Hivi ni kweli ile Ikulu ya Dar Magogoni ulikuwa msikiti zama hizo?

BORA ALIVOIBATIZA....MAANA BILA HIVYO TUNGEKUWA KAMA SUDAN
 
watu ni wapumbavu wanaweza kusema chochote, nawe tumia akili kuna msikiti wa namna ile? Wajerumani wajenge msikiti? Stori za kipumbavu za kijiweni zilizojaa uzushi.
Umepaniki?,kuuliza ni dhambi?,ungeweza nielewesha bila jazba mkuu, tunatofautiana kipaji cha kupambanua mambo
 
Hata Ocean Road Hospital ilikuwa msikiti.
 

We jamaa sijui unatumia nini kufikiria [emoji848]
Yani eneo liwe la waislam au wakristo,
Hata kuwe na miti mingii au jangwa tuu,
Yani kusiwe na chochote akaja muislam au mkriato tena akaanza ujenzi na kujimilikisha eneo,
Hainadirishi chochote kuwa eneo sio lake,
Ikifika hatua mwenye eneo (yule mmiliki halali wa kwanza anatakiwa apewe eneo lake)
Hatutaangalia kulikuwa na nini na hakukuwa na nini,
Atamilikishwa na vyote vilivyopo,
Pia kwa mida ambao mwenye eneo hakuwa akilimiliki mpaka sasa ukisema wapige hesabu za ukodishwaji unaweza kukuta hiyo ikulu haina thamani tena na wanapaswa kulipa pesa zaidi,
Kwahiyo kwenye haya tuache tuu yapite,
Na tusiombe kabisa vuguvugu la madai lisitokee maana hali inaweza kuwa mbaya sana kuliko tunavyodhani,
Kwasababu kwa ufatiliaji wangu mdogo tuu nilionao nimegundua kuna mali nyingi sana za waislam zilitaifishwa na kumilikiwa hasa na serikali,
Za wakristo pia zipo lakini bahati nzuri nyingi na muhimu zilirudishwa muda mrefu tuu,
Sasa hapa cha kuomba ni kilakitu kiendelee kama kilivyo tukianza tena kugombaniana Muhimbili mara ikulu nadhani itakuwa shida sana,
Maeneo mengi pia hapo kabla yalikuwa ni vyuo vichache vya waislamu kule Songea badae vyuo vikafa ghafra mara zikaibuka kuwa ofisi za chama fulani,
Kwahyo unaweza kukuta ndani kwa ndani kunamwngi sana ambayo hatuyajui kwahyo tushukuru Mungu kwa tulichonacho tusonge mbele [emoji120][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Ikulu imekuwepo hapo hata kabla rais wa kwanza ajazaliwa
 
Ikulu sasa ipo Dodoma ni muda wenu ndugu zetu waislam kudai hilo jengo na uzuri rais wa nchi ni muislam hivyo tumieni nafasi hiyo adhimu kudai jengo lenu

Maendeleo hayana chama
Umejaza mavi kichwani mwako
 
Mashallah upo vizuri mzee wetu Sheikh Mohamed

Nasikia hata hilo jina la mkoa "Dar es Salaam" sio la kwake, bali ni Daarussalaam! Majahili wakaja kubadilisha na kupachika la kwao ambalo halina maana yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…