Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Sasa kama huyo hadi ameuliza hivyo maana yake ni ukweli ila tu anabisha kwa sababu hawaamini wanaoweka hizo data kule google
Mimi nataka unithibitishie kama hayo uliyo google ni ya kweli,au nimekosea bibie ? Kama sijakosea basi fanya kunithibitishia ukweli wa hayo uliuo ya google.
 
Kwema upo?? Ila leo nimeshangaa kidogo umekuwa upande wetu maana kwenye nyuzi nyingine naonaga unakuwaga upande wa wazee wa kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha!!
[emoji16] npo kwenye uhalisia zaidi, huwa nasema kuwa jinsia fulani haimaanishi ndio ushindwa kuusema ukweli pale inapohitajika.
 
Hahahahahhah dada Mbona Unanichekesha ?????
Ramani ulizoleta kuna ya juu ile iloonesha mataifa manne yenye asili ya uhajemi ambayo yameshikanishwa pamoja Iran,Afghanistan,Pakistan na Turkmenistan.
Turkey na Egypt zimetenganishwa pemben km umeona vema.Inamaana Turkimenistan,Iran,Pakistan na Afghanistan ni persian nations.Lakin Egypt na Turkey zipo maeneo ama ukanda wa Persian gulf coasts.
Raman ya pili na maelezo ukaleta nchi zilizopo maeneo ya coast of persian gulf sijui unaelewa ulichokileta?????
Ama umesahau namna ya map interpretation mkuu???
Umejikanganya mwenyewe katizame vema.
Ila natumai article nilokupa imekuelewesha.
Persian gulf ni ghuba ya uhajemi iliyozungukwa kwa kiasi kikubwa na mataifa ya kihajemi na Mataifa ya arab kwenye Mediterranean sea.
Katika ghuba ya uhajemi kuna mataifa ya kihajemi yanayounda hiyo ghuba na kuna mataifa ya arab yaliyopakana na hiyo ghuba.Sijui umenielewa dada angu mpendwa???
Hivi wewe unaongelea geography ya wapi mwenzetu?? Persia kwa kiswahili inaitwa Uajemi na zamani ilikuwa ikiitwa Persia and Media yaani Uajemi na Umedi ambapo kwa sasa Persia ni Iran yote na Media ni Kaskazini Magharibi mwa Iran ambamo kuna regions ziitwazo Iranian Kurdistan na Western Tabaristan na zote zipo ndani ya Iran na si nje ya Iran na hapo hakuna mahali panaelezea kwamba eti na watu wa hizo nchi nyingine ulizozitaja ni wapersia!!

Basi sawa inawezekana hizo nchi ulizozitaja wewe zikawepo kwenye hiyo persian gulf japo siamini lakini hizo nchi kuwepo kwenye persian gulf siyo sababu wala kigezo cha kusema kwamba eti raia wa hizo nchi ni wapersia labda nikupe mfano mwingine hivi unaijua mexican gulf?? Hii ndiyo gulf kubwa kuliko zote duniani na inacover nchi tatu mexico marekani na cuba sasa kweli tutasema raia wa hizo nchi zote tatu ni wamexico eti kwa sababu tu nchi zao zipo kwenye hiyo mexican gulf??
 
Mimi nataka unithibitishie kama hayo uliyo google ni ya kweli,au nimekosea bibie ? Kama sijakosea basi fanya kunithibitishia ukweli wa hayo uliuo ya google.
Wewe thibitisha uongo wa hayo niliyoyagoogle
 
