Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ni kweli kabisaa, sisi kwetu kwenye viganja tuna herufi M km baba yetu, na watoto wengine waliozaliwa kwa mama mwingine wote wana hiyo alama kasoro mmoja na yy yupo tofauti kabisa na sisi..!! Na cha kushangaza kaka yetu watoto zake wana hiyo alama pia.