Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Tutakupoteza ohooo 😂😂 shauri yakoAu Trump anasubiri niukwae halafu apige pini madawa
Tutakupoteza ohooo 😂😂 shauri yakoAu Trump anasubiri niukwae halafu apige pini madawa
ni mazda sio HyundaiHyundai CX 5 hii gari inatengenezwa wapi?
secretarybird pata picha mrembo huyu akiwa ana drive kutoka makutano ya sam nujoma na morogoro plus nelson Mandela oyaah anakosha, mamodinyo baninyoIla wabongo, mimi ni mmoja namiliki hiyo gari, nachotaka kukwambia umekurupuka. Mimi huwa sipendi kuremba barabarani, gari aina nyingi watu huendesha taratibu. Wengine huwa wana maongezi na simu, mtu/watu aliokuwa nao kwenye gari ndiyo waleta foleni hawa.
Wengine ni hulka zao kuendesha taratibu. Kuchagua gari la aina moja tena lenye mbio hapo una chuki zako na aina ya gari. Kwahiyo hizi foleni huletwa na Harrier tu? Acha mambo yako wewe
Hahaha 😂, ni ngori mkuusecretarybird pata picha mrembo huyu akiwa ana drive kutoka makutano ya sam nujoma na morogoro plus nelson Mandela oyaah anakosha, mamodinyo baninyo
Naunga mkono hoja,...Magari ya wastaarabu watu wenye pesa zetu. Huwezi kunikuta nafanana tabia na mtu anayeendesha subaru au noah.
Hapana chezea CX5wabongo wengi ni malimbukeni wanaendeshwa na matukio na mihemko naskia kwa sasa kuna mi hyundai CX 5 kama yote mjini na harrier inaitwa anaconda yaani wauza magari wanawabamiza kweli kweli bila huruma kabisa.
Duuh mzee ongeza ndoto.Harrier Gari ya ndoto yangu.
Na Mimi naunga Mkono tena Watuache.Naunga mkono hoja,...
KabisaaNa Mimi naunga Mkono tena Watuache.
Ww unadhani wenye Gwagon walianza kwa kuota niniDuuh mzee ongeza ndoto.
Hizi mazda CX5 nikikuwa nasoma comment za customers wengi wana sema zina tabia ya zile gari zinazowakaga moto hovyo hovyo.Hapana chezea CX5
Usijali.Duuh mzee ongeza ndoto.
Hahahahah Korea mkuu.Hyundai CX 5 hii gari inatengenezwa wapi?
Hahah sawa mkuu wangu.Huyu alinikuta nimekunywa mapombe nikamzingua tu
Zifatilie vzr hao itakuwa wale wadandiaji wa story...Hizi mazda CX5 nikikuwa nasoma comment za customers wengi wana sema zina tabia ya zile gari zinazowakaga moto hovyo hovyo.
Kwasasa hana gari, angeanza kuiotq passo kama unataka afate hatua.Ww unadhani wenye Gwagon walianza kwa kuota nini
Wanauwezo hadi wa kuchagua gari la kuendesha unataka waikomboe nchi ili waendeshe baiskeli?Wabongo wengi mmebaki kwenye upumbavu wa kuendesha gari gani badala ya kuikomboa nchi yenu, gademiiit nyie ni wajinga sana aseee🤔
Ukisikia kuikomboa wewe unafikiri ni kufanyaje?Wanauwezo hadi wa kuchagua gari la kuendesha unataka waikomboe nchi ili waendeshe baiskeli?
Mimi mwenyewe mgeni mtaa huu…we nenda kalikomboe taifa , mitsun chakrabot au komando kipensiUkisikia kuikomboa wewe unafikiri ni kufanyaje?