Nimeuliza swali tu,sijatoa maoni yangu.Kwahiyo wewe ndiyo uko sahihi eti??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza swali tu,sijatoa maoni yangu.Kwahiyo wewe ndiyo uko sahihi eti??
Mimi nataka unithibitishie kama hayo uliyo google ni ya kweli,au nimekosea bibie ? Kama sijakosea basi fanya kunithibitishia ukweli wa hayo uliuo ya google.Sasa kama huyo hadi ameuliza hivyo maana yake ni ukweli ila tu anabisha kwa sababu hawaamini wanaoweka hizo data kule google
[emoji16] npo kwenye uhalisia zaidi, huwa nasema kuwa jinsia fulani haimaanishi ndio ushindwa kuusema ukweli pale inapohitajika.Kwema upo?? Ila leo nimeshangaa kidogo umekuwa upande wetu maana kwenye nyuzi nyingine naonaga unakuwaga upande wa wazee wa kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha!!
Hivi wewe unaongelea geography ya wapi mwenzetu?? Persia kwa kiswahili inaitwa Uajemi na zamani ilikuwa ikiitwa Persia and Media yaani Uajemi na Umedi ambapo kwa sasa Persia ni Iran yote na Media ni Kaskazini Magharibi mwa Iran ambamo kuna regions ziitwazo Iranian Kurdistan na Western Tabaristan na zote zipo ndani ya Iran na si nje ya Iran na hapo hakuna mahali panaelezea kwamba eti na watu wa hizo nchi nyingine ulizozitaja ni wapersia!!Hahahahahhah dada Mbona Unanichekesha ?????
Ramani ulizoleta kuna ya juu ile iloonesha mataifa manne yenye asili ya uhajemi ambayo yameshikanishwa pamoja Iran,Afghanistan,Pakistan na Turkmenistan.
Turkey na Egypt zimetenganishwa pemben km umeona vema.Inamaana Turkimenistan,Iran,Pakistan na Afghanistan ni persian nations.Lakin Egypt na Turkey zipo maeneo ama ukanda wa Persian gulf coasts.
Raman ya pili na maelezo ukaleta nchi zilizopo maeneo ya coast of persian gulf sijui unaelewa ulichokileta?????
Ama umesahau namna ya map interpretation mkuu???
Umejikanganya mwenyewe katizame vema.
Ila natumai article nilokupa imekuelewesha.
Persian gulf ni ghuba ya uhajemi iliyozungukwa kwa kiasi kikubwa na mataifa ya kihajemi na Mataifa ya arab kwenye Mediterranean sea.
Katika ghuba ya uhajemi kuna mataifa ya kihajemi yanayounda hiyo ghuba na kuna mataifa ya arab yaliyopakana na hiyo ghuba.Sijui umenielewa dada angu mpendwa???
Thank you very much for bringing up this topic,both genders male n female we are all human beings and no one can claim to be perfect.All of us do make mistakes and the best way to solve a problem is through proper communication using the "right words".let's embrace one another it's morally right for each individual accept their own mistakes and correct them accordinglyHabari za usiku huu wana jukwaa, kabla ya yote naomba kwanza niwasihi sana wale wavivu wa kusoma nyuzi ndefu kwamba huu uzi tafadhali kabla hamjatoa comments zozote naombeni muusome wote kama ulivyo kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu ndiyo mtoe comments maana kuna watu wana tabia ya kukurupuka kuchangia vitu ambavyo tayari vimeshafafanuliwa kwenye uzi.
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, leo nataka niongee na wanaume wanaoongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwao kana kwamba wanaume hawakosei kwenye jamii wakati maovu yote yanayofanywa na wanawake ni sawa tu na maovu yote yanayofanywa na wanaume lakini kabla sijaendelea naomba niorodheshe kwanza maovu yanayofanywa na wanawake na jinsi yanavyoendana na maovu yanayofanywa na wanaume.
