min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Huo mda sina mkuu kila mtu ale alipoipeleka mbogaMimi mwenyewe mgeni mtaa huu…we nenda kalikomboe taifa , mitsun chakrabot au komando kipensi
Huo mda sina mkuu kila mtu ale alipoipeleka mbogaMimi mwenyewe mgeni mtaa huu…we nenda kalikomboe taifa , mitsun chakrabot au komando kipensi
Umeona eeKwasasa hana gari, angeanza kuiotq passo kama unataka afate hatua.
Inaonekana umenunua gari kubwa baada ya kuuza Harrier yako. Siku hizi una gari gani, Prado?Hawa watu huwa wanakuwa na matatizo gani? Wanazubaa hovyo barabarani na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Mpaka kuna wakati nadhani magari yao ndio mazito na mizigo maana haiwezekani kila mahali naona wanafanana tabia.
Endelea kusoma na ukiikuta inawaka moto sehemu ipige picha uilete hapa uni tag. Nina namba D. Mbona haijawaka moto na long trip za Dar-Arusha, Dar-Dom, Dar-Mufindi nakanyaka bila presha na hazipungui 20 mpaka sasa.Hizi mazda CX5 nikikuwa nasoma comment za customers wengi wana sema zina tabia ya zile gari zinazowakaga moto hovyo hovyo.