Hivi ni kweli ile Ikulu ya Dar Magogoni ulikuwa msikiti zama hizo?

Mzee wangu nayasadiki uyasemayo japo umeninukuu tofauti, niliposema mwamba ngozi sikumaanisha kujikweza maana yangu ilikuwa nzuri tu ni kwamba kama historia iliandikwa na mkristo au kwa influence ya mzungu ni ngumu kuwataja waislamu especially pale walipoplay important roles, the same apply kama ingeandikwa na muislamu na mashaka kama wangemtaja mkristo katika umuhimu wake.

Kuhusu 'neutrallity' yangu sikupingi ni kweli natoka familia ya kikristo ila baada ya kuchimbua historia za kale zaidi na kufanikiwa kujua origin of those religious and why they were made, ninamaanisha ninaposema si mfuasi wa dini yoyote, ninafuata kile kilichasababisha dini kuwako yaani maisha ya kiroho.
Smart...
Itashangaza yeyote aandikae historia ya TANU asimtaje Abdul Sykes.

Ikatokea hivyo kanuia kufanya hilo.
 
Kwa hiyo unataka kusema jengo lile lote la Ikulu lilikuwepo tayari? Wacha upuuzi haukuwa msikiti bali ofisi Islamic propagation center na haikuwa vile kama ilivyo leo! Upanuzi mkubwa ulifanywa.
Katika ule utaratibu wa kuzirudishia tasisi za dini Mali zao zilizotaifishwa,basi waislam nao warudishiwe ikulu ya magogoni
 
kwani Waislam hamjapewa chuo cha Tanesco Morogoro? Hivi unajua shule za Tambaza na Zanaki zilikuwa pia za kidini? wacheni upuuzi! Mkawadai Wakoloni!
 
Chuo Cha morogoro siyo Cha waislam, waislam wanataka ikulu na hospital ya ocean road,Mali zao
 
Ni kweli,hadi leo pale Ikulu mlangoni kuna maandishi ya sura moja wapo za Quran, infact ilikua ni chuo cha mafunzo ya dini,taasisi kubwa ya dini. Eneo lile lilikua likimilikiwa na familia ya Mzee Tambaza,alimiliki eneo kubwa sana kuanzia Upanga mpaka posta baharini.

Naomba kuambatanisha na ushahidi wa video ambapo hadi leo upo pale Ikulu.
View attachment 2629211
View attachment 2629208
Kwa nini mzee Tambaza hapewi heshima yake?
 
kwani Waislam hamjapewa chuo cha Tanesco Morogoro? Hivi unajua shule za Tambaza na Zanaki zilikuwa pia za kidini? wacheni upuuzi! Mkawadai Wakoloni!
Kama ilivyokuwa Forodhani Seco. Ikarudishwa kwa wakatoliki chini ya awamu ya tatu......

Tusiwabeze Waislam wana sehemu yao kubwa katik historia ya uhuru wanchi hii
 
Namaanisha haikua Mali ya waislam Kama mazengo sekondari na waanglican,Ila ikulu na ocean road ni Mali za waislam Kama mazengo ilivyo kwa waanglican,hivyo waislam warudishiwe Mali zao Kama waanglican walivyorudishiwa shule yao na kufanya chuo kikuu
kwahiyo unataka kusema sehemu ile ilipokuwa Islamic center ilikuwa na majengo yoote ya ikulu! Au ocean Road hospital ilipokuwa chini ya Ssewahaji ilikuwa na majengo yoote kama yalivyo sasa! Wacha udini mshikaji!
 
Eneo la waislam,haijalishi palikua na majengo yote au laa..hakuna udini hapa,wadini ni wale walioamua kuzirejeshea baadhi ya taasisi za dini Mali zao na kukalia za dini nyingine
 
haliwezi kurudi mzee mkawadai Wajerumani! Kama ardhi mlipewa Mnazi mmoja na Nyerere mkampa Msomali kujenga supermarket!
 
Eneo la waislam? Ok sequence ya umiliki iko hivi....
Mzee tambaza ndiye waislam? Akamuuzia mwarabu eneo lake, Mwarabu ndiye waislam?
Mwarabu akamuuzia mjerumani au Mjerumani akalichukua eneo hilo kinguvu, mjerumani ndiye waislam?

Unapatikana uhuru, taifa Jipya linaanza, taifa linafikisha zaidi ya miaka 60.
Anaibuka ustadh kutoka tabora anasema eneo ni la waislam, how?
Mnachekesha mjue, kwanini mnapenda kutambuana kwa dini?
Ni sawa na mtu kusema ITV ni ya wakristo kwakuwa tu Mengi alikuwa mkristo, atakuwa ni mjinga.
 
Ardhi aloyotoa Nyerere siyo ikulu na ocean road zilipokua Mali zetu,mbona Mali za kanisa zimerudi,hawakupewa pori wafyeke wajenge!?
 
Eneo la waislam? Ok sequence ya umiliki iko hivi....
Mzee tambaza ndiye waislam? Akamuuzia mwarabu eneo lake, Mwarabu ndiye waislam?
Mwarabu akamuuzia mjerumani au Mjerumani akalichukua eneo hilo kinguvu, mjerumani ndiye waislam?

Unapatikana uhuru, taifa Jipya linaanza, taifa linafikisha zaidi ya miaka 60.
Anaibuka ustadh kutoka tabora anasema eneo ni la waislam, how?
Mnachekesha mjue, kwanini mnapenda kutambuana kwa dini?
Ni sawa na mtu kusema ITV ni ya wakristo kwakuwa tu Mengi alikuwa mkristo, atakuwa ni mjinga.
Pale palikua shule(madrasa) na msikiti, waislam huwa hawamiliki misikiti,ni Mali ya waislam,hizo sequence zako peleka kwa padre muelezee akikupaka mafuta
 
Chuo Cha morogoro siyo Cha waislam, waislam wanataka ikulu na hospital ya ocean road,Mali zao
Nina kawaida ya kuweka jina kisha nachangia.
Jina lililopo hapa halipendezi kwani ni matusi.

Waislam hawajadai chochote.
Waislam wanaeleza historia yao.

Kuhusu MUM inahitaji ujue historia ya EAMWS na mpango wake wa kujenga chuo kikuu mwaka wa 1968.

Chuo hakukujengwa kwa sababu serikali ilivunja taasisi hiyo ikaunda BAKWATA.

Hii ni katika historia nyeti kabisa ambayo watu wenye busara wanaonelea bora ikasahauliwa.

Hii ni moja ya sababu ya serikali kuwapa Waislam MUM.
 
kwahiyo unataka kusema sehemu ile ilipokuwa Islamic center ilikuwa na majengo yoote ya ikulu! Au ocean Road hospital ilipokuwa chini ya Ssewahaji ilikuwa na majengo yoote kama yalivyo sasa! Wacha udini mshikaji!

haliwezi kurudi mzee mkawadai Wajerumani! Kama ardhi mlipewa Mnazi mmoja na Nyerere mkampa Msomali kujenga supermarket!
Hakuna madai yoyote ila kinachozungumzwa ni historia.

Kiwanja cha Mnazi Mmoja ambako pamejengwa Mall hicho kiwanja ni katika mali za EAMWS iliyovunjwa na Julius Nyerere mwaka wa 1968 akiwa rais wa Tanzania.

Itapendeza mtu kuisoma kwanza historia ya Waislam wa Tanganyika kabla ya kuchangia.
 
Back
Top Bottom