1. Wanawake wanaochepuka wanaendana na Wanaume wanaochepuka
2. Wanawake wanaozalishwa bila ndoa/nje ya ndoa wanaendana na Wanaume wanaozalisha bila ndoa/nje ya ndoa
3. Wanawake wanaojiuza wanaendana na Wanaume wanaowanunua
4. Wanawake wasagaji wanaendana na Wanaume mashoga
5. Wanawake wanaopenda kutembea na waume za watu wanaendana na Wanaume wanaopenda kutembea na wake za watu
6. Wanawake wanaopenda kutoka na mijibaba alias sugardaddies kwa ajili ya pesa wanaendana na Wanaume wanaopenda kutoka na mijimama alias sugarmummies kwa ajili ya pesa
7. Wanawake waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tu wanaendana na Wanaume waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya mbunye tu
8. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kupewa pesa, kununuliwa vitu et al) na wapenzi wao wanaendana na Wanaume wanaopenda kulelewa (kupikiwa, kufuliwa et al) na wapenzi wao
9. Wanawake wasio na utii kwa waume zao wanaendana na Wanaume wasio na upendo kwa wake zao
10. Wanawake wanaowaacha wanaume waliowasomesha wanaendana na Wanaume wanaowaacha wanawake walioanza nao kwenye umasikini
Hayo ni machache mengine mnaweza kuongezea ila nimeona nijikite zaidi kwenye maovu yanayohusiana na ngono kwa sababu ndiyo janga kubwa kwenye jamii na nilitaka niwaoneshe ni namna gani jinsia zote zina maovu yake kwenye jamii, sasa hapa najua wapo watu watakaoleta habari za kutaka usawa sijui ushindani sikilizeni niwaambie, wanawake na wanaume tutatofautiana kote lakini siyo kwenye uovu yaani tutatofautiana kwenye jinsia, nafasi na majukumu lakini tofauti zote hizo siyo sababu ya wanaume kufanya maovu vile wanavyojisikia eti kwa sababu tu wao ndiyo wako juu ya wanawake
Wapo wengine watasema eti wanaongelea sana maovu ya wanawake kwa sababu wanawake ndiyo wanaopata madhara kuliko wanaume kwamba wanaume wao linapokuja kwenye swala la mahusiano ya kimapenzi hawana cha kupoteza kabisa ila niwaambie tu kuwa bado hiyo siyo sababu ya wanaume kufanya maovu vile wanavyojisikia eti ili tu kuwakomoa wanawake sasa mbona na magonjwa ya zinaa nayo hayaangalii jinsia na yanaua wote wanawake na wanaume kwa mtindo ule ule??
Halafu pia kinachonishangaza kama kweli wanaume hamna cha kupoteza kwenye mapenzi kwanini ninyi ndiyo mnaoongoza kwa kuyalalamikia na kuyaongelea maovu ya wanawake humu mitandaoni na mitaani kila siku?? Kuna mmoja alisema eti mnafanya hivyo kwa lengo la kutusaidia sasa kama kweli mngekuwa mna nia ya kuwasaidia hao wanawake wenye hayo maovu kwanini muishie kuongea kwa mdomo tu na siyo kufanya kwa vitendo??
Eti unakuta mwanaume anasema "kuna demu jana nilimtongoza akakubali muda ule ule na akanipa mzigo muda ule ule" halafu anamalizia kwa kusema "daah wanawake wa siku hizi mnajirahisisha sana acheni umalaya la sivyo wanaume tutaendelea kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha" sasa mwanaume kama huyu unamuona tu ni jinsi gani alivyo mnafiki yaani anajifanya kusikitishwa na wimbi la wadada kujirahisisha wakati huo huo yeye ndiye kinara wa kuwatongoza hao wadada ili wajirahisishe sasa kama kweli huyu mwanaume angekuwa hapendi wanawake wajirahisishe kwanini asiache kuwatongoza na kuwaomba mizigo kama hana nia nao??
