Hivi ni kwanini wanawake hawapendi wanaume walio single?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu unanesa nesa, nikausindikiza kwa macho huku nikizuia shingo isirotate ili nisimkwaze mchumba wangu, muda huo mchumba wangu alikuwa busy anachat njiani

Nilishtushwa na swali, "Mbona huangalii nyashi kama wenzio?" Nikabaki nacheka tu, akamalizia kwa kusema, "Tatizo lako huna hekaheka, umepoa kama uji wa mgonjwa, nilidhani simu yako huwa unaieka Airplane Mode unapokuwa na mimi, kumbe huna wa ziada wa kukusumbua sumbua", kisha akacheka, kiutani utani tu penzi likavuja na kufa kabisa

Mtaani kwangu kuna kijana mwenzangu hatari sana unaambiwa, ananunua nyapu kuliko maelezo, cha ajabu vibinti vya Form Thrii, wakina Dazeti, majimama, mke za mtu zinamgombania kuliko kawaida. Mwenzie natoka nje na ka baibo kangu, maji ya uhai pembeni na kiredio changu chenye flash iliyosheheni ngoma za Awilo Longomba, cha ajabu kila binti ninayemuita, anaishia kusema "Seriously!" na kuondoka

Wanawake kuweni na huruma, wengine tuko single
 
Wanawake hawajui wanachokitaka.
Atavizia simu ya mume, asipoona meseji za mahawara anasonya, akiziona analiamsha. Akikuta password analianzisha.
Ukimuomba shoo anasema anaumwa tumbo, usipo omba shoo kwa wiki nzima unaambiwa una michepuko Tena wewe Ni Malaya mbwa, ukimnunulia khanga Cha kwanza anaangalia maneno yaliyoandikwa, ole wako yawe maneno ya uswahilini.
 
hadithi za kutunga za kijingajinga tu ulichoandika hapa upuuzi
Ameandika ukweli mtupu, wanawake hawapendi wanaume wapole, wanapenda sana play boys, wawaumize, wawakunje kunje na kuwatandika sometimes, hapo mwanamke anakuwa na ile feeling ya kuwa "nipo kwenye mikono salama" so ukipata limwanamke lako lifanyie hivyo, atakuelewa.
 
Njooni kwa Yesu mpumzishwe hiyo mizigo
 
Kuna mtu anayetaka kuingia kwenye maji asojuwa kina chake?

It’s psychological

Pole.
 
Wanawake hawajui wanachokitaka.
Atavizia simu ya mume, asipoona meseji za mahawara anasonya, akiziona analiamsha. Akikuta password analianzisha.
Ukimuomba shoo anasema anaumwa tumbo, usipo omba shoo kwa wiki nzima unaambiwa una michepuko Tena wewe Ni Malaya mbwa, ukimnunulia khanga Cha kwanza anaangalia maneno yaliyoandikwa, ole wako yawe maneno ya uswahilini.
🤣🤣🤣🤣🙌
 
Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu unanesa nesa, nikausindikiza kwa macho huku nikizuia shingo isirotate ili nisimkwaze mchumba wangu, muda huo mchumba wangu alikuwa busy anachat njiani

Nilishtushwa na swali, "Mbona huangalii nyashi kama wenzio?" Nikabaki nacheka tu, akamalizia kwa kusema, "Tatizo lako huna hekaheka, umepoa kama uji wa mgonjwa, nilidhani simu yako huwa unaieka Airplane Mode unapokuwa na mimi, kumbe huna wa ziada wa kukusumbua sumbua", kisha akacheka, kiutani utani tu penzi likavuja na kufa kabisa

Mtaani kwangu kuna kijana mwenzangu hatari sana unaambiwa, ananunua nyapu kuliko maelezo, cha ajabu vibinti vya Form Thrii, wakina Dazeti, majimama, mke za mtu zinamgombania kuliko kawaida. Mwenzie natoka nje na ka baibo kangu, maji ya uhai pembeni na kiredio changu chenye flash iliyosheheni ngoma za Awilo Longomba, cha ajabu kila binti ninayemuita, anaishia kusema "Seriously!" na kuondoka

Wanawake kuweni na huruma, wengine tuko single
Wewe ni zoba.
 
Hii ni kweli 💯%

Kipindi nyuma nilikuwa playboy laana mademu nikishawala nawanyanyasa na kuwatesa haswa ila wananikomalia tu, na kila niliyemtaka nilimpata na kujilia bure kabisa.

Mara nikapata u-busy fulani ulioniondoa kwenye harakati hizo miaka miwili. Sasa nipo free ila nipo single, ajabu hakuna demu anayenitaka tena, kila mmoja ananiona boya mpaka confidence yangu imeshapotea kabisa! Najua wanategeana kila mmoja anataka asikie napita na nani na nani ili waanze kunitanulia UTI zao hovyo. Na nitawatesa zaidi ya mwanzo wapuuzi hawa, we ngoja.
 
Ameandika ukweli mtupu, wanawake hawapendi wanaume wapole, wanapenda sana play boys, wawaumize, wawakunje kunje na kuwatandika sometimes, hapo mwanamke anakuwa na ile feeling ya kuwa "nipo kwenye mikono salama" so ukipata limwanamke lako lifanyie hivyo, atakuelewa.
izo nidharia za kujifariji 99% wanawake siku zote wanapenda highvalue man usije ukijifanya baddest ukadhani utawanasa
 
Back
Top Bottom