kwa kweli mimi hujituma sana tu lakini mamawatoto ndie huwqeka ngumu eti kesho hutaki tena halafi eti kubali ulichopata nimechoka leo mara ooh sijisikii leo bora kifo cha mende siku nyengine tutacheza gemu kubwa kwa kweli sababu ndio nyingi nazo hizo ndizo zinazochangia kuwa na nyumba ndogo
wanawake wawe wabunifu sio kila siku mende
Aseee!!:A S 13::A S 13:aisee usijihangaishe na kimei ni hasara.anakaa usalule ni porini kuna nyumba moja tu wanayokaa wafanyakazi na bosi wao.maisha yake hayaathiriki na utawala wa kikwete kwani yuko karibu zaidi na wanyama na jiji la dar huliona mara mbili au moja kwa mwaka.kimei ni headache muulize wiselady aisee
Bora unisaidie kiongozi....!!Aisee hizi tuhuma zinahitaji uwe na wakili wa ukweli mkuu
Keren mama will pass to your house on the way to Counter ya Juu!!Mmhhh....kumbe FL??!! Sikujua hayo mwenzio! Ila unanifanya nitamani kumwona huyu anaishi porini anafananaje?....Utawala wa Kikwete umeshindwa kubadili maisha yake... labda baba yangu anaweza kumsaidia....🙂
Aiseee, Mkuu usije ukafanya nikakwambia na wewe usinipige picha kama ALI HADAIWI
Keren mama will pass to your house on the way to Counter ya Juu!!
Achana na tuhuma za FL bana!
khe,wataka nikuchunguze wewe mkuu?wanawake nliowachunguza na kuwasikia wametosha kunipa majibu.hayo mengine ya ziada au uchunguzi binafsi ni bora uniPM nikuelekeze jinsi ya kutumia sampo yako na majibu ntaleta humu
sijaolewa bado ila ni kwasababu staki kukutana na wavivu .ila umri unaruhusu na mambo yote ya muhimu nshayapitia imebaki ndoa tu
Mwee...unaweza ukapeperushiwa ndege wako ..:A S 13:!! Will be waiting for you Kimey....labda unaweza kunitoa outing, nimechoka na home mie...! Nimemsubiri TF hata haonekani..... LOL
mmmmh!!!!!
Hao hao waliooa ndio hot cake kwa wanawake wasioolewa/waliolewa maana wanajituma na kazi yao si mchezo mie nadhani bidii inahamia kwa nyumba ndo hivyo kwa nyumba kubwa inabakia ushahidi ni juu ya wanawake waliolewa kuhakikisha wanajikeep kimahaba zaidi maana sie wanaume tuko kama simba tunapotegwa na wake zetu sasa ukikakaa kihasara hasara mumeo nae anakuwa doroooWanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye kiapo anakuwa mzito sana.hasa wanaume hawa waliooa wakishikwa hamu hakuna tena maandalizi kwa wenzi wao,huishia kuwaparamia kama vile wamehesabiwa muda wa mechi.nimejaribu kuwauliza wanawake kadhaa walioolewa na baadhi ya nyumba ndogo za wanaume kadhaa, wote wamelikiri hili. Wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie kujua sababu ili nami nikiolewa nsikutane na mwanaume mzembemzembe.pia hao waliooa wajifunze wajue mahitaji ya wake zao na maInfii wao
Rogger that....!! Balantino au Tikila hope will work for you to day!!Mwee...unaweza ukapeperushiwa ndege wako ..:A S 13:!! Will be waiting for you Kimey....labda unaweza kunitoa outing, nimechoka na home mie...! Nimemsubiri TF hata haonekani..... LOL
kha,yaan kwa kweli unastahili ban aisee yaan firstman wangu unamuita sharobalo!na finest utamwitaje?
Wanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye kiapo anakuwa mzito sana.hasa wanaume hawa waliooa wakishikwa hamu hakuna tena maandalizi kwa wenzi wao,huishia kuwaparamia kama vile wamehesabiwa muda wa mechi.nimejaribu kuwauliza wanawake kadhaa walioolewa na baadhi ya nyumba ndogo za wanaume kadhaa, wote wamelikiri hili. Wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie kujua sababu ili nami nikiolewa nsikutane na mwanaume mzembemzembe.pia hao waliooa wajifunze wajue mahitaji ya wake zao na maInfii wao
Rogger that....!! Balantino au Tikila hope will work for you to day!!
Wanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye kiapo anakuwa mzito sana.hasa wanaume hawa waliooa wakishikwa hamu hakuna tena maandalizi kwa wenzi wao,huishia kuwaparamia kama vile wamehesabiwa muda wa mechi.nimejaribu kuwauliza wanawake kadhaa walioolewa na baadhi ya nyumba ndogo za wanaume kadhaa, wote wamelikiri hili. Wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie kujua sababu ili nami nikiolewa nsikutane na mwanaume mzembemzembe.pia hao waliooa wajifunze wajue mahitaji ya wake zao na maInfii wao
:decision::decision:.....:confused2:
Yaani wewe mpaka unakuja kumuanzishia sredi ina maana hawajibiki, lete hapa uone kama hujamsahau huyo sharobaro.
The Finest utamfananishaje na sharobaro??? Huyo anatoa finest tu, mjaribu uone lakin anzia CPU kwanza :wink2:
:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13: Nakuja hili daladala nililopanda limeisha mafuta nimepanda jingine l.o.lMwee...unaweza ukapeperushiwa ndege wako ..:A S 13:!! Will be waiting for you Kimey....labda unaweza kunitoa outing, nimechoka na home mie...! Nimemsubiri TF hata haonekani..... LOL