Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

Hapo nilikuwa nawaza tu, nashangaa umenijibu wakati mwenzio nawaza. Haya salamu ni hii
Habari za siku mupenzi FP

Tatizo huyo First Man wa First Lady ni SHAROBARO, sasa anazani kila mwanaume yuko ivo
CPU mbona nasikia na wewe ni Rais wa MASHAROBARO
 
Hapo nilikuwa nawaza tu, nashangaa umenijibu wakati mwenzio nawaza. Haya salamu ni hii
Habari za siku mupenzi FP

Tatizo huyo First Man wa First Lady ni SHAROBARO, sasa anazani kila mwanaume yuko ivo

si kasema hajaolewa, mi nahisi anasikiliza hadithi za hao masharobaro
 
Ahaaaa haaaaa ahaaaaa napita tu
 

Du! kaazi kweli kweli........................
 
I am fine Kimey.... so sweet of you! So unajua niko home...so unaweza kupitia angalau ukanisalimu! Thanks.

aisee usijihangaishe na kimei ni hasara.anakaa usalule ni porini kuna nyumba moja tu wanayokaa wafanyakazi na bosi wao.maisha yake hayaathiriki na utawala wa kikwete kwani yuko karibu zaidi na wanyama na jiji la dar huliona mara mbili au moja kwa mwaka.kimei ni headache muulize wiselady aisee
 
Kuna kukinai si anajua ipo mda wote.men anapenda challenge ya kuipata.lazima ukiolewa atakinahi tu.ndo mana demu kabla hajaolewa anajiona matawi aeza kumpita mtu bila ata kumtizama manake ajiona matawi ngoja aolewe jamaa aanze kumpotezea ndo anajua kumbe sijapata.
 

Aisee hizi tuhuma zinahitaji uwe na wakili wa ukweli mkuu
 
Aisee hivi unajua hiyo siksi paki siku hizi ni indikeshen kwamba umekuwa bwabwa?!
Lakin sawa, kama shida yako ni mapaki sita hakuna tabu, ila chunga sana mi sio wa kunilisha chipsi tomato na sauseji mbili

Si kweli bwana!Kuhusu mlo chips wala hutakaa uzione... kitakachokuhusu ni ugali wa ukweli..ule wa kisukuma..nyama na majani!
 
Si kweli bwana!Kuhusu mlo chips wala hutakaa uzione... kitakachokuhusu ni ugali wa ukweli..ule wa kisukuma..nyama na majani!

Haya kipenzi, lakin hujanieleza kwenye siksi paki unapendea nini?
 
Mara nyingi wanawake ndo huwa mara nyingi wa kwanza kuwa wavivu katika mapenzi...hilo halipingiki
 

Mmhhh....kumbe FL??!! Sikujua hayo mwenzio! Ila unanifanya nitamani kumwona huyu anaishi porini anafananaje?....Utawala wa Kikwete umeshindwa kubadili maisha yake... labda baba yangu anaweza kumsaidia....🙂
 
Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha kwamba mimi hujanichunguza....

khe,wataka nikuchunguze wewe mkuu?wanawake nliowachunguza na kuwasikia wametosha kunipa majibu.hayo mengine ya ziada au uchunguzi binafsi ni bora uniPM nikuelekeze jinsi ya kutumia sampo yako na majibu ntaleta humu
 
wewe bana dah!

unamtusi kila mtu sasa!.....

mimi sikubaliani kabisa ngoja nimtumikie mkoloni then nitarudi....

aisee mkuu nafuta usemi usije goma kunikaribisha kwa eliza maana wikend ndiyo hiyooo
 

ngoja nirudi nje nikacheke kwa nguvu......
 
Hapo nilikuwa nawaza tu, nashangaa umenijibu wakati mwenzio nawaza. Haya salamu ni hii
Habari za siku mupenzi FP

Tatizo huyo First Man wa First Lady ni SHAROBARO, sasa anazani kila mwanaume yuko ivo

kha,yaan kwa kweli unastahili ban aisee yaan firstman wangu unamuita sharobalo!na finest utamwitaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…