Hivi ni kwanini watu wanaoendesha Harrier ni wazembe na wazubavu sana barabarani?

secretarybird pata picha mrembo huyu akiwa ana drive kutoka makutano ya sam nujoma na morogoro plus nelson Mandela oyaah anakosha, mamodinyo baninyo
 
Hizi mazda CX5 nikikuwa nasoma comment za customers wengi wana sema zina tabia ya zile gari zinazowakaga moto hovyo hovyo.
Zifatilie vzr hao itakuwa wale wadandiaji wa story...
Gari tamu sana very comfortable...
 
Reactions: JMF
Unawahi wapi mzee, utapiga chin buree, usiwe na harak barabarani.
 
Wabongo wengi mmebaki kwenye upumbavu wa kuendesha gari gani badala ya kuikomboa nchi yenu, gademiiit nyie ni wajinga sana aseee๐Ÿค”
Wanauwezo hadi wa kuchagua gari la kuendesha unataka waikomboe nchi ili waendeshe baiskeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