Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Katiba ya Zanzibar Rais lazima awe mzanzibari, na kwa bahati njema zanzibar Mungu amewalinda kuwa Wazanzibar wakiristo., huyo alopo saiv ni pandikizi kutoka Tanganyika ingawa amejivisha uislamu lakini wenyewe wazanzibar wanajuwa yote yaliyotokea
 
Alikuja mtikila alitoa darasa la kutosha hatukumuelewa,Itachua mda kuelewa Nini uwepo wa Tanganyika.
 
Yaani kutokana na idadi ya Wakristo vs Waislam probality ya Wakristo kuwa Rais ni 0.001%
 
Wasukuma mpooooooo????
 
Tatizo Tanganyika imesahaulika.
 
kwahiyo unakusudia kusema kuwa Tangnyika ni taifa ka wagalatia ama?
 
Nyuzi za kingese ngese cku hizi ndio zimejaa ZANZIBAR inawauma Sana lkn hamuwezi nyinyi M60 mnavikamia visiwa vyenye 1.8M natoka Baba zenu mpk Leo hamjaviweza na hamtaviweza na UKOLONI MWEUSI UNAENDA ONDOKA HIVI PUNDE
 
Nyuzi za kingese ngese cku hizi ndio zimejaa ZANZIBAR inawauma Sana lkn hamuwezi nyinyi M60 mnavikamia visiwa vyenye 1.8M natoka Baba zenu mpk Leo hamjaviweza na hamtaviweza na UKOLONI MWEUSI UNAENDA ONDOKA HIVI PUNDE
Tutawatawala siku moja kwa jina la Yesu christo na tutawabatiza kwa moto.
 
Zanzibar ikitamka jina la Kikristo tu wanakunja sura na kuuliza jina gani tena hili? Jina hilo linakatwa hapo hapo. Wana chuki na wakristo wa Tanzania tu lakini, nafuu angekuwa Mkenya au Malawi. Mtanzania mwenzao hapana.

Ndio maana hata wachezaji wa mpira ni afadhali wachukue Nigeria, au Madaktari na Manesi Kenya sio Tanzania bara.
 
Hawa watu sisi huku bara tunawapa heshima wasio stahili
 
Haya mambo kuna siku yatafikia TAMATI.

Hata wao walioshuhudia huu ukakasi ukitengenezwa wanakaribia kupotea siasani
 
Haya mambo kuna siku yatafikia TAMATI.

Hata wao walioshuhudia huu ukakasi ukitengenezwa wanakaribia kupotea siasani
Mtu wa bara amekuwa akiubeba huu muungano kwa mbereko na kwa maombi ya mara kwa mara kwa Zanzibar wakati muungano huu ni mkataba.Inatakiwa Zanzibar itawaliwe na mkristo
 
Ili uwe rais wa Zanzibar ni lazima uwe Mzanzibari. Asilimia zaidi ya 95 ya wazanzibari ni Waislamu. Sasa uwezekano wa kupata Mkristo awe rais ni asilimia ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…