Habari za usiku huu wana jukwaa, kabla ya yote naomba kwanza niwasihi sana wale wavivu wa kusoma nyuzi ndefu kwamba huu uzi tafadhali kabla hamjatoa comments zozote naombeni muusome wote kama ulivyo kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu ndiyo mtoe comments maana kuna watu wana tabia ya kukurupuka kuchangia vitu ambavyo tayari vimeshafafanuliwa kwenye uzi.
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, leo nataka niongee na wanaume wanaoongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwao kana kwamba wanaume hawakosei kwenye jamii wakati maovu yote yanayofanywa na wanawake ni sawa tu na maovu yote yanayofanywa na wanaume lakini kabla sijaendelea naomba niorodheshe kwanza maovu yanayofanywa na wanawake na jinsi yanavyoendana na maovu yanayofanywa na wanaume.
1. Wanawake wanaochepuka wanaendana na Wanaume wanaochepuka
2. Wanawake wanaozalishwa bila ndoa/nje ya ndoa wanaendana na Wanaume wanaozalisha bila ndoa/nje ya ndoa
3. Wanawake wanaojiuza wanaendana na Wanaume wanaowanunua
4. Wanawake wasagaji wanaendana na Wanaume mashoga
5. Wanawake wanaopenda kutembea na waume za watu wanaendana na Wanaume wanaopenda kutembea na wake za watu
6. Wanawake wanaopenda kutoka na mijibaba alias sugardaddies kwa ajili ya pesa wanaendana na Wanaume wanaopenda kutoka na mijimama alias sugarmummies kwa ajili ya pesa
7. Wanawake waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tu wanaendana na Wanaume waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya mbunye tu
8. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kupewa pesa, kununuliwa vitu et al) na wapenzi wao wanaendana na Wanaume wanaopenda kulelewa (kupikiwa, kufuliwa et al) na wapenzi wao
9. Wanawake wasio na utii kwa waume zao wanaendana na Wanaume wasio na upendo kwa wake zao
10. Wanawake wanaowaacha wanaume waliowasomesha wanaendana na Wanaume wanaowaacha wanawake walioanza nao kwenye umasikini
Hayo ni machache mengine mnaweza kuongezea ila nimeona nijikite zaidi kwenye maovu yanayohusiana na ngono kwa sababu ndiyo janga kubwa kwenye jamii na nilitaka niwaoneshe ni namna gani jinsia zote zina maovu yake kwenye jamii, sasa hapa najua wapo watu watakaoleta habari za kutaka usawa sijui ushindani sikilizeni niwaambie, wanawake na wanaume tutatofautiana kote lakini siyo kwenye uovu yaani tutatofautiana kwenye jinsia, nafasi na majukumu lakini tofauti zote hizo siyo sababu ya wanaume kufanya maovu vile wanavyojisikia eti kwa sababu tu wao ndiyo wako juu ya wanawake
Wapo wengine watasema eti wanaongelea sana maovu ya wanawake kwa sababu wanawake ndiyo wanaopata madhara kuliko wanaume kwamba wanaume wao linapokuja kwenye swala la mahusiano ya kimapenzi hawana cha kupoteza kabisa ila niwaambie tu kuwa bado hiyo siyo sababu ya wanaume kufanya maovu vile wanavyojisikia eti ili tu kuwakomoa wanawake sasa mbona na magonjwa ya zinaa nayo hayaangalii jinsia na yanaua wote wanawake na wanaume kwa mtindo ule ule??
Halafu pia kinachonishangaza kama kweli wanaume hamna cha kupoteza kwenye mapenzi kwanini ninyi ndiyo mnaoongoza kwa kuyalalamikia na kuyaongelea maovu ya wanawake humu mitandaoni na mitaani kila siku?? Kuna mmoja alisema eti mnafanya hivyo kwa lengo la kutusaidia sasa kama kweli mngekuwa mna nia ya kuwasaidia hao wanawake wenye hayo maovu kwanini muishie kuongea kwa mdomo tu na siyo kufanya kwa vitendo??
Eti unakuta mwanaume anasema "kuna demu jana nilimtongoza akakubali muda ule ule na akanipa mzigo muda ule ule" halafu anamalizia kwa kusema "daah wanawake wa siku hizi mnajirahisisha sana acheni umalaya la sivyo wanaume tutaendelea kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha" sasa mwanaume kama huyu unamuona tu ni jinsi gani alivyo mnafiki yaani anajifanya kusikitishwa na wimbi la wadada kujirahisisha wakati huo huo yeye ndiye kinara wa kuwatongoza hao wadada ili wajirahisishe sasa kama kweli huyu mwanaume angekuwa hapendi wanawake wajirahisishe kwanini asiache kuwatongoza na kuwaomba mizigo kama hana nia nao??
