Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
- Thread starter
- #181
wale wazee wametucheza vibayaNchi iliyoungana na Zanzibar kufanya Tanzania iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wale wazee wametucheza vibayaNchi iliyoungana na Zanzibar kufanya Tanzania iko wapi?
Tunataka mkristo atawe kile kisiwa anyooshe mapitoHuo ni ukweli, hata makanisa huenda hayatakiwi. Hakika siku ukiona baba mtakatifu Mwafrika na kiongozi Mkristu atasimikwa visiwani.
Katiba ya Zanzibar Rais lazima awe mzanzibari, na kwa bahati njema zanzibar Mungu amewalinda kuwa Wazanzibar wakiristo., huyo alopo saiv ni pandikizi kutoka Tanganyika ingawa amejivisha uislamu lakini wenyewe wazanzibar wanajuwa yote yaliyotokeaHapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Yaani kutokana na idadi ya Wakristo vs Waislam probality ya Wakristo kuwa Rais ni 0.001%Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Wasukuma mpooooooo????Hapo vip!

Usihamishe mada.Subiri mwaka 2040! mkristo mzanzibari atatawala na makamu muislam atatoka huku!!! inawezekana nikawa hata Mimi,nani ajuae mipango ya Mungu!!?
Iringa nayo haijawahi toa waziri mkuu,nasubiri KWA hamu sana!!
Tusubiri!!
Tatizo Tanganyika imesahaulika.Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Tuna mtaka mkristo awashe mwanga zanzibarUsihamishe mada.
Nyuzi za kingese ngese cku hizi ndio zimejaa ZANZIBAR inawauma Sana lkn hamuwezi nyinyi M60 mnavikamia visiwa vyenye 1.8M natoka Baba zenu mpk Leo hamjaviweza na hamtaviweza na UKOLONI MWEUSI UNAENDA ONDOKA HIVI PUNDEHapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Zanzibar inakiu ya kutawaliwa na rais mkristo ili aweze kunyoosha mapito na kuwasha mwanga.
Tutawatawala siku moja kwa jina la Yesu christo na tutawabatiza kwa moto.Nyuzi za kingese ngese cku hizi ndio zimejaa ZANZIBAR inawauma Sana lkn hamuwezi nyinyi M60 mnavikamia visiwa vyenye 1.8M natoka Baba zenu mpk Leo hamjaviweza na hamtaviweza na UKOLONI MWEUSI UNAENDA ONDOKA HIVI PUNDE
Zanzibar ikitamka jina la Kikristo tu wanakunja sura na kuuliza jina gani tena hili? Jina hilo linakatwa hapo hapo. Wana chuki na wakristo wa Tanzania tu lakini, nafuu angekuwa Mkenya au Malawi. Mtanzania mwenzao hapana.Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Zanzibar inakiu ya kutawaliwa na rais mkristo ili aweze kunyoosha mapito na kuwasha mwanga.
Hawa watu sisi huku bara tunawapa heshima wasio stahiliZanzibar ikitamka jina la Kikristo tu wanakunja sura na kuuliza jina gani tena hili? Jina hilo linakatwa hapo hapo. Wana chuki na wakristo wa Tanzania tu lakini, nafuu angekuwa Mkenya au Malawi. Mtanzania mwenzao hapana.
Ndio maana hata wachezaji wa mpira ni afadhali wachukue Nigeria, au Madaktari na Manesi Kenya sio Tanzania bara.
Mtu wa bara amekuwa akiubeba huu muungano kwa mbereko na kwa maombi ya mara kwa mara kwa Zanzibar wakati muungano huu ni mkataba.Inatakiwa Zanzibar itawaliwe na mkristoHaya mambo kuna siku yatafikia TAMATI.
Hata wao walioshuhudia huu ukakasi ukitengenezwa wanakaribia kupotea siasani