Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Huyu nae hoja zake huwa anaziona kabisa nyepesi halafu anaziweka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Halafu Hiyo username yako imenistua Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]hako nako sijui hakajielewi

[emoji1787][emoji1787]kwanini aisee
 
Asante sana huu ni mwanzo mzuri tu wa lengo langu kutimia nimebadili id makusudi sababu naona ile nyingine lile jina lilivyo zuri plus ile avatar watu walianza kutengeneza imaginations zao wenyewe kwamba mimi ni mzuri kama Ariana Grande wakati mimi ni mbaya kama Ogre

Nikaona sasa huku wanakoelekea siko ngoja nitafute id inayotisha halafu avatar nisiweke picha ya mdada mzuri ili wafute hizo imaginations sasa na wewe ulivyosema kwamba id hii ya sasa ni mbaya nimefurahi maana sasa hatimaye nitaacha kuattract watu for nothing!!
Nice joke Karma.. ila ID ya Mariannah ilikua na mvuto zaidi. Hii imekaa kizombie and DP is not attractive.
 
Na Mwanamke anayefanya Abortion ni sawa na Mwanaume anayepiga punyeto. Wote wauaji.
Kama mwanaume anayepiga punyeto ni muuaji,hii inamaana hata sex ya kutumia condom ni uuaji na hapa ina maana wote wawili kwa kitendo cha kukubaliana condom itumike ni kwa pamoja wameshiriki katika kupanga na kutekeleza mauaji.
Hii ni kama tu upigaji punyeto/kujichua iwe kwa mwanamke au mwanaume utakuwa defined kwamba ni uuaji.
 
hapa upo sahihi

hapa haupo sahihi, imani bila matendo ndio inaexist now, watu wanaamini ila hawatendi kulingana na imani zao.

imani inayoambatana na matendo ndio imekufa, mana watu wanaamini ila hawaiexpress hio imani kimatendo.

Mwanaume anaamini yeye ni kichwa cha familia ila huduma hatoi, mwanamke anaamini baba ndio kichwa cha familia lakini hampi heshma yake na anataka usawa, akilini akijua kabisa hakuna kampuni yenye CEO wawili, ila anataka kulazimisha.

hapa umeongea ukweli kabisa Saint anne
Hakuna kampuni yenye CEOs wawili nani kakudanganya?? Haujawahi kusikia kampuni ina shareholders wawili wenye shares 50/50 (ofcourse kuna kampuni shareholders ndiyo hao hao CEOs na tena ni yale makampuni makubwa) sasa unadhani hapo kuna anayemzidi mamlaka mwenzie?? Wote maamuzi yao yanasikilizwa kwa usawa!! Wanaume na ninyi mifano yenu mingine muwe mnaichunguza kabla ya kuitumia!!
 
Social constructionism is a theory of knowledge in sociology and communication theory that examines the development of jointly constructed understandings of the world that form the basis for shared assumptions about reality.

Mifano ya social constructs (mambo tuliyojijengea na kukubali kama social standards katika jamii)

1. mwanamke akiwa na wanaume wengi anaitwa malaya, mwanaume anaitwa kidume, na unakuta hata mamaake anafurahia moyoni. na sometimes unakuta mama mzazi anawaambia rafiki zake "huyu akikua atakuja kuwasumbua wadada, kisha wanacheka"

2. binti haruhusiwi kukaa nje kadi usiku, mtoto wa kiume anaweza kukaa hadi saa tano usiku, akarudi nyumbani bila kufanywa kitu chochote.

3. mtoto wa kiume anajengewa chumba chake cha nje, mtoto wa kike lazima akae kwenye main house

4. mtoto wa kike akipata mimba ataadhibiwa na anaweza akafukuzwa kabisa nyumbani, mtoto wa kiume akimtia binti mimba hawezi kufukuzwa nyumbani

hata wewe ukizaa mtoto wa kiume utaziendeleza hizi standards. amini usiamini. usipoziexpress wewe, ulimwengu utamfundisha how things run in the world.

kumbuka, sihalalishi uovu wowote, naelezea tu source ya haya yote.
Yeah hayo yote yapo kwenye jamii na kuyabadilisha itakuwa ngumu sasa ndiyo nasema kwanini wanaume msiache tu kuyaongelea maovu ya wanawake maana hata mkiyaongelea haisaidii?? Mimi wanangu siwafundishi huu ujinga kwa kweli na ninashukuru hata baba yao naye haamini katika huu ujinga!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
mbona kama unalazimisha uzi ufikie comments 1000?
Kwahiyo kwa sababu wewe unaona comments ni dili humu basi unadhani kila mtu anaona hivyo kwamba hizi ni pesa au tuzo au labda unadhani watu humu tumekuja kutafuta umaarufu??

Wewe lazima kuna kitu kingine kilichokuleta JF tofauti na kuanzisha nyuzi na kuchangia maoni siyo bure!!
 
Sawa wanaume endeleeni kuongelea maovu ya wanawake ipo siku mtafanikiwa kuyarekebisha yote msijali
Tunawarekebisha mabinti wadogo, samaki mkunje angali mbichi. Mimi naanzaje kukurekebisha wewe uliyefikia umri wa kufunzwa na ulimwengu?
 
