Hivi ni kwanini wanawake wengi wa kihaya wanaforce mtu kuolewa na flani?

Sasa bro!muhaya ni level nyingine,hata kama ni choka mbaya,Wanapenda kuwa matawi ya juu,it is inborn thing,loyal blood! Ukitaka wa chapu chapu wa kuoa,fata "niangusage zambi zako"au kule Mtwara,kwa waliofanyiwa unyago,unsshika mkono tu
 
 
Dah! Ahsante sana,,kwanza hata kudate ndio mara ya kwanza ila dah,

Ushasema kudate ndo mara yako ya kwanza… hao wanawake wa kihaya umewamaliza mpaka uje na hoja yako? Tabia za huyo mmoja umejumuisha kwa wote
 
Ushasema kudate ndo mara yako ya kwanza… hao wanawake wa kihaya umewamaliza mpaka uje na hoja yako? Tabia za huyo mmoja umejumuisha kwa wote
Kwani samaki mmoja akioza si wote wameoza
 
Wadada wanaume tunajua nani wakumuoa na kwanini huyo,ukifosi matukio yanakuhusu hapo mbele
Hakuna lolote.
Kuna wengi wanaoa ambako hata hawakutarajia, wanabaki kujuta. Usikute huyo anayekuforce ndo mke mwema!
 
Woooote.....yaaan woooote mnaokataa jamaa asioe mhaya kwa hoja za ajabu jichunguzeni makabila yenu

Hamna kabisa lisilo na watu wa hivi na vile.Nawajua wamama kibao wa kihaya wakiishi maisha ya utulivu na waume zao.

Kama ulimwendea kwa gia ya kuoa oa!
Kama ulimwendea kwa kuomba upoozwe kwa kipindi flan iyo ungeisisitiza mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…