Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
- Thread starter
-
- #21
Your a idiot of the highest level..instead of address the question specifically...you bring your Ass to us..i don't use itNenda shule ili walau ujue kuwa Kuna tofauti ya Tanganyika,Zanzibar na Tanzania,na kwamba mtanganyika hawezi kuwa rais Zanzibar,pia kwamba watanganyika walishaua nchi ya Tanganyika,na kwamba Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar...mbuzi kasoro manyoya!!
Sema hata Makamu tu wa Rais Mkristo, hatokuja kutokea katika historia ya hivyo Visiwa!Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Zanzibar ni nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, ni mgombea gani mkristo aliwahi kugombea kupitia chama chochote akanyimwa urais kisa dini yake?Hii inatoa tafsiri kwamba bila kuwa mfuasi wa dini ya mnyaazi hawa watu wanakuona hufai kuwaongoza.
Embu funga kidogo bhnaAibu naona mimi wakuu...aibu ndogo ndogo hizi
Ulienda kila ugombea ukakataliwa? Nenda mwaka wa uchaguzi ukikaribia ukavute fomuHapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Jibu safisana tena wanao mchagua Rais wa Zanzibar pale Dodoma robo tatu ni wakiristoRais wa Zanzibar anachaguliwa dodoma, kwahiyo waulize wanao chagua vip kila wanae mchagua ni muislamu?
Kwani umeambiwa Zanzibar ni parokia?Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinacho nishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi,kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais mkristo kutoka bara akatawa zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Hukufundishwa 'an onion, an aeroplane..' darasa la tatu!?.. yaani umeandika kiingereza nijue umepita shule!?..well ulienda kunywa kamasi tu shule, kiingereza kichafu!!..hata ndani ya jibu langu hukuona jawabu la issue yakoYour a idiot of the highest level..instead of address the question specifically...you bring your Ass to us..i don't use it
Akawaulize wenzake wanao mchagua rais wa Zanzibar kisha kuwahadaa wazanzibari kumpigia kura tena wanao mchagua pale Dodoma robo 3 ni wakiristo wenzio kawaulize hilo swaliSwali lako halijibiki
Ajaye Atakuwa MgalatiaRais wa Zanzibar anachaguliwa dodoma, kwahiyo waulize wanao chagua vip kila wanae mchagua ni muislamu?
Wewe unaweseka bule rais wa Zanzibar achaguliwi na wazanzibari bali uchaguliwa na wana ccm pale dom robo 3 yao ni wakiristo wenzio nenda kawaulizeSema hata Makamu tu wa Rais Mkristo, hatokuja kutokea katika historia ya hivyo Visiwa!
Huko siku zote viongozi wa ngazi zote za juu, watakuwa ni wa mlengo ule ule.
Kwani Rais wa Zanzibar anapatikana je mfano mtoto wa Mwinyi?Ujanja mwingi mbele giza.
Nyerere aliiuza Tanganyika kwa Wazanzibar kwa bei rais sana.
Leo hii it is possible Mzanzibari atawale Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano, ila Wazanzibari mambo yao wametaweka kibindoni, ni marufuku Mtanganyika kuweka pua!
Kikwete alitoka Zanzibar? Tatizo nyuma yake umeficha chuki, haya wewe kabwela akitawala mkiristo Zanzibar unapata nini?Kwani umeambiwa Zanzibar ni parokia?
Maskini hata hujui usemalo. Upupu uliomwaga hapa wala auhusiani na hojaKikwete alitoka Zanzibar? tatizo nyuma yake umeficha chuki,haya wewe kabwela akitawala mkiristo Zanzibar unapata nn?