kuhusu kubeba mimba nakuwa wrong, au kumhukumu samaki Kwa kushindwa kupanda mti itashangaza sana
Mkuu labda hukunielewa vizuri. Mimi binafsi siyo mfuasi wa hivyo vinavyoitwa vitabu vitakatifu. Kwa lugha nyingine nipo pamoja na suala la usawa wa kijinsia hususani katika mlengo wa utu . kitu nilichopingana na wewe ni katika suala la ufanisi katika mambo mbalimbali kati ya mwanaume na mwanamke. Ni dhahiri mwanaume ni bora kiufaninisi katika nyanja nyingi za maisha lakini hiyo haimpi haki kumnyanyasa mwanamke na hapo nakuwa nimeungana na wewe...