Namaanisha kama wanaume mna nia ya kutusaidia wanawake na mmeona kwa maneno haisaidii kwanini msifanye kwa vitendo kwa kuacha hayo mambo yanayowafanya wanawake wajirahisishe kwenu?? Halafu wanaume wengi utasikia wanasema "kwanini mwanamke ukitongozwa ukubali" badala ya kuuliza "kwanini mwanaume anatongoza pasipo na nia ya dhati" yaani wanalazimisha ionekane kama mwanaume kutongoza siyo kosa ila mwanamke kukubali ndiyo kosa wakati actually kinachoanza ni kutongoza halafu kinachofuata ndiyo kukubali au kukataa hivyo lazima tukubali kuwa mwanaume anayetongoza na mwanamke anayekubali wote wana makosa na haya yote ni kutokana na tamaduni kandamizi zilizoanzishwa na mababu zetu enzi hizo bibi zetu wakiwa hawana sauti kwenye jamii hivyo walitupiwa mizigo yote na walilazimishwa kuikubali watake wasitake nasikitika kusema kuwa mamlaka ambayo wanaume walipewa na Mungu juu ya wanawake babu zetu waliyatumia vibaya kwa bibi zetu yaani waliyatumia kuwakandamiza badala ya kuwalinda
Kitendo cha kulazimisha kwamba mwanaume akitenda dhambi ni sawa ila mwanamke akitenda dhambi ni kosa ni kinyume hata na maandiko kwa sisi tunaoamini katika Mungu na Dini yaani jamii yetu imejenga mitazamo ya hovyo inayochagizwa na mfumo dume kwamba eti maovu ya mwanaume hayatakiwi kuhojiwa wala kurekebishwa bali maovu ya mwanamke ndiyo yanatakiwa kuhojiwa na kurekebishwa halafu wanalazimisha kwamba eti ni Mungu ndiyo ametaka hivyo ni mungu gani huyo aliyesema wanaume mtende dhambi mnavyojisikia eti ili tu mjitofautishe na wanawake na muonekane mko juu ya wanawake?? Ukweli ni kwamba tofauti kati ya mwanamke na mwanaume haipo kwenye dhambi hata siku moja yaani imefikia hatua wanaume wanajisifia umalaya na tena wanakataa kabisa eti mwanaume haitwi malaya bali kidume ukiuliza hiyo ni kwa mujibu wa nani hawana majibu wanakuja na mapovu!!
Kama kila jinsia imeshindwa kubadilika kwa nafasi yake na kusubiria eti jinsia nyingine ndiyo ianze kubadilika halafu nayo ndiyo itafuata basi niwasihi tu tuache kusubiri meli kwenye uwanja wa ndege au embe chini ya mkorosho mimi naona ifike pahala jamii iache uongo na unafiki kama tumeamua kukemea maovu tukemee kwa jinsia zote na kama tumeamua kuacha yaendelee tuache kwa jinsia zote after all wanaume si hamna cha kupoteza bwana so why mjihangaishe?? Ninyi endeleeni kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha halafu tutaona mwisho wake maana hata hivyo pamoja na malalamiko yote haya ya wanaume kwa wanawake naona ni kama vile mnajaribu kudeki bahari au kufagia jangwa tu!!
Kwa kuhitimisha naomba niseme tu kuwa hiki nilichokiandika ni robo tu ya nilichonacho ila kwa sasa naomba niishie hapa lakini bado nina mengi ya kuandika hapa sitayamaliza ila nitajaribu kuyajibu kwenye comments kutegemeana na maoni ya wadau japo najua nitaoga mapovu ya kutosha hasa kutoka kwa jinsia ya kiume lakini sitajali nayakaribisha ila wale wazee wa kukisia maisha ya watu wale wa "wewe utakuwa na stress za wanaume siyo bure" au wale wa "wewe unapenda kujilinganisha na wanaume" maana wenzetu mkiguswa kidogo tu mnakimbilia kusema wanawake tunataka usawa au ushindani na wanaume utafikiri labda wanaume mna kitu cha ziada mmependelewa nacho yaani labda wenzetu hamfi mnapaa mbinguni moja kwa moja kama mlivyo na ingekuwa hivyo mbona ningebadili jinsia kabisa niwe mwanaume ili nisife ila tofauti na hapo sijaona cha kunifanya nitake kujilinganisha na mwanaume maana hapa duniani kinaogopwa kifo tu kwa sababu hakikwepeki ila mengine yote yanakwepeka tu na tunayoweza kupambana nayo tunapambana nayo kikubwa uhai sasa leo naomba mje na hoja tafadhali hizo kauli zenu za ushindani sijui usawa siyo hoja bali ni mihemko tu
Nipo....
Thank you very much for bringing up this topic,both genders male n female we are all human beings and no one can claim to be perfect.All of us do make mistakes and the best way to solve a problem is through proper communication using the "right words".let's embrace one another it's morally right for each individual accept their own mistakes and correct them accordingly
 
