Hivi ni kwanini watu wanaoendesha Harrier ni wazembe na wazubavu sana barabarani?

Hivi ni kwanini watu wanaoendesha Harrier ni wazembe na wazubavu sana barabarani?

Harrier nyingi huendeshwa na akina dada au watu wa machimboni/migodini wanaopata pesa za pupa na kununua Harrier bila kuwa na uzoefu wa kuendesha.

Wasukuma wa migodini na wakulima wa mpunga ndiyo wameigana kununua Harrier kwa wingi.
 
wabongo wengi ni malimbukeni wanaendeshwa na matukio na mihemko naskia kwa sasa kuna mi hyundai CX 5 kama yote mjini na harrier inaitwa anaconda yaani wauza magari wanawabamiza kweli kweli bila huruma kabisa.
 
Back
Top Bottom