WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ukweli ndiyo huo Zanzibar ni Islamic State.Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Kagombee utolewe kinyeo na Hawa 👇👇
View attachment 2475225
Yaani Wazanzibari ni wabaguzi ukienda kwao wewe Mkristo ni kafir ila wao wakija kwa makafir jamani tudumishe umoja na mshikamano sisi sote ni ndugu.Kagombee utolewe kinyeo na Hawa 👇👇
View attachment 2475225
Anayeutaka URais huwa anaomba kwanza ateuliwe kwa kupigiwa kura na wajumbe wa chama chake !! Kama akishindwa kwenye hizo kura atawezaje kuteuliwa kugombea URais ?!Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Duh !Rais wa Zanzibar anachaguliwa Dodoma, kwahiyo waulize wanao chagua vip kila wanae mchagua ni Muislam?
Asante kwa jibu zuri, la wazi na la uhakika. Wanachagua ni waislmu kwani ndio walioko huko.Ashakum si matusi kajaribu kugombea
Ndio maana chadema tumeamua, tukishika nchi, hata mtu wa Meatu, anaweza kuwa Rais wa Zanzibar 😂😂🤭Asante kwa jibu zuri, la wazi na la uhakika. Wanachagua ni waislmu kwani ndio walioko huko.
Naskia hata waamuni wa kristo wanavamiwa vamiwa ovyo..au asubuhi mchungaji akiamka anakuta kanisa limegeuzwa msikini..wanahitaji elimu hawa watu.Achana na Rais mkristo hata diwani mkristo hakuna
Ni kweli anachaguliwa dodoma lakini ,majina hutoka ZanzibarRais wa Zanzibar anachaguliwa Dodoma, kwahiyo waulize wanao chagua vip kila wanae mchagua ni Muislam?
Hata Tanzania haijawahi kutawaliwa na mtu kutoka kaskazini wala muumini wa KKKTHapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote anahaki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza kutokea Zanzibar au akawa muislamu mfani Mwinyi, Kikwete na Samia (Tanganyika)
Lakini hajawahi kutoka Rais Mkristo kutoka bara akatawala Zanzibar au Zanzibar serikali yake ni ya kidini?
Ipo siku..is just a matter of time.Hata Tanzania haijawahi kutawaliwa na mtu kutoka kaskazini wala muumini wa KKKT
Just keep dreamingIpo siku..is just a matter of time.
Dawa yao ipoYaani Wazanzibari ni wabaguzi ukienda kwao wewe Mkristo ni kafir ila wao wakija kwa makafir jamani tudumishe umoja na mshikamano sisi sote ni ndugu.
dawa yao alikufa ameing'ang'ania Nyerere baba wa taifa.Dawa yao ipo
Sio kweli hakuna Mzanzibar anaeweza kumpendekeza Mwinyi , kila kitu kinaanzia dodoma na kumalizwa dodomaNi kweli anachaguliwa dodoma lakini ,majina hutoka Zanzibar
Tutaifufua baada ya muda mfupi sana !Zanzibar, na Tanganyika, ila Jamhuri ya Tanganyika imezikwa rasmi.