Hivi wewe unaongelea geography ya wapi mwenzetu?? Persia kwa kiswahili inaitwa Uajemi na zamani ilikuwa ikiitwa Persia and Media yaani Uajemi na Umedi ambapo kwa sasa Persia ni Iran yote na Media ni Kaskazini Magharibi mwa Iran ambamo kuna regions ziitwazo Iranian Kurdistan na Western Tabaristan na zote zipo ndani ya Iran na si nje ya Iran na hapo hakuna mahali panaelezea kwamba eti na watu wa hizo nchi nyingine ulizozitaja ni wapersia!!

Basi sawa inawezekana hizo nchi ulizozitaja wewe zikawepo kwenye hiyo persian gulf japo siamini lakini hizo nchi kuwepo kwenye persian gulf siyo sababu wala kigezo cha kusema kwamba eti raia wa hizo nchi ni wapersia labda nikupe mfano mwingine hivi unaijua mexican gulf?? Hii ndiyo gulf kubwa kuliko zote duniani na inacover nchi tatu mexico marekani na cuba sasa kweli tutasema raia wa hizo nchi zote tatu ni wamexico eti kwa sababu tu nchi zao zipo kwenye hiyo mexican gulf??
Dada we mgumu kuelewa aisee km sio hvyo basi mbishi km cookie smokey!!!!!!!
Persian gulf ni ghuba ya uajemi inayoizunguka Mediterranean sea yenye mataifa ya watu wa asili za uhajemi na mataifa ya arab.
Umesoma maelezo yangu vema???
Mataifa yenye uasili ya uhajemi ni Iran,Iraq,Afghanistan,Pakistan,Turkimenistan.
Mataifa ya uarabu yaliyopakana ama yapo ktk coast line ya ghuba ya uajemi ni Qatar,Saudia,Oman,UAE,Egypt nk nk.

Wahajemi sio wairan peke yao dada angu,asili ya hajemi imesambaa mpk katika hayo mataifa nilokutajia Pakistan,Afghanistan,Turkimenistan n.k.
Tunaposemea ghuba ya uhajemi hatuna maana kuwa hiyo ghuba ipo mataifa ya uhajemi peke yake laa,bali mataifa yaliyoiteka hiyo ghuba mengi ni ya asili ya kihajemi.
Hayo mengine mataifa ya bara arab yamepakana na ghuba ya hajemi.
Umeleta raman ya mwanzo ikionesha mataifa yameshikana na Iran ndio maana nikakwambia unajua map interpretation dada angu???
Soma maelezo hayo chini nakuekea tena ;

