TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Hawa wanawake wa kihaya mimi wiwaelewi,yaana unamkuta mdada anang'ang'ana umuoe ,na hapo hata miezi 2 haijaisha tangu mmejuana,utadhani kuoana ni kama mchongo.
Utamsikia"Mimi nataka kuolewa,natafuta mume anioe tuishi pamoja tu basi,wewe kama vipi nichukue tuishi wote",,bladifakeni kabisa.
Wadada wanaume tunajua nani wakumuoa na kwanini huyo,ukifosi matukio yanakuhusu hapo mbele