Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Zanzibar wamekuwa wajanja zaidi wao misaada tokea nje hubunya wenyewe lakini misaada ya Tanganyika hugawana na Zanzibar
Na tunakopa wote na kugawana kilichokopwa,

Bt ktk malipo analipa MUME Eti sababu ndo mwenye nyumba.
 
Acheni kulazimisha mambo..kuna watanzania wengu wamezaliwa mikoa tofauti na mikoa yao ila msukuma utabaki kuwa na asili ya mwanza ata azaliwe nairobi
 
Acha udini ndg yangu. Lakini acha kichekesho Cha karne, kuwa mtu atoke bara aende kuwa Rais wa Zanzibar? Watu wanaotoka Zanzibar wanakuwa Marais wa serikali ya Jamhuri ya Muungano. Ikumbukwe tuna serikali mbili, ko hata udiwani huwezi kwenda Zanzibar ukaupata maana utatakiwa kuwa na kitambulisho cha mzanzibar mkazi.
 
zanzibar ni mamlaka kamili ndo maana katiba ni muhimu ili kuuondoa utata huo.vinginevyo tutaumiza vichwa bila kupata majibu.maswala hayo yote yatajibiwa na katiba mpya tu.
 
Kama wewe ni mwanademokrasia, wengi wape, Zanzibar wengi ni Waislamu. Uwezekano wa mkristu kuwa kiongozi ni mdogo. Tuwaulize wale wa "probability".
 
Kama wewe ni mwanademokrasia, wengi wape, Zanzibar wengi ni Waislamu. Uwezekano wa mkristu kuwa kiongozi ni mdogo. Tuwaulize wale wa "probability".
Kwa hoja yako hii..basi huku bara asitawale Muslamu kwasababu wakristo tupo wengi sana
 
Kwahiyo magufuli na mkapa hawakutawala hadi znz? Waulize kama waznz hawakumpigia kura
 
Hii hoja haina mashiko..mbona huku bara wakristo ni wengi na hatuwezi kumkosa rahisi..mbona kwa kuheahimu muungano tunawatoa marais kutoka huko mfano Mwinyi na samia
Sensa ipi iayosema wakristo ni wengi huku bara?
 
Muungano unamipaka yake sio kila mtu anaweza kugombea


Coz Zanzibar inakatiba yake pia


Unasema kuhusu kugombea katiba ya Zanzibar hairuhusu mtu yeyote kununu ardi isipokuwa Mzanzibari tu
 
Acha ubaguzi, haijawahi kutokea siku akachaguliwa mkristo akakataliwa. Ni kwamba tu hajawahi kutokea mgombea wa kikristo Zanzibar alie wahi kupita. Ila akitokea atachaguliwa na ataongoza
 
Acha ubaguzi, haijawahi kutokea siku akachaguliwa mkristo akakataliwa. Ni kwamba tu hajawahi kutokea mgombea wa kikristo Zanzibar alie wahi kupita. Ila akitokea atachaguliwa na ataongoza
Kamati imteuwe akakataliwe..si kuna wanzazibari wakristo..
 
Ile ni serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Swali ni je wewe mzaliwa wa Moshi au mzaliwa wa manyoni unahusika vipi kwenye mapinduzi ya Zanzibar, kuna mtu yeyote wa ukoo wenu mwenye asili ya Zanzibar?
Tena mapinduzi matukufu.
 
Population ya kule asilimia 95 ni Waislam so hata viongozi wataopatikana ni kutoka katika asilimia hizo tu.
Wizara ya Ujenzi na Uchukukuzi sio ya Muungano lakini
1. Waziri wa Ujenzi ni Mzanzibar
2.Katibu Mkuu Ujenzi- Mzanzibar

mbona hatulalalamiki
 
Huku bara idadi ya Wakristu na Waislamu tofauti yao sio kubwa kama Zanzibar hivyo bara anatawala kiongozi mwenye maono hatuangalii dini.
 
Ukimuona Mkristi Zb basi ujue ni wa kuja sio mzawa,, hvyo hawezi kupewa hyo dhamana.. sidhani kama kwenye bala lao la mawazir Kuna Mkisto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…