The ancient Persians were originally an ancient Iranian people who migrated to the region of Persis , corresponding to the modern province of Fars in southwestern Iran, by the ninth century BC. [7][8] Together with their compatriot allies, they established and ruled some of the world's most powerful empires, [9][8] well-recognized for their massive cultural, political, and social influence covering much of the territory and population of the ancient world. [10][11][12] Throughout history, Persians have contributed greatly to
art and science. [13][14][15] Persian literature is one of the world's most prominent literary traditions. [16]
In contemporary terminology, people of Persian heritage native specifically to present-day Afghanistan, Tajikistan, and Uzbekistan are referred to as Tajiks , whereas those in the Caucasus (primarily in the present-day Republic of Azerbaijan and the Russian federal subject of Dagestan ), albeit heavily assimilated, are referred to as Tats . [17][18] However, historically, the terms Tajik and Tat were used as synonymous and interchangeable with Persian. [17] Many influential Persian figures hailed from outside Iran's present-day borders to the northeast in Central Asia and Afghanistan and to a lesser extent to the northwest in the Caucasus proper. [19][20] In historical contexts, especially in English, "Persians" may be defined more loosely to cover all subjects of the ancient Persian polities, regardless of ethnic background.
Halafu niambie Hajemi ni Iran peke ake ama???!!!
 
Hivi wewe unaongelea geography ya wapi mwenzetu?? Persia kwa kiswahili inaitwa Uajemi na zamani ilikuwa ikiitwa Persia and Media yaani Uajemi na Umedi ambapo kwa sasa Persia ni Iran yote na Media ni Kaskazini Magharibi mwa Iran ambamo kuna regions ziitwazo Iranian Kurdistan na Western Tabaristan na zote zipo ndani ya Iran na si nje ya Iran na hapo hakuna mahali panaelezea kwamba eti na watu wa hizo nchi nyingine ulizozitaja ni wapersia!!

Basi sawa inawezekana hizo nchi ulizozitaja wewe zikawepo kwenye hiyo persian gulf japo siamini lakini hizo nchi kuwepo kwenye persian gulf siyo sababu wala kigezo cha kusema kwamba eti raia wa hizo nchi ni wapersia labda nikupe mfano mwingine hivi unaijua mexican gulf?? Hii ndiyo gulf kubwa kuliko zote duniani na inacover nchi tatu mexico marekani na cuba sasa kweli tutasema raia wa hizo nchi zote tatu ni wamexico eti kwa sababu tu nchi zao zipo kwenye hiyo mexican gulf??
Maelezo mengine ya kusadikisha kuwa mataifa nilokutajia nayo ni ya watu wa asili ya hajemi haya hapa chini;

There are several ethnic groups and communities that are either ethnically or linguistically related to the Persian people, living predominantly in Iran, and also within Afghanistan, Tajikistan, Uzbekistan, the Caucasus, Turkey, Iraq, and the Arab states of the Persian Gulf . [85]
The Tajiks are a people native to Tajikistan, Afghanistan, and Uzbekistan who speak Persian in a variety of dialects. [17] The Tajiks of Tajikistan and Uzbekistan are native speakers of Tajik , which is the official language of Tajikistan, and those in Afghanistan speak Dari , one of the two official languages of Afghanistan.
The Tat people , an Iranian people native to the Caucasus (primarily living in the Republic of Azerbaijan and the
Russian republic of Dagestan ), speak a language (Tat language ) that is closely related to Persian. [86] The origin of the Tat people is traced to an Iranian-speaking population that was resettled in the Caucasus by the time of the Sasanian Empire. [87][88][89][90][91][92][93]
The Lurs, an ethnic Iranian people native to western Iran, are often associated with the Persians and the Kurds . [94] They speak various dialects of the Lurish language , which is considered to be a descendant of Middle Persian.

Halafu mm wala sijasema kuwa mataifa yote yaliyo ghuba ya uhajemi ni wahajemi laaah.
Bali nimesema kuwa kuna mataifa yenye asili ya uhajemi ambayo ni Turkmenistan,Afghanistan,Pakistan n.k
Na kuna mataifa yaliyopo along coast of persian gulf ya bara arab km Saudia ,Oman e.t.c.
Nadhan hapo utanielewa.
Persians sio Iranians peke yao dada angu usipoelewa hayo maelezo nilokuletea toka mwanzo sijui utaelewa wapi!!!!!!
 
