cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Nimeelewa point yako maana unajificha Kwa wanaume walio successfully Ku hide agenda yako ya discrimination Mara unajikita Kwa wanawake Ku bleed sijui pedi bleeding is normal Kwa kiumbe hai chochote cha kike bila bleeding sio ukimilifu Kwa kiumbe cha kike pia hii ya wanawake kwenda vitani naskia kwako maana najua hawaendagi kwenye battle field pia bleed huwa haichuruziki ka bomba umedaganya kabisa. Before pedi people were using vitambaa ambazo nguo zimegunduliwa siku nyingi. So point yako hapa ilikuwa ni bias towards women's bleeding and not invention iliyofanywa na huyo mtu uliyo mtaja hapa.
Pia kusema hao ma engineer nishakujibu huko juu no need of repetition sijui 80% and blah blah maana mabadiliko hayo hayajafikia miaka 100 kujilinganisha na wanaume waliopewa first priorities miaka na miaka.Hata mimi sijawataja hao mabilionea kama justification ya gender inequality kwa namna yoyote ile. Hujaelewa kabisa point yangu Again hujaelewa tena point yangu ililenga nini, inventor wa sanitary pad anaitwa Franklin Benjamin(Mwanaume) alikuja na idea ya ktengeneza pad mwaka 1888 hili kuwasidia wanajeshi wa kike waliokuwa wana bleed kwenye uwanja wa kivita na kuacha alama za damu damu ambazo zilikuwa zinawasaidia maadui kutambua ulekeo wa wanajeshi hao. Kwa baadae ndio ikawa commercialized globally sasa mimi hapa nilikuwa na kucrush uliposema kuwa mwanamke na mwanaume ni sawa tu tofauti yetu ni jinsia, mwanaume ana mchango mkubwa kwenye maisha yako na wala haulingani naye hata kidogo kwanini hawakwenda shule!? Na kwanini wasiruhusiwe kufanya hayo mengi ikiwa kama hata wao walijua yana umuhimu kwao!? Pamoja na kwamba siku hizi na nyie mko kwenye scientific arena je mchango wenu tunaweza kuulinganisha na wa mwanaume!?Basi tuanze kuwalinganisha nyie na wanaume kwenye hizi zama za ukombozi wenu kama mnavyouita, kwanini leo hii ukienda kwenye chuo chochote Engineering courses utakuta kwa 80% takers wake ni wanaume? Kwanini ukienda vyuoni medical professions wasomaji wake wengi ni wanaume!? Ina maana tuseme kuwa wanawake hawazipendi hizo courses ndio maana wasomaji wake wengi sio wanawake?
Mpaka sasa hivi kuna binadamu zaidi ya 30 waliowahi kufika mwezini lakini kati yao hakuna mwanamke hata mmoja wote ni wanaume, sasa je ina maana wanawake pamoja na fair ground ya kushiriki mambo ya kisayansi mpaka leo hii bado mtaki kufanya mambo makubwa makubwa kama hilo la kufika mwezini!?
Silcon Valleys innovators wengi inaowatoa ni wanaume akina Teddy Macknoon, Andre Rubin, Ross mason,Solomon Hykes,Jeff Hemmeebecher,Josh Reeves,Edward Kim na Mark Zuckerberg...?? Ina maana wanawake nyie hamna interest kabisa na scientific innovation pamoja na kuwekewa accessibility sawa ya elimu na wanaume? kwa jinsi ulivyo andika hapa ni kama vile unanijua personally, hivyo hata nikikwambia mambo niliyo achieve na yakaisaidia jamii itakuwa ni kazi bure tu.
Jibu la kukupa hapa ni kwamba mimi ni Triple K yaani ni mtu wa Kula,Kunya na Kulala tu.
Hata mimi natumia kifaa kama hicho chako ila nimeweza kujibu hoja zako zote kwanini wewe ushindwe?