Hivi ni kweli alama za viganja vya mtoto ni lazima zifanane na za baba yake

Hivi ni kweli alama za viganja vya mtoto ni lazima zifanane na za baba yake

Kuna mahali umetokea ugomvi kisa alama za viganja vya mtoto havifanani na baba ake.
Je, kuna ukweli wowote wa hilo jambo?
Ni imani tu hizo mkuu.

Ni sawa na wengine kudhani eti watoto lazima wafanane kundi la damu na baba yao.

Kuhusu alama, waweza kufanana ama wasifanane, kwa sababu mtoto hukata kote kote, kwa ubabani na kwa umamani.
 
Hizo ni nadharia petevu za akina Plato na Socrates na Aristotle
 
Kuna mahali umetokea ugomvi kisa alama za viganja vya mtoto havifanani na baba ake.
Je, kuna ukweli wowote wa hilo jambo?
Si kweli. Kama unesoma genetics hilo ndio ninsuala la urithi mtoto akirithi sinlazima acopy exactly mama ama baba so kuna bi element anaweza chukua bilivyojificha kwa kati ya wazazi wawili . Jifunze crossing za genetics
 
Hahahah endelea kupewa moyo kagua na vingine kama utakuta mnapea hapo sawa ingawa genetic inheritance inabebeba kote kote ila kuna vitu kwa asilimia kubwa mtapea kama alama za vidole ingawa mnaweza msifanane
 
Sio viganja tu mpaka sura mtoto lazima afanane na baba take kwa 80 nje ya hapo unakuwa umepigwa
 
Ni imani tu hizo mkuu.

Ni sawa na wengine kudhani eti watoto lazima wafanane kundi la damu na baba yao.

Kuhusu alama, waweza kufanana ama wasifanane, kwa sababu mtoto hukata kote kote, kwa ubabani na kwa umamani.
Mtoto lazima awe na kundi la baba au mama au linalofanania mfano mama O baba O mtoto nae atakua O kwa ninavyojua Mimi lkn ngoja wajuz Zaid waje
 
Back
Top Bottom