Habari za usiku huu wana jukwaa, kabla ya yote naomba kwanza niwasihi sana wale wavivu wa kusoma nyuzi ndefu kwamba huu uzi tafadhali kabla hamjatoa comments zozote naombeni muusome wote kama ulivyo kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu ndiyo mtoe comments maana kuna watu wana tabia ya kukurupuka kuchangia vitu ambavyo tayari vimeshafafanuliwa kwenye uzi.

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, leo nataka niongee na wanaume wanaoongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwao kana kwamba wanaume hawakosei kwenye jamii wakati maovu yote yanayofanywa na wanawake ni sawa tu na maovu yote yanayofanywa na wanaume lakini kabla sijaendelea naomba niorodheshe kwanza maovu yanayofanywa na wanawake na jinsi yanavyoendana na maovu yanayofanywa na wanaume.

1. Wanawake wanaochepuka wanaendana na Wanaume wanaochepuka

2. Wanawake wanaozalishwa bila ndoa/nje ya ndoa wanaendana na Wanaume wanaozalisha bila ndoa/nje ya ndoa

3. Wanawake wanaojiuza wanaendana na Wanaume wanaowanunua

4. Wanawake wasagaji wanaendana na Wanaume mashoga

5. Wanawake wanaopenda kutembea na waume za watu wanaendana na Wanaume wanaopenda kutembea na wake za watu

6. Wanawake wanaopenda kutoka na mijibaba alias sugardaddies kwa ajili ya pesa wanaendana na Wanaume wanaopenda kutoka na mijimama alias sugarmummies kwa ajili ya pesa

7. Wanawake waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tu wanaendana na Wanaume waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya mbunye tu

8. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kupewa pesa, kununuliwa vitu et al) na wapenzi wao wanaendana na Wanaume wanaopenda kulelewa (kupikiwa, kufuliwa et al) na wapenzi wao

9. Wanawake wasio na utii kwa waume zao wanaendana na Wanaume wasio na upendo kwa wake zao

10. Wanawake wanaowaacha wanaume waliowasomesha wanaendana na Wanaume wanaowaacha wanawake walioanza nao kwenye umasikini

Hayo ni machache mengine mnaweza kuongezea ila nimeona nijikite zaidi kwenye maovu yanayohusiana na ngono kwa sababu ndiyo janga kubwa kwenye jamii na nilitaka niwaoneshe ni namna gani jinsia zote zina maovu yake kwenye jamii, sasa hapa najua wapo watu watakaoleta habari za kutaka usawa sijui ushindani sikilizeni niwaambie, wanawake na wanaume tutatofautiana kote lakini siyo kwenye uovu yaani tutatofautiana kwenye jinsia, nafasi na majukumu lakini tofauti zote hizo siyo sababu ya wanaume kufanya maovu vile wanavyojisikia eti kwa sababu tu wao ndiyo wako juu ya wanawake

Wapo wengine watasema eti wanaongelea sana maovu ya wanawake kwa sababu wanawake ndiyo wanaopata madhara kuliko wanaume kwamba wanaume wao linapokuja kwenye swala la mahusiano ya kimapenzi hawana cha kupoteza kabisa ila niwaambie tu kuwa bado hiyo siyo sababu ya wanaume kufanya maovu vile wanavyojisikia eti ili tu kuwakomoa wanawake sasa mbona na magonjwa ya zinaa nayo hayaangalii jinsia na yanaua wote wanawake na wanaume kwa mtindo ule ule??

Halafu pia kinachonishangaza kama kweli wanaume hamna cha kupoteza kwenye mapenzi kwanini ninyi ndiyo mnaoongoza kwa kuyalalamikia na kuyaongelea maovu ya wanawake humu mitandaoni na mitaani kila siku?? Kuna mmoja alisema eti mnafanya hivyo kwa lengo la kutusaidia sasa kama kweli mngekuwa mna nia ya kuwasaidia hao wanawake wenye hayo maovu kwanini muishie kuongea kwa mdomo tu na siyo kufanya kwa vitendo??