Namaanisha kama wanaume mna nia ya kutusaidia wanawake na mmeona kwa maneno haisaidii kwanini msifanye kwa vitendo kwa kuacha hayo mambo yanayowafanya wanawake wajirahisishe kwenu?? Halafu wanaume wengi utasikia wanasema "kwanini mwanamke ukitongozwa ukubali" badala ya kuuliza "kwanini mwanaume anatongoza pasipo na nia ya dhati" yaani wanalazimisha ionekane kama mwanaume kutongoza siyo kosa ila mwanamke kukubali ndiyo kosa wakati actually kinachoanza ni kutongoza halafu kinachofuata ndiyo kukubali au kukataa hivyo lazima tukubali kuwa mwanaume anayetongoza na mwanamke anayekubali wote wana makosa na haya yote ni kutokana na tamaduni kandamizi zilizoanzishwa na mababu zetu enzi hizo bibi zetu wakiwa hawana sauti kwenye jamii hivyo walitupiwa mizigo yote na walilazimishwa kuikubali watake wasitake nasikitika kusema kuwa mamlaka ambayo wanaume walipewa na Mungu juu ya wanawake babu zetu waliyatumia vibaya kwa bibi zetu yaani waliyatumia kuwakandamiza badala ya kuwalinda
Kitendo cha kulazimisha kwamba mwanaume akitenda dhambi ni sawa ila mwanamke akitenda dhambi ni kosa ni kinyume hata na maandiko kwa sisi tunaoamini katika Mungu na Dini yaani jamii yetu imejenga mitazamo ya hovyo inayochagizwa na mfumo dume kwamba eti maovu ya mwanaume hayatakiwi kuhojiwa wala kurekebishwa bali maovu ya mwanamke ndiyo yanatakiwa kuhojiwa na kurekebishwa halafu wanalazimisha kwamba eti ni Mungu ndiyo ametaka hivyo ni mungu gani huyo aliyesema wanaume mtende dhambi mnavyojisikia eti ili tu mjitofautishe na wanawake na muonekane mko juu ya wanawake?? Ukweli ni kwamba tofauti kati ya mwanamke na mwanaume haipo kwenye dhambi hata siku moja yaani imefikia hatua wanaume wanajisifia umalaya na tena wanakataa kabisa eti mwanaume haitwi malaya bali kidume ukiuliza hiyo ni kwa mujibu wa nani hawana majibu wanakuja na mapovu!!
Kama kila jinsia imeshindwa kubadilika kwa nafasi yake na kusubiria eti jinsia nyingine ndiyo ianze kubadilika halafu nayo ndiyo itafuata basi niwasihi tu tuache kusubiri meli kwenye uwanja wa ndege au embe chini ya mkorosho mimi naona ifike pahala jamii iache uongo na unafiki kama tumeamua kukemea maovu tukemee kwa jinsia zote na kama tumeamua kuacha yaendelee tuache kwa jinsia zote after all wanaume si hamna cha kupoteza bwana so why mjihangaishe?? Ninyi endeleeni kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha halafu tutaona mwisho wake maana hata hivyo pamoja na malalamiko yote haya ya wanaume kwa wanawake naona ni kama vile mnajaribu kudeki bahari au kufagia jangwa tu!!
