mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Looh sa itakwaje?😬😬Jibu unalo tayari haujakosea.
Mtu anayekupenda, hata awe Busy kiasi gani lazima atakuwa na muda nawe.Acha kulazimisha upendo, pendo la kweli huwa na natural flow.Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi.
daah ngachoka mieTafuta pesa usimpe moyo, over
sawa mkuu ntafata huu ushauri wako mujarabh,kaa chini vuta bangi zako fanya maisha yako
🤔kwaiyo budda inaezekana sipendwi yani mi ndo nafosi?Mtu anayekupenda, hata awe Busy kiasi gani lazima atakuwa na muda nawe
Ndiyo mkuu una fosi uombwe pesa.[emoji848]kwaiyo budda inaezekana sipendwi yani mi ndo nafosi?
Looh salaleh na afazali zingekuwepo sasa izo ela zenyewe
HahahaMi nakushauri usimtafute yeye! We tafuta akili maana ndo tatizo lako lililopo
Naukipata hela usi itafute, nayenyewe iki kutafuta iambie uko busy.Wakuu Umuofia,
Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho.
Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi.
Sasa nimerudi humu Jf kuwalilia wakuu wangu. Najua humu kuna mafataki wazoefu wa sasa na wastaafu/ma Mr. luv/ makungwi wabobevu/ mafuska wa sasa na wenzao wastaafu/ mashangingi vijogoo wakushauri kitu.
Hivi wakuu hiki kisingizio cha ubize cha hii pisi kina ukweli au ndo nikatafute hela kwanza?
imekaa vizuriNaukipata hela usi itafute, nayenyewe iki kutafuta iambie uko busy.