Eti unakuta mwanaume anasema "kuna demu jana nilimtongoza akakubali muda ule ule na akanipa mzigo muda ule ule" halafu anamalizia kwa kusema "daah wanawake wa siku hizi mnajirahisisha sana acheni umalaya la sivyo wanaume tutaendelea kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha" sasa mwanaume kama huyu unamuona tu ni jinsi gani alivyo mnafiki yaani anajifanya kusikitishwa na wimbi la wadada kujirahisisha wakati huo huo yeye ndiye kinara wa kuwatongoza hao wadada ili wajirahisishe sasa kama kweli huyu mwanaume angekuwa hapendi wanawake wajirahisishe kwanini asiache kuwatongoza na kuwaomba mizigo kama hana nia nao??

Namaanisha kama wanaume mna nia ya kutusaidia wanawake na mmeona kwa maneno haisaidii kwanini msifanye kwa vitendo kwa kuacha hayo mambo yanayowafanya wanawake wajirahisishe kwenu?? Halafu wanaume wengi utasikia wanasema "kwanini mwanamke ukitongozwa ukubali" badala ya kuuliza "kwanini mwanaume anatongoza pasipo na nia ya dhati" yaani wanalazimisha ionekane kama mwanaume kutongoza siyo kosa ila mwanamke kukubali ndiyo kosa wakati actually kinachoanza ni kutongoza halafu kinachofuata ndiyo kukubali au kukataa hivyo lazima tukubali kuwa mwanaume anayetongoza na mwanamke anayekubali wote wana makosa na haya yote ni kutokana na tamaduni kandamizi zilizoanzishwa na mababu zetu enzi hizo bibi zetu wakiwa hawana sauti kwenye jamii hivyo walitupiwa mizigo yote na walilazimishwa kuikubali watake wasitake nasikitika kusema kuwa mamlaka ambayo wanaume walipewa na Mungu juu ya wanawake babu zetu waliyatumia vibaya kwa bibi zetu yaani waliyatumia kuwakandamiza badala ya kuwalinda

Kitendo cha kulazimisha kwamba mwanaume akitenda dhambi ni sawa ila mwanamke akitenda dhambi ni kosa ni kinyume hata na maandiko kwa sisi tunaoamini katika Mungu na Dini yaani jamii yetu imejenga mitazamo ya hovyo inayochagizwa na mfumo dume kwamba eti maovu ya mwanaume hayatakiwi kuhojiwa wala kurekebishwa bali maovu ya mwanamke ndiyo yanatakiwa kuhojiwa na kurekebishwa halafu wanalazimisha kwamba eti ni Mungu ndiyo ametaka hivyo ni mungu gani huyo aliyesema wanaume mtende dhambi mnavyojisikia eti ili tu mjitofautishe na wanawake na muonekane mko juu ya wanawake?? Ukweli ni kwamba tofauti kati ya mwanamke na mwanaume haipo kwenye dhambi hata siku moja yaani imefikia hatua wanaume wanajisifia umalaya na tena wanakataa kabisa eti mwanaume haitwi malaya bali kidume ukiuliza hiyo ni kwa mujibu wa nani hawana majibu wanakuja na mapovu!!

Kama kila jinsia imeshindwa kubadilika kwa nafasi yake na kusubiria eti jinsia nyingine ndiyo ianze kubadilika halafu nayo ndiyo itafuata basi niwasihi tu tuache kusubiri meli kwenye uwanja wa ndege au embe chini ya mkorosho mimi naona ifike pahala jamii iache uongo na unafiki kama tumeamua kukemea maovu tukemee kwa jinsia zote na kama tumeamua kuacha yaendelee tuache kwa jinsia zote after all wanaume si hamna cha kupoteza bwana so why mjihangaishe?? Ninyi endeleeni kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha halafu tutaona mwisho wake maana hata hivyo pamoja na malalamiko yote haya ya wanaume kwa wanawake naona ni kama vile mnajaribu kudeki bahari au kufagia jangwa tu!!