Kwa kuhitimisha naomba niseme tu kuwa hiki nilichokiandika ni robo tu ya nilichonacho ila kwa sasa naomba niishie hapa lakini bado nina mengi ya kuandika hapa sitayamaliza ila nitajaribu kuyajibu kwenye comments kutegemeana na maoni ya wadau japo najua nitaoga mapovu ya kutosha hasa kutoka kwa jinsia ya kiume lakini sitajali nayakaribisha ila wale wazee wa kukisia maisha ya watu wale wa "wewe utakuwa na stress za wanaume siyo bure" au wale wa "wewe unapenda kujilinganisha na wanaume" maana wenzetu mkiguswa kidogo tu mnakimbilia kusema wanawake tunataka usawa au ushindani na wanaume utafikiri labda wanaume mna kitu cha ziada mmependelewa nacho yaani labda wenzetu hamfi mnapaa mbinguni moja kwa moja kama mlivyo na ingekuwa hivyo mbona ningebadili jinsia kabisa niwe mwanaume ili nisife ila tofauti na hapo sijaona cha kunifanya nitake kujilinganisha na mwanaume maana hapa duniani kinaogopwa kifo tu kwa sababu hakikwepeki ila mengine yote yanakwepeka tu na tunayoweza kupambana nayo tunapambana nayo kikubwa uhai sasa leo naomba mje na hoja tafadhali hizo kauli zenu za ushindani sijui usawa siyo hoja bali ni mihemko tu
Nipo....
Dada we mgumu kuelewa aisee km sio hvyo basi mbishi km cookie smokey!!!!!!!Hivi wewe unaongelea geography ya wapi mwenzetu?? Persia kwa kiswahili inaitwa Uajemi na zamani ilikuwa ikiitwa Persia and Media yaani Uajemi na Umedi ambapo kwa sasa Persia ni Iran yote na Media ni Kaskazini Magharibi mwa Iran ambamo kuna regions ziitwazo Iranian Kurdistan na Western Tabaristan na zote zipo ndani ya Iran na si nje ya Iran na hapo hakuna mahali panaelezea kwamba eti na watu wa hizo nchi nyingine ulizozitaja ni wapersia!!
Basi sawa inawezekana hizo nchi ulizozitaja wewe zikawepo kwenye hiyo persian gulf japo siamini lakini hizo nchi kuwepo kwenye persian gulf siyo sababu wala kigezo cha kusema kwamba eti raia wa hizo nchi ni wapersia labda nikupe mfano mwingine hivi unaijua mexican gulf?? Hii ndiyo gulf kubwa kuliko zote duniani na inacover nchi tatu mexico marekani na cuba sasa kweli tutasema raia wa hizo nchi zote tatu ni wamexico eti kwa sababu tu nchi zao zipo kwenye hiyo mexican gulf??
Maelezo mengine ya kusadikisha kuwa mataifa nilokutajia nayo ni ya watu wa asili ya hajemi haya hapa chini;Hivi wewe unaongelea geography ya wapi mwenzetu?? Persia kwa kiswahili inaitwa Uajemi na zamani ilikuwa ikiitwa Persia and Media yaani Uajemi na Umedi ambapo kwa sasa Persia ni Iran yote na Media ni Kaskazini Magharibi mwa Iran ambamo kuna regions ziitwazo Iranian Kurdistan na Western Tabaristan na zote zipo ndani ya Iran na si nje ya Iran na hapo hakuna mahali panaelezea kwamba eti na watu wa hizo nchi nyingine ulizozitaja ni wapersia!!
Basi sawa inawezekana hizo nchi ulizozitaja wewe zikawepo kwenye hiyo persian gulf japo siamini lakini hizo nchi kuwepo kwenye persian gulf siyo sababu wala kigezo cha kusema kwamba eti raia wa hizo nchi ni wapersia labda nikupe mfano mwingine hivi unaijua mexican gulf?? Hii ndiyo gulf kubwa kuliko zote duniani na inacover nchi tatu mexico marekani na cuba sasa kweli tutasema raia wa hizo nchi zote tatu ni wamexico eti kwa sababu tu nchi zao zipo kwenye hiyo mexican gulf??
Sio kila mwanamke ni wife material.Habari za usiku huu wana jukwaa, kabla ya yote naomba kwanza niwasihi sana wale wavivu wa kusoma nyuzi ndefu kwamba huu uzi tafadhali kabla hamjatoa comments zozote naombeni muusome wote kama ulivyo kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu ndiyo mtoe comments maana kuna watu wana tabia ya kukurupuka kuchangia vitu ambavyo tayari vimeshafafanuliwa kwenye uzi.