Tofautisha kati ya kuwa dominated na kuwa downgraded tunapenda kuwa dominated lakini wanaume wengi wa kiafrika mnatu downgrade
tatizo lako unasoma comments juu juu bila kutaka kuelewa. hizo treatments zimekua injected kwa wanaume kutokana na mafundisho ya kijamii. ndo mana mkurya atapiga mwanamke akihisi ndio njia sahihi ya kumnyoosha, na mwanamke wa kikurya ameshaaccept hio kitu. tunarudi kule kule kwenye social constructs.
 
Yaani wewe unaulizwa hiki unajibu hiki halafu hata swali ambalo linahitaji jibu fupi tu wewe unazunguka kama tiara!!

Nimekuuliza amri ya kwamba mwanaume atamtawala mwanamke ilitolewa na Mungu kabla au baada ya Adam na Evah kula tunda??

Kabla
 
Hii id imekaa kwa Ku attack attack....bring back former ID na former Avatar....

OP: please hata kama unaonekana kupingana na watu wengi isikuingie akilini kuwa uko negative mpaka ukaanza kutengeneza mitazamo hasi watu wa Ku imagine kuwa uko hivi ktk maisha ya kawaida. Usiadili id ili ujenge negativity ktk mental picture za watu...One Love
Asante sana huu ni mwanzo mzuri tu wa lengo langu kutimia nimebadili id makusudi sababu naona ile nyingine lile jina lilivyo zuri plus ile avatar watu walianza kutengeneza imaginations zao wenyewe kwamba mimi ni mzuri kama Ariana Grande wakati mimi ni mbaya kama Ogre

Nikaona sasa huku wanakoelekea siko ngoja nitafute id inayotisha halafu avatar nisiweke picha ya mdada mzuri ili wafute hizo imaginations sasa na wewe ulivyosema kwamba id hii ya sasa ni mbaya nimefurahi maana sasa hatimaye nitaacha kuattract watu for nothing!!
 
Hivi unajua challenges zinazopata hizo kampuni zenye 2 CEOs? kukiwa na conflicts ambazo two CEOs can not agree on something huwa kunahitajika mtu atakaetoa final say.

sasa huyo CEO mwenye uwezo wa kutoa final say ili conflict iishe ndo Dominant CEO, na ndo mana nasema CEO atabaki kuwa mmoja tu, fanya delegation ufanyavyo ila there will always be someone who has a final say. na ndo hivyo hivyo kwenye familia
Hakuna kampuni yenye CEOs wawili nani kakudanganya?? Haujawahi kusikia kampuni ina shareholders wawili wenye shares 50/50 (ofcourse kuna kampuni shareholders ndiyo hao hao CEOs na tena ni yale makampuni makubwa) sasa unadhani hapo kuna anayemzidi mamlaka mwenzie?? Wote maamuzi yao yanasikilizwa kwa usawa!! Wanaume na ninyi mifano yenu mingine muwe mnaichunguza kabla ya kuitumia!!
 
Hahahaha mbona umekazania hayo ya kumfulia na kumpikia mume wangu utafikiri kufanya hayo ni adhabu?? Au ndiyo unajaribu kupotezea mada?? Hayo mbona nayafanya vizuri tu sababu hata yeye ananihudumia na anatimiza majukumu yake yote kama mwanaume!! Jaribu kingine!!

Majukumu ya mwanaume ni pamoja na kukutawala. Na wewe jukumu lako ni kutawaliwa.

Hayo ya mwanaume kufanya uovu sio wajibu wako wewe mtumwa kuuliza habari za Bwana wako.
 
una uhakika gani maovu ya wanawake yakiongelewa haisaidii?
Yeah hayo yote yapo kwenye jamii na kuyabadilisha itakuwa ngumu sasa ndiyo nasema kwanini wanaume msiache tu kuyaongelea maovu ya wanawake maana hata mkiyaongelea haisaidii?? Mimi wanangu siwafundishi huu ujinga kwa kweli na ninashukuru hata baba yao naye haamini katika huu ujinga!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Asante sana huu ni mwanzo mzuri tu wa lengo langu kutimia nimebadili id makusudi sababu naona ile nyingine lile jina lilivyo zuri plus ile avatar watu walianza kutengeneza imaginations zao wenyewe kwamba mimi ni mzuri kama Ariana Grande wakati mimi ni mbaya kama Ogre

Nikaona sasa huku wanakoelekea siko ngoja nitafute id inayotisha halafu avatar nisiweke picha ya mdada mzuri ili wafute hizo imaginations sasa na wewe ulivyosema kwamba id hii ya sasa ni mbaya nimefurahi maana sasa hatimaye nitaacha kuattract watu for nothing!!
Unazidi kuonyesha upumbavu wako yani hujiamini, na unajihisi hisi et umebadili I.D ili Tufute imagination... We kwel umejawa ujinga mwingi.. Unatafuta namna ya kuonyesha uwepo wako Kupitia upumbavu wako.
..
 
Hii id imekaa kwa Ku attack attack....bring back former ID na former Avatar....

OP: please hata kama unaonekana kupingana na watu wengi isikuingie akilini kuwa uko negative mpaka ukaanza kutengeneza mitazamo hasi watu wa Ku imagine kuwa uko hivi ktk maisha ya kawaida. Usiadili id ili ujenge negativity ktk mental picture za watu...One Love
mkuu mi mwenyewe nimeliona hili. huyu sio yule tena. this one is a Clone.
 
Back
Top Bottom