kwahiyo unataka kusema sehemu ile ilipokuwa Islamic center ilikuwa na majengo yoote ya ikulu! Au ocean Road hospital ilipokuwa chini ya Ssewahaji ilikuwa na majengo yoote kama yalivyo sasa! Wacha udini mshikaji!
haliwezi kurudi mzee mkawadai Wajerumani! Kama ardhi mlipewa Mnazi mmoja na Nyerere mkampa Msomali kujenga supermarket!
We jamaa sijui unatumia nini kufikiria [emoji848]
Yani eneo liwe la waislam au wakristo,
Hata kuwe na miti mingii au jangwa tuu,
Yani kusiwe na chochote akaja muislam au mkriato tena akaanza ujenzi na kujimilikisha eneo,
Hainadirishi chochote kuwa eneo sio lake,
Ikifika hatua mwenye eneo (yule mmiliki halali wa kwanza anatakiwa apewe eneo lake)
Hatutaangalia kulikuwa na nini na hakukuwa na nini,
Atamilikishwa na vyote vilivyopo,
Pia kwa mida ambao mwenye eneo hakuwa akilimiliki mpaka sasa ukisema wapige hesabu za ukodishwaji unaweza kukuta hiyo ikulu haina thamani tena na wanapaswa kulipa pesa zaidi,
Kwahiyo kwenye haya tuache tuu yapite,
Na tusiombe kabisa vuguvugu la madai lisitokee maana hali inaweza kuwa mbaya sana kuliko tunavyodhani,
Kwasababu kwa ufatiliaji wangu mdogo tuu nilionao nimegundua kuna mali nyingi sana za waislam zilitaifishwa na kumilikiwa hasa na serikali,
Za wakristo pia zipo lakini bahati nzuri nyingi na muhimu zilirudishwa muda mrefu tuu,
Sasa hapa cha kuomba ni kilakitu kiendelee kama kilivyo tukianza tena kugombaniana Muhimbili mara ikulu nadhani itakuwa shida sana,
Maeneo mengi pia hapo kabla yalikuwa ni vyuo vichache vya waislamu kule Songea badae vyuo vikafa ghafra mara zikaibuka kuwa ofisi za chama fulani,
Kwahyo unaweza kukuta ndani kwa ndani kunamwngi sana ambayo hatuyajui kwahyo tushukuru Mungu kwa tulichonacho tusonge mbele [emoji120][emoji1241][emoji1241][emoji1241]