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, leo nataka niongee na wanaume wanaoongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwao kana kwamba wanaume hawakosei kwenye jamii wakati maovu yote yanayofanywa na wanawake ni sawa tu na maovu yote yanayofanywa na wanaume lakini kabla sijaendelea naomba niorodheshe kwanza maovu yanayofanywa na wanawake na jinsi yanavyoendana na maovu yanayofanywa na wanaume.
1. Wanawake wanaochepuka wanaendana na Wanaume wanaochepuka
2. Wanawake wanaozalishwa bila ndoa/nje ya ndoa wanaendana na Wanaume wanaozalisha bila ndoa/nje ya ndoa
3. Wanawake wanaojiuza wanaendana na Wanaume wanaowanunua
4. Wanawake wasagaji wanaendana na Wanaume mashoga
5. Wanawake wanaopenda kutembea na waume za watu wanaendana na Wanaume wanaopenda kutembea na wake za watu
6. Wanawake wanaopenda kutoka na mijibaba alias sugardaddies kwa ajili ya pesa wanaendana na Wanaume wanaopenda kutoka na mijimama alias sugarmummies kwa ajili ya pesa
7. Wanawake waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tu wanaendana na Wanaume waliopo kwenye mahusiano kwa sababu ya mbunye tu
8. Wanawake wanaopenda kuhudumiwa (kupewa pesa, kununuliwa vitu et al) na wapenzi wao wanaendana na Wanaume wanaopenda kulelewa (kupikiwa, kufuliwa et al) na wapenzi wao
9. Wanawake wasio na utii kwa waume zao wanaendana na Wanaume wasio na upendo kwa wake zao
10. Wanawake wanaowaacha wanaume waliowasomesha wanaendana na Wanaume wanaowaacha wanawake walioanza nao kwenye umasikini
Hayo ni machache mengine mnaweza kuongezea ila nimeona nijikite zaidi kwenye maovu yanayohusiana na ngono kwa sababu ndiyo janga kubwa kwenye jamii na nilitaka niwaoneshe ni namna gani jinsia zote zina maovu yake kwenye jamii, sasa hapa najua wapo watu watakaoleta habari za kutaka usawa sijui ushindani sikilizeni niwaambie, wanawake na wanaume tutatofautiana kote lakini siyo kwenye uovu yaani tutatofautiana kwenye jinsia, nafasi na majukumu lakini tofauti zote hizo siyo sababu ya wanaume kufanya maovu vile wanavyojisikia eti kwa sababu tu wao ndiyo wako juu ya wanawake
Wapo wengine watasema eti wanaongelea sana maovu ya wanawake kwa sababu wanawake ndiyo wanaopata madhara kuliko wanaume kwamba wanaume wao linapokuja kwenye swala la mahusiano ya kimapenzi hawana cha kupoteza kabisa ila niwaambie tu kuwa bado hiyo siyo sababu ya wanaume kufanya maovu vile wanavyojisikia eti ili tu kuwakomoa wanawake sasa mbona na magonjwa ya zinaa nayo hayaangalii jinsia na yanaua wote wanawake na wanaume kwa mtindo ule ule??
Halafu pia kinachonishangaza kama kweli wanaume hamna cha kupoteza kwenye mapenzi kwanini ninyi ndiyo mnaoongoza kwa kuyalalamikia na kuyaongelea maovu ya wanawake humu mitandaoni na mitaani kila siku?? Kuna mmoja alisema eti mnafanya hivyo kwa lengo la kutusaidia sasa kama kweli mngekuwa mna nia ya kuwasaidia hao wanawake wenye hayo maovu kwanini muishie kuongea kwa mdomo tu na siyo kufanya kwa vitendo??
