Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,000
- 2,141
Mbona umepaniki? Kauze huo mkweche.Wabongo wengi mmebaki kwenye upumbavu wa kuendesha gari gani badala ya kuikomboa nchi yenu, gademiiit nyie ni wajinga sana aseee🤔
Kumbe, sikuwahi kufahamu hilo. Jamaa wanaboa sana barabarani.wengi n wakurya ndio wananua magar kwa kuigana na weng wao hawajui vzur kuendesha wanajkuta wajuaj kinoma
Kwa kuwa wanayapenda magari yao na wanayapa thamani,sii kama boda,tu vits na tu ist twa mikopo twa tuvijana ambao bado hatuna tumajukumu.Hawa watu huwa wanakuwa na matatizo gani? Wanazubaa hovyo barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Mpaka kuna wakati nadhani magari yao ndio mazito na mizigo maana haiwezekani kila mahali naona wanafanana tabia.
Magari ya wastaarabu watu wenye pesa zetu. Huwezi kunikuta nafanana tabia na mtu anayeendesha subaru au noah.Hawa watu huwa wanakuwa na matatizo gani? Wanazubaa hovyo barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Mpaka kuna wakati nadhani magari yao ndio mazito na mizigo maana haiwezekani kila mahali naona wanafanana tabia.
wengi n wakurya ndio wananua magar kwa kuigana na weng wao hawajui vzur kuendesha wanajkuta wajuaj kinoma
Ukiwa barabarani unataka ligi???Hawa watu huwa wanakuwa na matatizo gani? Wanazubaa hovyo barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Mpaka kuna wakati nadhani magari yao ndio mazito na mizigo maana haiwezekani kila mahali naona wanafanana tabia.
Umewahi kuona watu wanaoendesha land cruiser, Ford ranger, hilux na prado hizi mpya walivyochangamka barabara ya mbezi beach chini? Mbona hao wapo sharp na magari ni ya gharama kuliko harrier? Nao ni vijana?Kwa kuwa wanayapenda magari yao na wanayapa thamani,sii kama boda,tu vits na tu ist twa mikopo twa tuvijana ambao bado hatuna tumajukumu.
Kwahiyo ndugu unataka mambo mengine yote yasimame Watu waongelee Siasa tu, hujui kuwa gari nayo ni nyenzo kwenye kufanikisha kusudi.Wabongo wengi mmebaki kwenye upumbavu wa kuendesha gari gani badala ya kuikomboa nchi yenu, gademiiit nyie ni wajinga sana aseee🤔
Umewahi kuona watu wanaoendesha land cruiser, Ford ranger, hilux na prado hizi mpya walivyochangamka barabara ya mbezi beach chini? Mbona hao wapo sharp na magari ni ya gharama kuliko harrier? Nao ni vijana?Magari ya wastaarabu watu wenye pesa zetu. Huwezi kunikuta nafanana tabia na mtu anayeendesha subaru au noah.
Waulize ccm ambao wanataka special no kwa wabungeKwahiyo ndugu unataka mambo mengine yote yasimame Watu waongelee Siasa tu, hujui kuwa gari nayo ni nyenzo kwenye kufanikisha kusudi.
Kwa uelwa wangu mdogo, Demokrasia, ni pamoja na uhuru wa maoni, sasa hii tabia ya mtu kutoa maoni yake, juu anachowaza, au mkwaza, alafu mwingine, anakosoa eti asingeweka mada hii, alitakiwa aandike mada fulani, ni kupingi Unachokipigania bila kujua.Waulize ccm ambao wanataka special no kwa wabunge
Weka mada wewe wadau tuchangie mimi sina mda huoKwa uelwa wangu mdogo, Demokrasia, ni pamoja na uhuru wa maoni, sasa hii tabia ya mtu kutoa maoni yake, juu anachowaza, au mkwaza, alafu mwingine, anakosoa eti asingeweka mada hii, alitakiwa aandike mada fulani, ni kupingi Unachokipigania bila kujua.
Wewe umewaza Siasa ulitakiwa uweke mada wadau wachangie.
Kila mtu ameshajua mshamba ni nani hapaAcha ujinga bwashee gari sio kitu kikubwa kwangu achana na huu ujinga mara moja watu wakuone unayo akili hata kidogo , mimi nikiwa bongo natembelea gari ya tz 589 mil unayo ? Mjinga wewe?
Safi sana bilioneawaje niwauzie ford ranger zangu auto 6 speed wainjoi dunia kwanini wateseke?
Hiyo spidi haionekani huko barabarani.Harrier
Kipanga mwenye spidi na nguvu inayokupa matokeo sahihi. Weka mbali na hizo Subaru zenu heshimu Kipanga.