pepo ya Mabwege
Senior Member
- May 18, 2017
- 138
- 117
Watu wavivu kuelewa amesema ukikaribia hilo shimo sio tu kufika uhuru peakUnavutwa na kunasa wapi??
Hutumii Hata akili ndogo ya kujiuliza waliofika kilele cha mlima mbona walirudi salama!!
Wooow! Experience nzuri sana!! Natamani na mie siku nipande huo mlima!!!Nnachokifaham, pale kileleni kwenye usawa wa juu kabisa wa mlima, hakuna shimo eneo hilo isipokua
unaweza kuona kwa mbali duara eneo lililopo hilo unaloliita shimo, ni njia ambayo ule ujiuji ulitokea hapo kutoka ardhini wakati wa volcano, ni kama kidonda kilichopona lakini hakikufunga, kuna uwazi. Nilitamani sana kwenda karibu na hilo eneo ila nilichoka mno hata kufika Uhuru peak ilikua bahati.
Hayo ya maji ya moto watakuja wataalam.
Naibu Spika Da' Tulia Ackson, wiki chache zilizopita aliongoza msafara wa kwenda huko, ngoja nimpigie nimuulize nitakupa mrejesho
nacheweza kukueleza hapa nikua inategemeana na ratiba kuanjia mwanzo wa safari. ni vigumu sana kueza kufika kileleni then ukaanza safari ya more than 1+hours bado kurudi kwenye camp uliyotokea na kwenda nyingine. ukitaka kwenda kutembea kwenye hilo shimo ni vizuri ukalala ndani ya crater. unakua na plan ya namna hii. unaanja kutoka base camp to highest point itakuchukua walau 6-7hours then unashukia ndani ya crater kwa ajili ya kulala, asubuhi ya siku inayofuata unakwenda kutembea kwenye hilo shimo kisha unarudi na kubeba vitu vyako nakwenda camp inayofuata. ila kwenda moja kwa moja ni ngumu sana.wengi wanatamani ila wakifika top wanabadilisha mawazo. kwa mda wa kawaida ni wa kwenda na kurudi ni wastani wa 10-11hours,hapa hujaenda shimoni bado camp inayofuata so ni more than 17-19hours. ila kwa wapanda mlima ni mda mdogo sana. kama mimi nimewahi kutumia siku mbili kwenda na kurudi ni kama 69+kms yakutembea kwenda na kurudiAhsante. Ila kwenye hilo shimo ndio hamruhusiwi fika!??
Kwanini mkuu??Drone Camera walitukataza mwaka jana mkuu
Kilele cha kibo....Kwahiyo naibu spika nae alifika kileleni
anyway, hi hivi! kupitia machame mpaka top ya mlima ni 42kms, kupitia marangu ni 38kms
mlima Kilimanjaro una 5 zones, (1) cultivate,0-1000
masl,(2) montana Forest Park1000-3000masl (3) moorland 3000-4000masl(4) alpine reset 4000-5000masl
meters, (m) above (a) the sea (s) level (l) .umeelewa mkuuMkuu huo umbali ni kutoka Machame mjini na Marangu mjini? Maana huo mlima wenyewe ni kilometa 5.86 kutoka usawa wa bahari nadhani. Ni 5860m.
Hizi Masl ni vipimo gani hivyo?
Naomba ufafanuzi tafadhali.
huo umbali nikutoka starting point ambazo kwa marangu ni 1700 pia machame ni 1700.so unaesabu kutoke hapo kwenda hadi juu .pia samahanini sana kuna sehemu nilikosea kidogo. kwa marangu route ni 34kms from starting point to uhuru peak, pia kurudi ni umbali huo huometer,(m) above (a) the sea (s) level (l) .umeelewa mkuu
meter,(m) above (a) the sea (s) level (l) .umeelewa mkuu
pamoja sana mkuuAhsante, nimeelewa.
Mkuu hata Mimi nakubishia ili unipe hiyo offermm ndie niliefika na sio mm pekee bali wapo watu wengi sana. tatizo mnakua mnaishi kwa hisia na sio uhalisia ndio maana mnabisha kila kitu. kama una nafasi naomba uje moshi tarehe 09/7/2017nina safari tarehe 10/07/2017 ya siku tano. yakupanda na nitakupeleka for free, ukajionee kwa macho na urudi ukawaadithie ukweli wa hilo. utakakacho lipia ni kiingilio tu ili mwisho wa safari upate cheti chako.nitakupa vifaa vyote bure kabisa. kuanzia sleeping bag,sleeping mat, hiking boots, warm clothes, day parking,yani vyote kabisa bure bure. nitakupa mawasiliano yangu kama unataka. ili ukirudi ufute hilo tusi (((genye)) sio kila kitu niuzushi ndugu yangu.
Umbali kutoka machame au marangu getini hadi kileleni, unapiga hatua mojamoja za ukakika zikifika 1000 unahesabu 1km...Mkuu huo umbali ni kutoka Machame mjini na Marangu mjini? Maana huo mlima wenyewe ni kilometa 5.86 kutoka usawa wa bahari nadhani. Ni 5860m.
Hizi Masl ni vipimo gani hivyo?
Naomba ufafanuzi tafadhali.
Umbali kutoka machame au marangu getini hadi kileleni, unapiga hatua mojamoja za ukakika zikifika 1000 unahesabu 1km...Mkuu huo umbali ni kutoka Machame mjini na Marangu mjini? Maana huo mlima wenyewe ni kilometa 5.86 kutoka usawa wa bahari nadhani. Ni 5860m.
Hizi Masl ni vipimo gani hivyo?
Naomba ufafanuzi tafadhali.