Eti unakuta mwanaume anasema "kuna demu jana nilimtongoza akakubali muda ule ule na akanipa mzigo muda ule ule" halafu anamalizia kwa kusema "daah wanawake wa siku hizi mnajirahisisha sana acheni umalaya la sivyo wanaume tutaendelea kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha" sasa mwanaume kama huyu unamuona tu ni jinsi gani alivyo mnafiki yaani anajifanya kusikitishwa na wimbi la wadada kujirahisisha wakati huo huo yeye ndiye kinara wa kuwatongoza hao wadada ili wajirahisishe sasa kama kweli huyu mwanaume angekuwa hapendi wanawake wajirahisishe kwanini asiache kuwatongoza na kuwaomba mizigo kama hana nia nao??
Namaanisha kama wanaume mna nia ya kutusaidia wanawake na mmeona kwa maneno haisaidii kwanini msifanye kwa vitendo kwa kuacha hayo mambo yanayowafanya wanawake wajirahisishe kwenu?? Halafu wanaume wengi utasikia wanasema "kwanini mwanamke ukitongozwa ukubali" badala ya kuuliza "kwanini mwanaume anatongoza pasipo na nia ya dhati" yaani wanalazimisha ionekane kama mwanaume kutongoza siyo kosa ila mwanamke kukubali ndiyo kosa wakati actually kinachoanza ni kutongoza halafu kinachofuata ndiyo kukubali au kukataa hivyo lazima tukubali kuwa mwanaume anayetongoza na mwanamke anayekubali wote wana makosa na haya yote ni kutokana na tamaduni kandamizi zilizoanzishwa na mababu zetu enzi hizo bibi zetu wakiwa hawana sauti kwenye jamii hivyo walitupiwa mizigo yote na walilazimishwa kuikubali watake wasitake nasikitika kusema kuwa mamlaka ambayo wanaume walipewa na Mungu juu ya wanawake babu zetu waliyatumia vibaya kwa bibi zetu yaani waliyatumia kuwakandamiza badala ya kuwalinda
Kitendo cha kulazimisha kwamba mwanaume akitenda dhambi ni sawa ila mwanamke akitenda dhambi ni kosa ni kinyume hata na maandiko kwa sisi tunaoamini katika Mungu na Dini yaani jamii yetu imejenga mitazamo ya hovyo inayochagizwa na mfumo dume kwamba eti maovu ya mwanaume hayatakiwi kuhojiwa wala kurekebishwa bali maovu ya mwanamke ndiyo yanatakiwa kuhojiwa na kurekebishwa halafu wanalazimisha kwamba eti ni Mungu ndiyo ametaka hivyo ni mungu gani huyo aliyesema wanaume mtende dhambi mnavyojisikia eti ili tu mjitofautishe na wanawake na muonekane mko juu ya wanawake?? Ukweli ni kwamba tofauti kati ya mwanamke na mwanaume haipo kwenye dhambi hata siku moja yaani imefikia hatua wanaume wanajisifia umalaya na tena wanakataa kabisa eti mwanaume haitwi malaya bali kidume ukiuliza hiyo ni kwa mujibu wa nani hawana majibu wanakuja na mapovu!!
Kama kila jinsia imeshindwa kubadilika kwa nafasi yake na kusubiria eti jinsia nyingine ndiyo ianze kubadilika halafu nayo ndiyo itafuata basi niwasihi tu tuache kusubiri meli kwenye uwanja wa ndege au embe chini ya mkorosho mimi naona ifike pahala jamii iache uongo na unafiki kama tumeamua kukemea maovu tukemee kwa jinsia zote na kama tumeamua kuacha yaendelee tuache kwa jinsia zote after all wanaume si hamna cha kupoteza bwana so why mjihangaishe?? Ninyi endeleeni kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha halafu tutaona mwisho wake maana hata hivyo pamoja na malalamiko yote haya ya wanaume kwa wanawake naona ni kama vile mnajaribu kudeki bahari au kufagia jangwa tu!!
