Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Smart...Mzee wangu nayasadiki uyasemayo japo umeninukuu tofauti, niliposema mwamba ngozi sikumaanisha kujikweza maana yangu ilikuwa nzuri tu ni kwamba kama historia iliandikwa na mkristo au kwa influence ya mzungu ni ngumu kuwataja waislamu especially pale walipoplay important roles, the same apply kama ingeandikwa na muislamu na mashaka kama wangemtaja mkristo katika umuhimu wake.
Kuhusu 'neutrallity' yangu sikupingi ni kweli natoka familia ya kikristo ila baada ya kuchimbua historia za kale zaidi na kufanikiwa kujua origin of those religious and why they were made, ninamaanisha ninaposema si mfuasi wa dini yoyote, ninafuata kile kilichasababisha dini kuwako yaani maisha ya kiroho.
Itashangaza yeyote aandikae historia ya TANU asimtaje Abdul Sykes.
Ikatokea hivyo kanuia kufanya hilo.