Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Marais wanahubiri dini?
 
Bali Ali Hassan Mwinyi hakuwahi kuchaguliwa na Wazanzibar , alipachikwa tu na Nyerere , tena kwa vikao vya Dodoma
Usisahau pia kuwa CCM haikuwahi shinda uchaguzi wowote znz tangu uhuru.
 
Hawahawa manamba wa kiha kutoka Kigoma na Burundi wanajiita waarabu wa Oman?Hell nooo!It's purely fake news!
Huwa mimi wazanzibari na waona kama ni waafrika wanaokana asili yao kwa kuleweshwa dini ya kiharabu..Na infact hata hao waarabu hawawapendi hawa jamaa ila wazenchi wanajipendekeza kwa nguvu..mfano tu kwenye kombe la Dunia juzi Morocco ilipotinga nusu fainali wakasema huo ushindi ni kwa waarabu wote.Sasa hawa wazanzibari ni weusi sijui ni waarabu wa wap?Ignorance inawazalilisha waafrika sana.
 
Hukufundishwa 'an onion, an aeroplane..' darasa la tatu!?.. yaani umeandika kiingereza nijue umepita shule!?..well ulienda kunywa kamasi tu shule, kiingereza kichafu!!..hata ndani ya jibu langu hukuona jawabu la issue yako
Du hivi hajui kimatumbi ? Maandishi yamemvua gauni kabaki uchi. Naunga mkono kama kamasi alizishiba
 
Lengo la nyerere ilikuwa ni kuwa Serikali moja tu alikuwa kamaliza Tanganyika akawa yupo mbioni kumaliza ya Zanzibar ili kusiwe na baraza la wawakilishi kuwe na bunge moja Serikali moja, karume akamgeuka ndipo wenye Nchi yao wakafanya yao lakini ikashindikana Zanzibar kumezwa na bara hadi sasa wao ni wajanja kuliko Tanganyika kwani cha Zanzibar ni chao wenyewe mfano bunge lao SERIKALI yao Bendera yao na vikosi vyao vya akina KMKM na vinginevyo, Cha Tanganyika bara ni cha wote ndiyo maana wabunge wa Zanzibar huingia Bungeni Dodoma, lakini wabunge wa Tanganyika ni marufuku kukanyaga Bunge la Wakilisha Zanzibar, mpaka sasa matokeo ni Zanzibar 3 -0 Tanganyika, wanaendelea kufaidi matunda ya muungano kuliko Tanganyika
 
Zanzibar wamekuwa wajanja zaidi wao misaada tokea nje hubunya wenyewe lakini misaada ya Tanganyika hugawana na Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…