Kwa kuhitimisha naomba niseme tu kuwa hiki nilichokiandika ni robo tu ya nilichonacho ila kwa sasa naomba niishie hapa lakini bado nina mengi ya kuandika hapa sitayamaliza ila nitajaribu kuyajibu kwenye comments kutegemeana na maoni ya wadau japo najua nitaoga mapovu ya kutosha hasa kutoka kwa jinsia ya kiume lakini sitajali nayakaribisha ila wale wazee wa kukisia maisha ya watu wale wa "wewe utakuwa na stress za wanaume siyo bure" au wale wa "wewe unapenda kujilinganisha na wanaume" maana wenzetu mkiguswa kidogo tu mnakimbilia kusema wanawake tunataka usawa au ushindani na wanaume utafikiri labda wanaume mna kitu cha ziada mmependelewa nacho yaani labda wenzetu hamfi mnapaa mbinguni moja kwa moja kama mlivyo na ingekuwa hivyo mbona ningebadili jinsia kabisa niwe mwanaume ili nisife ila tofauti na hapo sijaona cha kunifanya nitake kujilinganisha na mwanaume maana hapa duniani kinaogopwa kifo tu kwa sababu hakikwepeki ila mengine yote yanakwepeka tu na tunayoweza kupambana nayo tunapambana nayo kikubwa uhai sasa leo naomba mje na hoja tafadhali hizo kauli zenu za ushindani sijui usawa siyo hoja bali ni mihemko tu
Nipo....
Nithibitishe vipi kuhusu uongo wakati sijasema kama hayo ni uongo zaidi ya mimi kutaka unithibitishie tu.Wewe thibitisha uongo wa hayo niliyoyagoogle
Miongoni mwa maneno ambayo Kiswahili tumechukua na kubadilisha maana na kwenda kinyume na maana ya asili hili tamko la "Uajemi".Hivi wewe unaongelea geography ya wapi mwenzetu?? Persia kwa kiswahili inaitwa Uajemi
Halafu cute b sijamuona muda jamani sijui kapotelea wapi
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8].Huyu dada hata Mimi sijamuona muda mrefu.
Nimemmiss Sana..Kuna siku nimtag.
Nadhani atakuwa kwenye ile inshu aliyosema.
Ulijificha wapi jamani[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji847][emoji847][emoji847].[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8].
Nilitingwa na majukumu mdogo wangu.Ulijificha wapi jamani[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji847][emoji847][emoji847].
Nikajiwazia au ndio maandalizi ya mwanetu[emoji847][emoji847][emoji847]
Kunyimwa tu hayo mabavu inaonesha otofauti na inaondoa hiyo kauli yako ya hakuna kazi mwanaume anaweza fanya mwanamke akashindwa..Nami nimejibu kutokana na comment ya niliyemquote. Hakuna niliposema tumewazidi bali nasema hivi kwenye upande wa kazi hakuna mnaloweza ambalo mwanamke anashindwa ukiacha kazi ambazo hutumia mabavu, Ni kwasababu hatujaumbwa na mabavu.
Hayo mabavu yenu ndo yamewafanya mjione miungu yatu kubagua dhambi, kuona hii ni sawa kwa mwanaume lkn kwa mwanamke si sawa.
Nadhani mada inaelezea kujihalalishia dhambi hayo mengine ya 50/50 ni mada nyingine.
Thank you very much for bringing up this topic,both genders male n female we are all human beings and no one can claim to be perfect.All of us do make mistakes and the best way to solve a problem is through proper communication using the "right words".let's embrace one another it's morally right for each individual accept their own mistakes and correct them accordingly
Jamani [emoji847][emoji847][emoji847][emoji9]..tulikukumbuka Sana.Nilitingwa na majukumu mdogo wangu.
Ila nimefahi sana kuona mmenikumbuka.
Hahahhahaha huyo bado sanaaaa