Kwa kuhitimisha naomba niseme tu kuwa hiki nilichokiandika ni robo tu ya nilichonacho ila kwa sasa naomba niishie hapa lakini bado nina mengi ya kuandika hapa sitayamaliza ila nitajaribu kuyajibu kwenye comments kutegemeana na maoni ya wadau japo najua nitaoga mapovu ya kutosha hasa kutoka kwa jinsia ya kiume lakini sitajali nayakaribisha ila wale wazee wa kukisia maisha ya watu wale wa "wewe utakuwa na stress za wanaume siyo bure" au wale wa "wewe unapenda kujilinganisha na wanaume" maana wenzetu mkiguswa kidogo tu mnakimbilia kusema wanawake tunataka usawa au ushindani na wanaume utafikiri labda wanaume mna kitu cha ziada mmependelewa nacho yaani labda wenzetu hamfi mnapaa mbinguni moja kwa moja kama mlivyo na ingekuwa hivyo mbona ningebadili jinsia kabisa niwe mwanaume ili nisife ila tofauti na hapo sijaona cha kunifanya nitake kujilinganisha na mwanaume maana hapa duniani kinaogopwa kifo tu kwa sababu hakikwepeki ila mengine yote yanakwepeka tu na tunayoweza kupambana nayo tunapambana nayo kikubwa uhai sasa leo naomba mje na hoja tafadhali hizo kauli zenu za ushindani sijui usawa siyo hoja bali ni mihemko tu

Nipo....
Sio kila mwanamke ni wife material.
 
Wewe thibitisha uongo wa hayo niliyoyagoogle
Nithibitishe vipi kuhusu uongo wakati sijasema kama hayo ni uongo zaidi ya mimi kutaka unithibitishie tu.

Au kuna sehemu umeona nimekanusha hapo bibie ?
 
Hivi wewe unaongelea geography ya wapi mwenzetu?? Persia kwa kiswahili inaitwa Uajemi
Miongoni mwa maneno ambayo Kiswahili tumechukua na kubadilisha maana na kwenda kinyume na maana ya asili hili tamko la "Uajemi".

Tamko "Uajemi" lina asili ya kiarabu na hutamkwa "A'ajem au A'ajamiyyah" kwa maana ya yeyote ambaye sio Muarabu huitwa kwa jina hilo. Waswahili wakalichukua tamko hili na kulifanya kuwa maalumu kwa ajili ya Fursi/Persi/Irani pekee na kusomeka "Ajemi/Muajemi/Uajemi".

Yaani mpaka wewe na mimi sisi wote ni Waajemi pia. Nakupa hii ifanyie kazi.
 
Ulijificha wapi jamani[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji847][emoji847][emoji847].
Nikajiwazia au ndio maandalizi ya mwanetu[emoji847][emoji847][emoji847]
Nilitingwa na majukumu mdogo wangu.
Ila nimefahi sana kuona mmenikumbuka.
Hahahhahaha huyo bado sanaaaa
 
Nami nimejibu kutokana na comment ya niliyemquote. Hakuna niliposema tumewazidi bali nasema hivi kwenye upande wa kazi hakuna mnaloweza ambalo mwanamke anashindwa ukiacha kazi ambazo hutumia mabavu, Ni kwasababu hatujaumbwa na mabavu.
Hayo mabavu yenu ndo yamewafanya mjione miungu yatu kubagua dhambi, kuona hii ni sawa kwa mwanaume lkn kwa mwanamke si sawa.
Nadhani mada inaelezea kujihalalishia dhambi hayo mengine ya 50/50 ni mada nyingine.
Kunyimwa tu hayo mabavu inaonesha otofauti na inaondoa hiyo kauli yako ya hakuna kazi mwanaume anaweza fanya mwanamke akashindwa..
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Thank you so much you have spoken the truth, Jah bless you.

Back
Top Bottom