Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 872
Wakabonwe omshaija toina tofaut no mkaz twalayo kuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie watulie, kilakitu huenda Kwa mpangilioWanataka kuweka flash yenye virus kwa computer ati😅😅
HawaelewiWaambie watulie, kilakitu huenda Kwa mpangilio
Hahahahaha w💧 🤣 umenikumbusha mbaliWahaya wanaolewa?...we piga hayo maji usepe
Fikra mgando za kaleUsirogwe kuoa mhaya ni wasumbufu sana
Hizi kashfa za kipumbavu hata kwenu ukute mama yako alishawahi megwa na binti yake pia. It's personal character sio wahaya tu😊😊😊😊😍 Hivi wahaya si ndo hawa unaweza kumega kuku na yai lake 🤔
Utakuta mtu wa kondoa anamsema muhaya [emoji23][emoji23][emoji23]Woooote.....yaaan woooote mnaokataa jamaa asioe mhaya kwa hoja za ajabu jichunguzeni makabila yenu
Hamna kabisa lisilo na watu wa hivi na vile.Nawajua wamama kibao wa kihaya wakiishi maisha ya utulivu na waume zao.
Kama ulimwendea kwa gia ya kuoa oa!
Kama ulimwendea kwa kuomba upoozwe kwa kipindi flan iyo ungeisisitiza mapema