Hivi ni kwanini wanawake wengi wa kihaya wanaforce mtu kuolewa na flani?

Hivi ni kwanini wanawake wengi wa kihaya wanaforce mtu kuolewa na flani?

Hawa wanawake wa kihaya mimi wiwaelewi,yaana unamkuta mdada anang'ang'ana umuoe ,na hapo hata miezi 2 haijaisha tangu mmejuana,utadhani kuoana ni kama mchongo.

Utamsikia"Mimi nataka kuolewa,natafuta mume anioe tuishi pamoja tu basi,wewe kama vipi nichukue tuishi wote",,bladifakeni kabisa.

Wadada wanaume tunajua nani wakumuoa na kwanini huyo,ukifosi matukio yanakuhusu hapo mbele
Sasa bro!muhaya ni level nyingine,hata kama ni choka mbaya,Wanapenda kuwa matawi ya juu,it is inborn thing,loyal blood! Ukitaka wa chapu chapu wa kuoa,fata "niangusage zambi zako"au kule Mtwara,kwa waliofanyiwa unyago,unsshika mkono tu
 
Sasa bro!muhaya ni level nyingine,hata kama ni choka mbaya,Wanapenda kuwa matawi ya juu,it is inborn thing,loyal blood! Ukitaka wa chapu chapu wa kuoa,fata "niangusage zambi zako"au kule Mtwara,kwa waliofanyiwa unyago,unsshika mkonishu analazimisha kuolewa sasa na mimi
Sasa bro!muhaya ni level nyingine,hata kama ni choka mbaya,Wanapenda kuwa matawi ya juu,it is inborn thing,loyal blood! Ukitaka wa chapu chapu wa kuoa,fata "niangusage zambi zako"au kule Mtwara,kwa waliofanyiwa unyago,unsshika mkono tu
Sasa bro!muhaya ni level nyingine,hata kama ni choka mbaya,Wanapenda kuwa matawi ya juu,it is inborn thing,loyal blood! Ukitaka wa chapu chapu wa kuoa,fata "niangusage zambi zako"au kule Mtwara,kwa waliofanyiwa unyago,unsshika mkono tu
Ishu analazimisha kuolewa na mimi sasa
 
Dah! Ahsante sana,,kwanza hata kudate ndio mara ya kwanza ila dah,

Ushasema kudate ndo mara yako ya kwanza… hao wanawake wa kihaya umewamaliza mpaka uje na hoja yako? Tabia za huyo mmoja umejumuisha kwa wote
 
Wadada wanaume tunajua nani wakumuoa na kwanini huyo,ukifosi matukio yanakuhusu hapo mbele
Hakuna lolote.
Kuna wengi wanaoa ambako hata hawakutarajia, wanabaki kujuta. Usikute huyo anayekuforce ndo mke mwema!
 
Woooote.....yaaan woooote mnaokataa jamaa asioe mhaya kwa hoja za ajabu jichunguzeni makabila yenu

Hamna kabisa lisilo na watu wa hivi na vile.Nawajua wamama kibao wa kihaya wakiishi maisha ya utulivu na waume zao.

Kama ulimwendea kwa gia ya kuoa oa!
Kama ulimwendea kwa kuomba upoozwe kwa kipindi flan iyo ungeisisitiza mapema
 
Back
Top Bottom